TUSIINGIZE UDINI, SUALA LA BANDARI NI URITHI WA WATANZANIA
Watu wanakuja na hoja za Uarabu, Uislamu na Ukristo hizi ni hoja binafsi na sisi Watanzania hatuna hizi kasumba za udini wala ukabila, ni vijihoja vinavyotaka kututoa kwenye reli tuache kudai mkataba wenye tija kwa Watanzania, hizi hoja...