wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa sheria: Je, ni kosa kupandisha bendera ya taifa nyumbani kwako?

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia mtu mmoja anayejulikana kwa jina la Kasimu Ally Juma (34), kwa tuhuma za kupandisha bendera tano za Taifa la Tanzania kwenye shamba lake. Atashitakiwa kwa kosa gani? Wanasheria, Wajuzi. Pascal Mayalla
  2. JamiiForums Tanzania πŸ—οΈ Wachimbaji Visima vya Kisasa β€” Wataalamu wa Kuaminika!

    πŸ’§ KELVIN HK BUILDER'S πŸ’§ πŸ—οΈ Wachimbaji Visima vya Kisasa β€” Wataalamu wa Kuaminika! πŸ“ Temeke, Dar es Salaam | 🌍 Tunahudumia Tanzania Nzima πŸ”₯ OFA YA MSIMU: PUNGUZO LA DHAMANA! πŸ”₯ Tunakuzawadia TANK LA MAJI LA LITA 5,000 BURE! πŸŽπŸ’¦ Chukua hatua sasa! Kwa kila mradi wa kisima tutakaofanya...
  3. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuchambua mpira kama wataalamu AU ni kuangalia tu mechi?

    Uchambuzi wa mpira wa miguu (Football Analysis) si kubahatisha matokeo tu β€” ni uelewa wa kina wa jinsi mchezo unavyochezwa kupitia takwimu, mbinu, na maamuzi ya timu na wachezaji ndani ya uwanja. πŸ‘‰ Kwanini timu inashinda? πŸ‘‰ Kwanini nyingine inapoteza hata ikiwa na wachezaji bora? πŸ‘‰ Tactical...
  4. JamiiForums Tanzania Mliowahi kwenda kwa wataalamu wa mambo ya gizani/waganga kutafuta utajiri na mkafanikiwa njoo hapa na visa vyenu tuvufanyie uchambuzi yakinifu.

    Wengi wenu najua hamjapata huo utajiri japokuwa mlipewa masharti ya kutisha πŸ˜€πŸ˜€ Wazee wa kupiga bao
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunazalisha Wataalamu wa Famasi Halafu Tunawanyima Mitaji Wakati Tunatumia Mabilioni Kuagiza Dawa

    Nina jambo moja ambalo linaumiza vijana wengi waliosoma famasi Tanzania. Serikali imetumia mabilioni kusomesha wataalamu wa famasi, lakini baada ya kuhitimu tunaachwa bila mtaji, bila uwezeshaji na bila nafasi ya kujenga viwanda vya dawa nchini. Wakati huo huo, kila siku serikali inaendelea...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Dangote: kiwanda tunachotaka kina uwezo wa kuzalisha pipa 650,000 kwa siku, bado timu ya Wataalamu inafanya utafiti wapi patafaa

    Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameweka wazi mpango mkakati wa ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta ghafi (Refinery) kitakachohudumia ukanda wa Afrika Mashariki. Akizungumza baada ya Mkutano na Rais Samia Ikulu Dar es Salaam leo Mei 16...
  7. JamiiForums Tanzania πŸ—οΈ Wachimbaji Visima vya Kisasa β€” Wataalamu wa Kuaminika!

    πŸ’§ KELVIN HK BUILDER'S πŸ’§ πŸ—οΈ Wachimbaji Visima vya Kisasa β€” Wataalamu wa Kuaminika! πŸ“ Temeke, Dar es Salaam | 🌍 Tunahudumia Tanzania Nzima πŸ” HYDROGEOLOGICAL SURVEY (Utafiti wa Kisayansi wa Maji Ardhini) Hatuchimbi kiholela β€” tunafanya utafiti kwanza! πŸ“ DSM & Pwani: TSh 300,000/= πŸ“ Mikoa...
  8. JamiiForums Tanzania πŸ—οΈ Wachimbaji Visima vya Kisasa β€” Wataalamu wa Kuaminika!

    πŸ’§ KELVIN HK BUILDER'S πŸ’§ πŸ—οΈ Wachimbaji Visima vya Kisasa β€” Wataalamu wa Kuaminika! πŸ“ Temeke, Dar es Salaam | 🌍 Tunahudumia Tanzania Nzima πŸ” HYDROGEOLOGICAL SURVEY (Utafiti wa Kisayansi wa Maji Ardhini) Hatuchimbi kiholela β€” tunafanya utafiti kwanza! πŸ“ DSM & Pwani: TSh 300,000/= πŸ“ Mikoa...
  9. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Sheria mje hapa, mueleze hii kesi atashinda nani

    Kuna kijana mpigapicha nchi jirani kaipeleka mahakamani kampuni kubwa ya kuuza maji kwa kutumia picha aliyoipiga bila ridhaa yake. Picha yenyewe ni ya mtu anakunywa maji yanayotengenezwa na hiyo kampuni. Kuna watu wanasema kampuni haina kesi kwa sababu mpigapicha alipiga kinywaji chao bila...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Speakers & Mic(Sound system) naomba ushauri wenu tafadhali

    Nahitaji Speaker na Mic mbili zile zinazotumika sana kuhubiria Injili barabarani(mitaani). Naomba mnishauri ni aina(brand) ipi ina ubora wa sauti, portable na sifa nyingine muhimu za ziada. Natanguliza shukrani πŸ™
  11. JamiiForums Tanzania Dunia Iko Katika Hatari ya Nishati: Wataalamu wa Mafuta Washauri Kujengwe Bomba la Mafuta linalopitia Nchi Kavu Kuikwepa Strait of Hormuz

    Wakati mvutano wa kisiasa na kijeshi ukiendelea kuongezeka katika eneo la Strait of Hormuz, Wataalamu wa sekta ya mafuta anaonya kuwa dunia inaweza kukabiliwa na msukosuko mkubwa wa nishati iwapo njia hiyo muhimu ya usafirishaji wa mafuta itavurugika. Kutokana na changamoto hizo, wataalamu...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Kijeshi wa Ukraine Wapelekwa Mashariki ya Kati Kudhibiti Droni za Iran

    Makundi ya wataalamu wa kijeshi kutoka Ukraine yametumwa nchini Qatar, Falme za Kiarabu (UAE), na Saudi Arabia kusaidia mataifa hayo kujilinda dhidi ya ndege zisizo na rubani (droni) zinazorushwa na Iran. Mashambulizi haya ya Iran ni ya kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi makubwa ya anga...
  13. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa afya husisitiza mlo kamili, lakini wanasahau kusisitiza maandalizi sahihi

    Hi Everyone Tunasikia mara kwa mara wataalamu wa afya wakituelekeza kula mlo kamili: Mboga za majani, matunda, protini, nafaka zisizokobolewa na maji ya kutosha. Lakini kuna eneo moja ambalo halizungumzwi sana - namna chakula hicho kinavyoandaliwa. Unaweza kula mlo kamili, lakini kama...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa KUEZEKA/KUPAUA/ROOFING hii changamoto inatatuliwa vipi?

    Habari za mfungo vijukuu vya Mtume Mohamad wa Uarabuni na Vijukuu vya Yesu Kristo wa Uzunguni. Ndugu zangu,bibi yenu baada ya kupewa vihela vyangu vya kustaafu nikavitumia kujenga kajumba ka ndoto zangu ka mtindo wa KUFICHA BATI. kIla kitu kimeenda sawa kuanzia weyering Jimsam bot dari...
  15. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa spiritual life sogelea hapa

    Habari zenu Wana jf πŸ”΄Ni Mimi peke yangu naogopa kuaga mwili wa marehemu au ni wengi wetu humu πŸ”΄Leo nimeshangaa chakula cha msiba kimeshindwa kupita kwenye koo(wali nyama cabbage) Kuna baadhi ya mazishi nimehuduria ikiwemo Leo Kuna mambo flani nimegundua yanayotokana na Imani ya watu...
  16. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na haja gani kumfuata Muwekezaji na makamera maiki wakati kuna wataalamu waliopaswa kuhojiwa?

    Lack of sense. Yaani kukosa akili ya kuweza kug'amua mambo ya msingi kama mtu makini. Ni upumbavu na upuuzi. Wataalamu waliochini ya halmsahauri wote wanalipoti kwa baraza la madiwani. Msukuma na kamati yake walishindwa vipi kuwahoji hawa wataalamu kwanza? Kwa nini mwekezaji ajenge bila...
  17. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa football betting

    Wazee wa mikeka habari. Nimekaa nimewaza kinachofanya mikeka ichanike sana mara nyingi ni tamaa za Karia (Odds 10+) Naomba kujua kwa wazoefu. Nina plann ya kuwa na mtaji wangu wa milioni mbili. Lengo niwe nafukuzia faida ya elfu 50 kwa siku hasa kwa live game isiyozidi odd 1.03 au live game...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kilimo wa China wachochea maingiliano ya kilimo na kubadili maisha ya vijijini nchini Ethiopia

    China na nchi za Afrika zimekuwa na ushirikiano katika sekta mbalimbali ikiwemo elimu, afya, biashara na ushumi, utamaduni, sayansi na teknolojia, kilimo, na sekta nyingine nyingi. Ushirikiano huu umekuwa na manufaa sana kwa nchi za Afrika, kwani zimeweza kupata maendeleo katika sekta husika...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa China waleta unafuu kwa jamii zinazokabiliwa na uhaba wa huduma za matibabu nchini Sudan Kusini

    Agnes Alison Nunu, mwenye umri wa miaka 38 na mama wa watoto sita, amesitisha biashara yake ndogo ya kuuza vitafunwa kutokana na maradhi yanayomsumbua mtoto wake, mpaka pale timu ya madaktari wa China ilipowasili katika eneo la makazi yake kando ya mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba. Desemba 6...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Afrika wapata ujuzi wa utambuzi wa mpangilio wa vinasaba kupitia mafunzo yanayodhaminiwa na China

    China na nchi za Afrika zimekuwa na urafiki uliodumu kwa miongo kadhaa, ukistahamili nyakati zinazobadilika duniani. Urafiki huu umezaa uhusiano na ushirikiano wa kuaminiana, kuheshimiana, kusaidiana, na kuungana mkono katika masuala ya kikanda na kimataifa. Pande hizi mbili zimesimama bega kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…