Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko...
Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite...