Mazungumzo na mwanangu:
Jioni moja kwenye mazungumzo na mwanangu nikamtajia wazo langu kuwa, ingekuwa vema angeingia kwenye siasa, kwa vile nafikiri hapo baadae angeweza kupata nafasi ya uongozi na kufanya mema kwa nchi yetu. Jibu lake lilikuwa fupi na la kisomi kuwa “Siasa is not my thing”...