Mambo ambayo watanzania wengi mpaka wasomi wanayaongea kana kwamba wana ushahidi nayo kwa 100% wakati huenda sio kweli hata kidogo..

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,303
50,430
Ukikuta Watanzania wanaongea mambo fulani unaweza kufikiri walikuwa mashahidi wa mambo hayo kwamba waliona tukio zima lakini kumbe ni uzushi. Kinachosikitisha ilibidi mambo hayo wayaamini watu wasio na elimu yoyote cha ajabu unakuta mpaka msomi anasimulia bila haya mbele za watu.

1. Diamond na mama yake huwa wanafanya mapenzi kwa sababu ya masharti ya mganga

2. Nyerere alikuwa mchawi na kifimbo chake na alikuwa ana redio na tv peke yake Tanzania nzima na kwamba akisikia habari anakuja kusimulia taifa

3. Kanumba amekufa kwa sababu ya kutotimiza masharti ya Freemasons

4. Babu Seya alitoka na mama Salma Kikwete ndo maana akasingiziwa jela na kufungwa.

5. Magufuli alikufa kwa corona.

6. Gavana wa benki kuu, Daudi Balali hakufa bali ni mzima yuko Marekani.

7. Osama hajafa na kwamba alikuwa na uwezo wa kujibadilisha sura.

8. Waziri Mkuchika ni mchawi wa taifa huwa ana maono anapata na ndo anahusika kumshauri rais kubadilisha viongozi (kutoa mikeka)

Cha ajabu kinachonishangaza unakuta mnasafiri na maofisa wenzako ika kabisa wanasimulia haya mambo kana kwamba wana ushahidi nayo. Mimi huwa nawasikiliza ila naishia kuwadharau tu najiona kumbe mimi nina uwezo mkubwa wa kiutambuzi.

Sijakataa kwamba yasemwayo huenda yapo ila kitu kama huna ushahidi nacho kwanini ukikomalie kuaminisha watu kana kwamba ulikiona??
Cc DR HAYA LAND
 
Heee kumbe maofisa wetu huwa mnajadili hayo mambo mukiwa mko safarini duh...any way safari zenyewe huwa ni kwa ajili ya posho hivo jadilini tu chochote mtakacho maana
bY the way Tz hakuna msomi
Ili uwe msomi lazima usomeshe yaani ufunze,ili ufunze lazima uwe umeandika,na ili uwe umeandika lazima uwe umetafiti...na uamini katika tafiti zako...
 
Back
Top Bottom