Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaendelea kutekeleza mikakati ya kuinua sekta ya kilimo kwa kujenga skimu mpya za umwagiliaji, kuongeza upatikanaji wa zana za kisasa, na kujenga maghala ya kuhifadhia mazao ili kudhibiti...