wasanii

  1. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji kagueni vibali, uraia na passport za wasanii na watu mashuhuri wote

    Nitoe rai kukagua uraia na passport za watu wote mashuhuri na wasanii kwenye list wasikosekane; 1. Petit Man wakuache 2. Wasanii wote wa bolingo 3. Dancers wote 4. Alistote 5. Wamiliki wote wa maduka ya nguo Kinondoni Mtanishukuru baadae lakini mnaweza kuamua kupuuza pia.
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego awacheka wasanii wanaopewa magari na lebo

    Kutoka kwenye insta story ya Rapa Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ameandika; “Yani kujifanyaga mnawapa magari ooh label kubwa alau mkishindwana mna wapokonya magari yenyewe tena wasanii kwa wasanii. “Ndio mjifunze wasanii wapenda magari ya bure wakati mna vipaji na wakati mkikomaa mnaweza...
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Juma Nature ndio best storyteller wa muda wote Bongo. Wasanii wachanga mnao-rap jifunzeni kwa Juma Nature

    Kwenye muziki wa hiphop bongo hakujawahi kutokea msanii mwenye nguvu kama Juma Nature. Juma Nature aliingia kwenye muziki akaukuta umejaa umarekani mwingi na akaubadilisha mchezo kabisa. Silaha yake kubwa ilikuwa ni storytelling. Ipo wazi Juma Nature ndio bingwa wa storytelling kibongobongo...
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo waliofanikiwa kutengeneza Classic songs

    Ni wasanii wachache sana bongo waliofanikiwa kutengeneza nyimbo ambazo ni classic. Classic ni zile nyimbo zenye uhai mrefu na uzuri wake uwa haupotei miaka na miaka. Sio kila hit song ni classic. Billie Jean ya Wacko jacko ni classic, happy birthday ya Steve Wonder ni classic. Wasanii wa bongo...
  5. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Je, wako wapi wakongwe hawa?

    Miongoni mwa sintofahamu inayoendelea ni kutojulikana alipo aliyekuwa staa wa Bongo Movies, Mikalla aliyeng’ara kwenye Filamu ya The Lost Twins akitumia jina la Anita; filamu iliyoandaliwa na aliyekuwa kinara wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba chini ya Kampuni ya Mtitu First Game Quality...
  6. Mtuflani Official

    JamiiForums Tanzania Tanzania Breweries (TBL) na ubaguzi wa kutoa dili za marketing kwa wasanii wa Arusha pekee

    Matangazo mengi ya beer za TBL wanapewa watu wa Arusha. Hii kitu imekua inaendelea kwa muda sasa. Castle Lite wanawapo deals Weusi (wasanii kutoka Arusha). G-nako alifanya nyimbo kufanya promotion ya beer ya Kilimanjaro na pia alipewa ubalozi wa beer ya Kilimanjaro. Castle Lite Unlocks ya South...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Manyerere Jackton aliyepata 'Masters' yake SAUT juzi ndiyo Msomi na siyo wale 'Wasanii' Wawili waliopata 'PhD's' zao za UDOM hivi karibuni

    Awali ya yote nianze kwa Kukupongeza sana na kwa Furaha mno 'Poti' wangu wa Kizanaki kutoka Mkoani Mara na Mkurugenzi Mwenza wa Gazeti la JAMHURI Kaka Manyerere Jackton kwa kupata Masters Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu changu 'pendwa' Tanzania nzima cha SAUT Mwanza. Kwa...
  8. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Juzi kwenye mkesha wa Christmas, dunia imeshuhudia magwiji wa muziki Nigeria, Wizkid, Davido, na Komredi Burna Boy, wakiungana kufanya show pamoja iliyoandaliwa na Tony Olumelu wa BOA bank. Iliashiria umoja na upendo miongoni mwa wasanii huko Nigeria. Kwa pamoja...
  9. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Wasanii Wanatumia Program Gani Kuweka Wimbo Unaimba Huku Kama CD Inazunguka na Equalizer Zinapanda na Kushuka Wakuu?

    Heshima kwenu wakuu. Hivi, unaweza ukakuta Wimbo umewekwa You Tube lakini sio video, utakuta kama CD Inazunguka hivi halafu kuna jina la Wimbo pembeni na jina la Msanii husika huku Equalizer zinapanda na kushuka. Huwa wanatumia program gani wadau? Na pia je, huwa ni kwa kutumia simu, computer...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wasanii wa filamu wa kiume kulialia nje ya location imetoka wapi?

    Wadau Majuzi nilikuwa naangalia Tanzania Film Festival 20202021 kule Tughimbe Hotel Mbeya ....Kwa kweli nilishangazwa sana na wengi ya wasanii wakiume waliochukua Tuzo walikuwa wanalia lia hovyo na kuishiwa nguvu kabisa na kuanza kulilia mama zao pale jukwaani.... Mi ninavyoelewa machozi...
  11. Labani og

    JamiiForums Tanzania Hii ni list ya wasanii waliotazamwa zaidi nchini Kenya, Mmakonde anazidi kupotea kupotea anga za kimataifa

    Mondi azidi kuonyesha kwamba yeye ndiye mfalme wa East africa 🌍 kutokana na kuwa namba moja kwenye list ya watu walioangaliwa zaidi mjini YouTube ....... Ushauri wangu watanzania tuhamasishe wasanii wetu wafanye muziki na sio kulia lia kwenye media
  12. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mapara A Jazz yawezekana wakawa cheap zaidi kulinganisha na wasanii wengine maarufu kutoka South Africa?

    Wakali wa hit Amapiano ya John vuli gate (Mapara A Jazz) kwa mtazamo wa kiutafiti yawezekana wakawa ndio kundi cheap na rahisi kupatikana compared na makundi yenye mfanano na wao kutoka bondeni kwa Madiba. Thamani ya vitu au watu upimwa kwa Sifa mbalimbali ila kubwa ni upekee na upatikanaji...
  13. data

    JamiiForums Tanzania Wasanii wakali.. Na wana mguso wa kipekee kabisa lakini hawatoki... Tuwasaidieje..!?

    Listen
  14. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Je, wasanii wanaposhiriki kutoa burudani kwenye matamasha ya kiserikali huwa wanalipwa?

    Nianze kwa kukiri wazi kuwa, Tangu Nianze kufuatilia Matamasha ya Wasanii wanayo yafanya kwenye Jamii, Nimeona WASANII WA KITANZANIA wanaongoza Sana Kufanya PERFORMANCE zao Kwenye Matamasha/Mikutano Ya Kiserikali Kuliko Nchi Yoyote Ile Duniani. Mbaya Zaidi na Zaidi, Nimeona WASANII WENGI WA...
  15. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Erick Omondi akumbushwa kuheshimu sanaa

    Mcheshi asiyepungukiwa na utata maishani Eric Omondi kupitia ukurasa wake wa Instagram siku ya Jumapili alitoa wito kwa wanamuziki wa Kenya watie bidii zaidi kazini huku akidai kuwa sekta ya burudani hapa nchini imekufa. Omondi aliwashinikiza wasanii waamke huku akidai kuwa wengi wao wameisha...
  16. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Erick Omond anasema kweli kuhusu Muziki na Wasanii wa Kenya?

    Baaada ya hii post nimeona wasanii wa Kenya wamemjia juu na kumtukana sana,binafsi naona kaongea ukweli Muziki wa Kenya wa siku hizi ni Dead beast, sio kama miaka ile 2000s wakina Prezoo, Nonini, Jua Kali, Nameless, Wahuu, Nazizi, P Unit, Meja etc ambao kidogo walikua wanaleta Chalenji kwa bongo...
  17. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wasanii na Watu wanaoonyesha Vitu vya Thamani Mtandaoni Kuchunguzwa na Mamlaka ya Mapato

    Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) inawafuatilia watu wanaochapisha vitu vya anasa kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuwabaini watu wanaokwepa kodi. Mchapisho yanayoonesha magari ya anasa, majumba ya kifahari, na sherehe (parties) wanafuatiliwa na maafisa wa KRA...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mabando yanashusha muziki wetu, kwa sasa ni shughuli pevu kupata views milioni

    Katika dunia ya sasa, views ni kipengere mojawapo muhimu sana cha kuitrendisha sanaa ya nchi fulani katika uso wa dunia. Hali imekua tete baada ya mabando kupanda bei saizi youtube watu wanaingia kwa machale, Views chache pia zinawapunguzia mapato wasanii, youtube wanalipa kwa kigezo...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wasanii waliotazamwa sana ndani ya mwezi wa kumi katika mtandao wa YouTube

    Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz 1. Diamond Platnumz - 33.6M 2. Rayvanny 20.9M 3. Alikiba 13.6M 4. Harmonize 11.8M 5. Zuchu 11.4M 6. Mbosso 11.3M 7. Lavalava 4.77M 8. Nandy 4.73M 9. Macvoice 3.1M 10. Marioo 2.9M
  20. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Muziki waitishe Tamasha la kumbukizi ya Wasanii wenzao waliotangulia

    Ni wazo tu, Wasanii wengi wameshatangulia mbele ya haki! Hawa waliobaki wangejiunda wakafanya tamasha la kuwakumbuka/kuwaenzi kwa kazi zao. Pesa itakayopatikana isaidie familia zenye uhitaji za wasanii au wasanii waliobaki na wenye changamoto za kimaisha kama akina Paulina Zongo, Chid Benzi na...
Back
Top Bottom