wasanii

  1. Hance Mtanashati

    Biashara ya kusimamia wasanii ni biashara kichaa usithubutu kuwekeza pesa zako huko

    Miongoni mwa biashara pasua kichwa ni hii biashara ya kumsimamia msanii haswa msanii wa muziki . Awali ya yote, wengi hawajui kuna utofauti kati ya sponsor na manager. Manager kiuhalisia inabidi yeye ndiye awe analipwa na msanii ili amsimamie kazi zake lakini kibongo bongo ni tofauti. Kibongo...
  2. Pdidy

    Ushauri: Wasanii punguzeni mapicha na video kwenye misiba, mnakuwa vituko

    Punguzen haya mambo mnaonekaana vituko na usaniii Yaan kila.mtu akienda misiba ya wakubwa anataka vid anataka picha arushe fb nani anahitaji picha zenu kwenye fb ama vid zenu Kufika n inada uhitaji kutujuza umefika msiban mbona amtuambii na michango.mmetoa sh ngapi??? Kuna kichekesho...
  3. Vien

    Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya

    K sal ft ferooz Mwana mkiwa Hii ngoma ilivuma sana miaka ya 2000, baadaye K sal akatoa ngoma ingine aliofanya na Mandojo & Domokaya inayoitwa starehe na fedha ila haikufanya pouwa baada ya hapo kimya hadi leo Kali P - Imekaa vibaya Baada ya hii ngoma sijawahi mskia tena huyu jamaa mpaka leo...
  4. M

    Tukutane hapa Kama uliwahi ‘kuopoa’ kwa kutumia mistari ya wasanii

    N:B Ilikuwa enzi hizo pesa ilipokuwa ikipewa uzito mdogo kwenye mapenzi Uopoaji una mbinu nyingi sana ikiwemo kutumia mbinu hii adimu ya kutumia mistari ya wasanii walioumiza vichwa vyumbani hadi wakakamilisha kazi zao studio. Wengine hutumia mistari hii kucopy na kupaste kwenye suala zima la...
  5. Hance Mtanashati

    Nimesikitika kuona wasanii wamegoma kwenda kumzika mama wa msanii mwenzao Chidi Benzi

    Wasanii kwa wasanii wanaishi maisha ya kisanii ,maisha ya kinafiki , wanajifanya wanapendana kumbe upendo wa kinafiki. Wasanii hupenda kuhudhuria shughuli iwe ni msiba, birthday,harusi nk ya mtu mwenye pesa , asiye na pesa wanamkalia mbali hata kama ni msanii mwenzao. Kwa haraka haraka...
  6. Pakome

    Kwanini Watanzania hampendi kuwashangilia wasanii wenu kama mnavyoshangilia wasanii wa nje?

    Kwanini Watanzania hampendi kuwashangilia wasanii wenu kama mnavyoshangilia wasanii wa nje? Davido alipokuwa akitumbuiza alipata ushirikiano mkubwa kutoka kwa shabiki tofauti na wasanii wa Tanzania wanapokuwa wakitumbuiza Ni zipi sababu za kutokuonesha ushirikiano kwa wasanii wenu wa Tanzani...
  7. sanalii

    Unfortunatly tumesharudi kucheza challenge za wasanii, nchi ikienda kombo

    Ni kama vuguvugu limepungua, wadhalimu wanaendelea kujilia vyal, na Kama mtu hajajeruhiwa au kupoteza ndugu ndio hata hawezi kumbuka kabisa. Wananchi wako busy kwenye challenge za wasanii. Ni masikitiko makubwa kwa damu ya raia iliomwagwa makusudi na kwa majivuno kisha haya yakawa ndio...
  8. R

    Jux: Siyo vizuri Mashabiki kuwa na chuki na sisi wasanii wao

    Sioni kama ni vyema mashabiki zetu kuwa na chuki na sisi wasanii wenu,wasanii wa mataifa mengine wameendelea kwa sababu mashabiki wa Nchini kwao wanawasapoti kwa moyo mmoja"Amesema Jux
  9. Chizi Maarifa

    Watanzania msifanywe Chuma ulete na hawa Wasanii au watu wenu Maarufu

    Wakiwa na pesa huwa wala hawawakumbuki. Wanatamba na kuonesha jinsi ambavyo wanafaidi maisha na nyie sababu wavivu mnataabika. Daily wanapost wakila kuku, wakiwa dubai, china na ulimwenguni waki enjoy life. Wanakula maisha wanapewa na chama chakavu maishani. Wakianza kuumwa pesa zao hawataki...
  10. Q

    Hongera GenZ, Simba na Yanga kwisha Wasanii kwisha, tuendelee hivi hivi hadi wote tuongee lugha moja.

    Hatuna budi kuwapongeza GenZ kwa kufanikisha zoezi hili, ilikuwa huwezi kuongea chochote vijiweni zaidi ya simba na yanga au diamond na kondeboy leo ni tofati kabisa. Kiuhalisia huwezi kuishi bila siasa, huwezi kuukuza mpira ukaiacha siasa inayoendesha huo mpira, kuwa mimi ni Simba damu damu...
  11. Genius Man

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula

    Gen z kuja na kampeni ya kuacha kutumia huduma za airtel Tanzania kama walivyofanya kwa wasanii wao ndio wanawapa hela ya kula. Vita ni vita
  12. DR HAYA LAND

    Saida Karoli na Rose Muhando hawa ndo wasanii bora wa muda wote Tanzania

    Hapa Tanzania itatuchukua miaka mingi kupata vipaji kama Saida Karoli na Rose Muhando. Hawa ndo wasanii bora wa muda wote hapa Tanzania.
  13. MamaSamia2025

    "Kuji-brand" ni kitu kinachowatafuna wasanii wengi kimyakimya na kuja kuumbuka vibaya kama mkubwa Fella

    "Kujibrand", "Kulinda brand" ni mambo yanayowaumiza wasanii wengi kimyakimya na baadae kuja kuumbuka vibaya mambo yanapowazidia. Wasanii wengi wanadhani "Branding" ni kuishi maisha feki ya kitapeli ili uonekane wa thamani huku ukiteketea ndani kwa ndani. Mkubwa Fella kwa sasa anaomba michango ya...
  14. ngara23

    Dudu baya amjibu mkewe mkubwa Fela aliyelalamika kuwa mmewe ametengwa na wasanii baada ya kuwa mgonjwa mahututi

    Mapema wiki hii mke wa mkubwa Fela amelalamika kuwa wasanii ambao mkubwa Fela aliwasaidia Sasa hawapokei simu wala kutoa msaada, mkubwa Fela amekosa pesa za matibabu yupo hoi nyumbani kwake hana huduma wala msaada wowote Dudu baya amebainisha kuwa 1. Mkubwa Fela alifanya dhulumu nyingi na...
  15. Mhaya

    Izzo Business aachia nyimbo akiwachana wasanii na mamlaka zilizopo bila kupepesa

    Moja ya jambo la kushangaza ni Msanii wa Hip-hop, Izzo Business kuachia kibao akishusha mistari kuwachana wasanii wenzake waliokuwa hawapiganii haki za wananchi badala yao walirundikana kwenye semina na kampeni za chama kimoja kama mchwa. Badala ya kupinga vikali matukio yaliyokuwa...
  16. Genius Man

    Wasanii Shilole na Wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu

    Wasanii shilole na wema wanajijengea picha mbaya kwa watanzania hii ni baada ya mivutano ya wasanii hao na watanzania mtandaoni itawagharimu. Bora kugombana na mtu mmoja au wawili sio na watanzania wote unachogombea kwanza hukijui yani ni mbumbumbu ngoja upate shida huone kama utasaidiwa.
  17. Fbn

    Hivi kuna ushetani gani unapelekea wasanii kubadilika mfano Nickelodeon

    Kuwe ni Bongo movie, Hollywood, Disney, Pddy music na n.k Hakuna sehemu itawaacha salama wengi labda wakubali masharti ambayo wamudu kuendelea na umaarufu. Kuna television inaitwa Nickelodeon na ndio channel ya watoto wanayopenda sana ambayo iliibua vipaji vya waigizaji watoto wengi. Ila...
  18. Bawabu wa pili

    Baada ya wasanii kususiwa kazi zao, vijana wanaofanana na wasanii hao wamejikusanya ili kuchukua nafasi zao

    Kitendo cha wasanii wa Tanzania kususiwa kazi zao na jamii Yao kimewaibua vijana wanaofanana na wasanii hao na kuwafanya wajikusanye pamoja ili kwenda vijijini kujaribu bahati zao za kupiga show za Chaka to chaka wakiamini hawatatambulika kama ni feki,Maeneo waliyoainisha kwenda ni Chunya...
  19. Mnyenz

    Wasanii wa tanganyika : 50 Cent alikataa kuimba kwenye kampeni za Trump licha ya kuahidiwa usd 3 milion(bilion 7 madafu)

    Baada ya mgombea wa republican Donald Trump kukoswa risasi katika kampeni zake, wimbo wa 50cent MENY MEN ulitrend na ikawa anthem kwenye kampeni zilizofuata baada ya tukio lile. Kampeni zilipofika Newyork, team ya kampeni wakamuita 50cent aje kupafomu kwenye kampeni hizo. Chama cha Trump...
  20. M

    Uraibu wa pombe na dawa za kulevya umechangia kushuka kwa wasanii wengi, kuharibu maisha yao, mali zao, uhusiano wa kijamii na hata kupoteza maisha

    Chidi Benz - Madawa ya kulevya Ray C - Madawa ya kulevya, kwa sasa kajirudi yupo ulaya Vanessa Mdee - alinusuika kupotea kwa Unywaji wa pombe kupitiliza, Langa - Madawa ya kulevya, RIP Nhwea - Madawa ya kulevya , RIP Kuna producer flani maarufu inasemekana nae alianza kutumia drugs alinusurika
Back
Top Bottom