wasafi media

Wasafi Classic Baby (more commonly known as WCB or WCB Wasafi) is a Tanzanian-based record label founded by Tanzanian musician Diamond Platnumz.

View More On Wikipedia.org
  1. MAGORIGO

    JamiiForums Tanzania SoC02 Matumizi ya Sayansi na Teknolojia katika kuhifadhi mazao ya kilimo yanayoharibika haraka mfano matunda na mboga za majani

    MATUMIZI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA KATIKA KUHIFADHI MAZAO YA KILIMO YANAYO HARIBIKA HARAKA MFANO MATUNDA NA MBOGA ZA MAJANI ILI KUMKWAMUA MKULIMA Ilikuwa ni jioni moja nimetoka nyumbani kwenda kununua mahitaji kwaajili ya matumizi ya wiki katika soko la mabibo jijini Dar es salaam, lakini...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wasafi Media wana beef na M-BET?

    Achilia mbali kwamba picha na maelezo yamechanganywa maana aliyesajiliwa na simba ana miaka 23 siyo 29 jamaa wamefanya censoring ya logo ya M BET Mbona logo za sportpesa huwa wana post, kuna beef? maingiliano ya kibishara? kwa msimu huu picha na video za simba zitakuwa haramu hapo usafini?
  3. MimiNiMakini

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa Lily Ommy umeshuka toka aingie Wasafi Media

    "Huyu jamaa anachojua saizi ni kusema "and stuff like that" basi 😁 " Nimekuta caption hii huko twitter, aisee watu wa twitter wamefunguka mambo mengi sana kuhusu Mtangazaji Lil Ommy. Kiufupi Inadaiwa kwamba uwezo wa Lil Ommy tangu aje Wasafi umeshuka sana, Jamaa akiwa Times Fm alikuwa moto...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa Habari wa Wasafi Media - Arusha, Potte Mmanga adaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana

    Mwandishi wa habari wa Wasafi Media Arusha, Potte Mmanga anadaiwa kukamatwa mchana huu nyuma ya Chuo cha Technical College na watu waliojitambulisha kwake kama askari polisi wakidai wanampeleka ofisi ya RCO kwa mahojiano. Ofisi ya RCO Arusha imesema haina taarifa za kukamatwa kwake. Chanzo...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wasafi Media waandaa futari Bungeni

    Jamii yetu inapotosha maana ya kuandaa na kutoa futari ktk jamii. Kwa kawaida futari inabidi itolewe kwa Waislam waliofunga wasiojiweza. Leo unasikia futari inaandaliwa kwa matajiri wenye uwezo huku wakiachwa masikini wahitaji. Mathalani jana Wasafi Media imefuturisha bungeni Dodoma huu ni...
  6. Akili ya kubeti

    JamiiForums Tanzania Jamal Mustafa wa Wasafi Media ni moto wa kuotea mbali

    Jamaa kiukweli anajua kwenye masimulizi creativity ya hali ya juu niliacha kusikiliza The Story book hasa baada ya Mtiga kuondoka ila kwa Sasa jamaa Ni Moto wa Kuotea Mbali Professor
  7. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wasafi Media

    Assalam wanajamvi! Niende moja kwa moja kwenye hoja, kwa wiki kadhaa sasa nimekua nikifuatilia media ya Wasafi hasa TV kiukweli bado vipindi vyao havijakaa sawa. Mwanzo walipokuja watangazaji nguli nilijua content za pale zitabadilika, lakini kumbe na mimi nilikuwa na mawazo ambayo hayakuwa...
  8. Francis fares Maro

    JamiiForums Tanzania Rayvanny nimekunyanyulia mikono

    Wakati mwengine ukweli usemwe, nilikua nadhani mziki wetu umepoteza dira kwasababu ya kiki, skendo na mambo mengine yasiokua na maana na tena yanaharibu kabisa watoto wetu huko uswahilini. Tokea Jana nimekua nasikiliza nyimbo nzuri sana za kijana huyu, tungo zake aisee, nimeangalia videos duh...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Diva ajiunga na Wasafi Media

    Mtangazaji maarufu wa vipindi vya usiku Diva amejiunga na Wasafi media kwa mujibu wake akifanyiwa mahojiano amesema amesaini mikataba aliyopewa na Diamond ambayo atakuwa analipwa zaidi ya kile alichokuwa analipwa na media aliyofanya nayo kazi lakini ameongea pia amepewa gari na Diamond...
  10. Keylogger

    JamiiForums Tanzania Seriously watanzania tuna tatizo!

    The big brain theory kipindi kimoja kizuri sana kipo Discovery science wale jamaa wamechukua magenius af wanawapa challenge mbalimbali za kisayansi daaah.. wanavyo solve sasa kwa teamwork hadi raha kuna jamaa anaitwa erick ana IQ 142 kumbe keyboard yangu nzima ngoja nianze andika sasa...
Back
Top Bottom