warembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ex wa Jux ni mzuri kuliko current girfriend, kwani Tanzania hamna warembo mpaka mnaenda Delta Niger?

    Majanga, na wao, wahala! Ivi kwani Tanzania wanawake warembo hamna mpaka mnaenda kuchukua totoz Nigeria? Kwani wadada wa Tz wana shida gani? Umemwona Ex wa jux alivyokuwa mzuri Angalia current girl friend jamaan Alafu girlfriend wake wa sasa kwao ni matajiri wa kufa mtu sijui nduguyenu...
  2. mjenziwakale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi jamani mnawaona hawa warembo washiriki wa olympic?!!!

    Aisee kwa kweli hawa watoto ni warembo mnooo karibia kila mchezo hakuna ngongozo hata mmoja zote ni maliasili, wote wabichi kabisaa halafu tunajua kujieleza very smart yaani. Hapa ni lazima niende Paris France kwa hizi siku zilizosalia.
  3. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Kwanini warembo na mabarobaro wengi ni vilaza?

    Habarini waungwana.... Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani? Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu...
  4. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekutana na warembo wengi kwenye bus la achimwene

    Hamjambo ndugu Watanzania Siku Tano nyuma nilienda pale shekilango kukata tiketi ya kwenda mbeya. Nimejisogeza mbaka ofisi za bus la Sauli nimeona wamefunga maana nisha zoea kupanda Sauli nikaamua kuuliza wadau wakaniambia bus za Sauli hazipo siku hizi basi bwana. Kuna mdau mmoja akaniambia...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Shetani pacha wake pesa na warembo

    Shalom, Ukubali ukatae penye pesa shetani yupona penye warembo shetani katulia, sasa utaamua wewe na tafakari yako wewe upo wapi na shetani wako umekaa nae wapi. Ni kwa uchache naomba iwafikie Wadiz
  6. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Kuna nini kimejificha nyuma ya hawa warembo wanaouza karanga mtaani?

    AMANI YA BWANA IWE NANYI, MUNGU AWAPAYE WATU NEEMA NA AWAPE NEEMA. Kuna jambo nimeliona huku mtaani siku za hivi karibuni sijawahi kulielewa kwa undani wake kuna nini kimejificha huko. Hivi karibuni kumeibuka kundi kubwa sana la akina dada warembo ambao wanazunguka mtaani hasa majira ya Jioni...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

    Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain fulani hivi wanaovutia na kujielewa, lakini pia ni magentlemen flani hivi watanashati kweli kweli...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa Tanzania pokeeni Salamu zenu za Pongezi kutoka kwa Wanawake (Warembo) wa Kampala Uganda

    Nimetumwa niwafikishieni hizi Salamu zenu na Mimi kwakuwa ni Mjumbe wala sizicheleweshi ili nisije Kusahau kwani Kichwa changu kinawaza mambo mengi ya Msiba Iran, Kitendo cha Wapuuzi Ireland, Spain na Norway kuitambua Palestina kama Taifa Huru na Vita vya Mashariki ya Kati pamoja na yale...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Islamic Scholar anasema Waislamu wanaonewa wivu na dini zingine sababu ya Warembo Mabikra 72 watakaopewa Peponi

    Islamic scholar anasema People are jealous of our 72 virgins, tazama mwenyewe video
  10. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaosifia kupata mke mzuri ni kwa Wahehe na Wabena, hivi mmezunguka Nchi hii? Mabinti wanyaturu, wanyiramba, wambulu (wairaqw) na warangi mnawajua?

    Nchi hii labda kama hujazunguka utakimbilia kuoa wahehe na wabena Ukipata bahati ya kutembelea maeneo haya ni lazima utajitafakari upya Dodoma - Warangi Manyara - Wambulu (wairaqw) Singida - wanyaturu na wanyiramba
  11. Cheology

    JamiiForums Tanzania Rihanna na Shakila ni wanawake warembo sana

    Katika hawa watu wewe unakwenda na yupi Hawa ndio warembo ambao dah nawakubali sana
  12. Area 56

    JamiiForums Tanzania Huyu dada ni miongoni mwa walinzi wazuri duniani

    Huyu mdada ni mrembo sana, hongereni sana “piesiyu” kwa kumchagua amlinde mama yetu
  13. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wazuri sana, warembo na wenye maumbo mapana ya kuvutia ni rahisi sana kuwapata unapowatongoza

    Ibaki kuwa hivyo. Previous nilikuwa natongoza mabinti wabovu wabovu nikiamini kuwa wataona ni bahati kutongozwa, hivyo nitawapata kirahisi sana na hata mbususu nitakuwa napewa kwa kubembelezwa. Hali haikuwa kama nilivyodhani, badala yake nilipigwa vibuti vikali sana. Kati ya wanawake 10...
  14. Plastic

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona warembo, kweli maji yapo!

    "Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika baba anayasubiri, lakini leo wanang'aa kweli." - Dkt. Samia Suluhu akiwa ziarani mkoani Singida...
  15. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wahudumu mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote

    Habari wanajamii... Natoa fursa kwa mabinti warembo watatu(3) wenye uzoefu wa utengenezaji wa fresh juice aina zote kwa kiwango cha juu na wanaozingatia usafi sana. Eneo ni Bar maarufu iliyopo Dar Es Salaam, maeneo ya Tabata inafahamika kwa jina BARACUDA BAR & LOUNGE. Malipo ya kazi nalipa...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na kugadhabika jinsi Watanzania walivyopokea suala la wanafunzi waliotoka Sudan

    Wakuu, Mimi nikiwa kama Mtanzania mwenye akili timamu, nimechukizwa sana na jinsi watanzania mbalimbali walivyolishadadia na kuendelea kuchangia maoni yao kwa wanafunzi waliokuja kutoka Sudan kufanya mafunzo yao ya udaktari kwa vitendo katika chuo cha Afya Muhimbili. Nasema nimegadhabishwa kwa...
  17. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa jinsi baadhi ya Wahadhiri (Lecturers) wetu walivyo nchini wanafunzi waliotoka Sudan kuna usalama kweli?

    Huko Sudan kuna machafuko makubwa sana yanayosababishwa na mapigano makali baina wao kwa wao, zaidi ya wanafunzi laki vyuoni wamelazimika kurudi majumbani ama kwenda nje ya nchi, kwa hapa Tanzania wanafunzi 150 wa kada za afya wamekuja kumaliza masomo yao. Hapo kabla ya vita kulikuwaga na...
  18. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo jitahidini sana mvunjapo Mahusiano na wanaume Msiachane kwa Ugomvi

    Nimeona niilete hii mada, kwa sababu wengi huwa tunahisi ya kuwa maisha ni sasa, bila kukumbuka kuna ya kesho. Kumekuwa na kawaida ya mahusiano mengi kuvunjika, ingawa kwa asilimia kubwa usababishwa na hawa wadada wanaojiita /wanaojiona ni warembo kweli kweli. Huwa wanawacha wapenzi wao kwa...
  19. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warembo kuvaa nguo zenye maandishi ya kusisimua, uko ni kutegana.

    Nikikuona dada mrembo umevaa nguo yenye maandishi ya kunishawishi au kusisimua, nitachukulia yale maandishi ndicho wewe unacho maanisha. Kwa hiyo mimi nikitekeleza kwa kufuata yale maandishi yanavyotaka mimi nifanye, usinione mi mbaya. Shauri yenu warembo, endeleeni kuvaa nguo zilizoandikwa...
  20. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyie warembo, kwa nini huwa mnajiweka kwa bei ghali wakati uhalisia unajijua?

    Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe. Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa...
Back
Top Bottom