warembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brain Kingdom

    Sijawahi kushinda mechi kwa mngoni, mmakonde na mhaya. Mara zote naambulia droo...

    Hello mambo aje? Ukweli usemwe mara zote nikiwa na shoo na hao magwiji wa kike kutoka haya makabila mhaya, mngoni na mmakonde, mara zote kwenye game nafanywa mimi badala ya mimi kufanya, wana mashambulizi makali kama ya watani zangu Yanga SC dhidi ya TP Mazembe. Sio style moja yaani style...
  2. Brain Kingdom

    Utundu na ubunifu wangu ndani ya 6X6 unavyowadatisha mashangazi warembo

    Wasalaam JF Jamani mapenzi ni utundu na ubunifu, hivi vitu ni sumaku ya mahaba, na hutiririsha chemichemi ya kugandwa kimahaba. Utundu na ubunifu wangu wa kutumia vidole vyangu vyote vya mikono na miguu ndani 6by5, 6by6, nimevuna dodo la kale au ukipenda mshangazi mrembo. Si kwingine ni hapa...
  3. Equation x

    Warembo wanahangaika sana, hizi shepu hizi!

    Chanzo cha haya yote, ni kutaka kutushawishi sisi wanaume. Kweli mwanamke bila mwanaume hajakamilika. Tazama...
  4. ERTUGRUL BEY

    Eti Mabaharia ambao huwa mnafeli kupata namba za Warembo huwa Mnafeli wapi?

    Nipo Coco beach now nimepitia hapa kupunga upepo kwani niliumiss flan hivi. Kulia kwangu kuna Akina dada wanapanda farasi huku wanapiga picha kuweka kumbukumbu,nyuma kidogo kuna wamasai ambao wamechill Chini ya mnazi wanawaza mambo yao, mbele yangu wanapita wadada watatu wa kizungu wanafurahia...
  5. Equation x

    Mizinga ya warembo wa humu, ni stahimilivu?

    Mambo vipi wakuu? Kutokana na miangaiko ya utafutaji wa kila siku; imenibidi kutenga angalau siku mbili ndani ya wiki, nikashangae kwa kubadilisha mazingira ya hapa na pale; angalau nifurahie uwepo wa kuwa hapa duniani. Sasa hivi, nipo hapa njia panda kwenye hichi kilima, kuelekea mbugani...
  6. sinza pazuri

    Wanaume wa Dar wanaongoza kupigwa vita ila ndiyo sukari ya warembo

    "Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini. Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa. Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa...
  7. Poker

    Wanawake warembo zaidi duniani kwa mwaka 2022 TOP 10!

    1- bella hadid 2- Adriana Lima 3- Beyonce 4-deepika Padukone 5- tuerny TZ 6- angelbaby 7- Aishwarya Rai 8- huddah Monroe 9- Priyanka Chopra 10- Margot Robbie Hao ndio wametajwa kuwa wanawake warembo, wenye mvuto, na maendeleo katika nyanja mbalimbali. Majarida mengi ulimwenguni yamewaorodhesha...
  8. Boss la DP World

    Jinsi ninavyotumia gari kama mtego wa warembo

    Habari zenu wakuu, leo nataka niwasimulie jinsi ninavyotumia Gari kama ulimbo wa kuwanasa watoto wazuri, naamini mtaenjoy sana hasa kisa cha binti Rachel nasema uongo ndugu zangu? Kwakuwa mara nyingi nakuwa na safari za kwenda Dodoma kikazi (maana ndipo ilipo Serikali), basi gari langu...
  9. L

    Natoa vocha kwa warembo bora wa wakati wote wa JF

    Kama wewe ni mrembo Bora wa wakati wote na unajikubali, Nithibitishie ,nikupe vocha na MB za kutosha kuendelea kupenzika na kuchat Only 5 women Thanks
  10. Equation x

    Warembo machachari, mpo wapi? Popote pale mlipo, tukutane kiwanjani

    Mida ya kusogelea viwanja unakaribia kufika. Mwanaume bila kuwa na ubavu wake wa kushoto, mapumziko huwa hayaendi vizuri. Mida ya jioni, ndio huwa mida mizuri ya mitoko kwa wanawake pamoja na wanaume; baada ya kutimiza majukumu yao ya wiki nzima; sasa ni muda wa kujifariji baada ya kuutumikisha...
  11. maroon7

    Sijui kwanini nachepuka...

    Yaani mama yeyoo alivyo kisu hata sielewagi why mimi sometimes nakua mchepukaji. Maana hata kipindi nampata yeye ndo alikua kama side chick halafu main chick sikumuoa japo naye alikua kisu. Ila tuache utani wachepukaji tunakua na maoption sana maana nikikumbuka visu nilivokua nakula hadi...
  12. Donnie Charlie

    Ngamia warembo waondolewa kwenye shindano kwa sababu za udanganyifu

    Ngamia 40 wameondolewa katika shindano la kumtafuta Ngamia Mrembo (Miss Camel Beauty) Saudi Arabia kutokana na udanganyifu ikiwemo kuchomwa sindano ya Botox ili kupunguza mikunjo na kuwafanya waonekane warembo zaidi. Shindano hilo ni moja ya shughuli katika Tamasha la Ngamia.
  13. Nyani Ngabu

    Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

    High drama in the Gwajima clan! So is this a tacit admission that it indeed was him in that homemade sextape?
  14. Cannabis

    Wanaume Uganda wawatamani warembo wa Afghanistan

    Waziri wa Jinsia, nchini Uganda Betty Amongi, amesema wanaume nchini humo wamekuwa wakiombea wakimbizi kutoka nchini Afghanistan wawasili salama na kwamba wamekuwa wakisambaza picha za wanawake hao warembo na kusema anatumaini hawatotoka chama cha wanaume bahili. Waziri Amongi ameandika hayo...
  15. Last emperor

    Sabaya enzi zake mtaani akila maisha na warembo

    Mkuu wa zamani wa wilaya ya Hai, enzi akila maisha sehemu mbalimbali katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Ambapo kama kawaida alikuwa anaambatana na wapambe wake na warembo. Na kama kawaida ilikuwa ni mwendo wa kula Bata bila kulipa..
  16. sky soldier

    Hii imekaaje, nakutana sana na likes za makipa wa mpira kwenye picha za mabinti Instagram

    Hapa sizungumzii warembo maarufu kama kina mobeto ambao watu wengi tunawajua, nazungumzia mabinti ambao ni raia wa kawaida tu, followers hata hawazidi elf 1. Wengi ni wadogo wa marafiki zangu ambao nimewafollow ama majirani, marafiki zao, n.k Ni mda mrefu sana nimekuwa nakutana sana na likes...
  17. J

    Warembo wa JF...

    Salaam, Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum. Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri? Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu ndani ya miezi kama 18 iliyopita. Kiukweli tuliishia tu kupiga story mbili tatu, hata urafiki wetu...
  18. dyuteromaikota

    Kwanini nikivaa jezi za Arsenal na Yanga warembo wanakuja wenyewe kunipa namba za simu?

    Mimi ni mpenzi wa hizo timu mbili, nikivaa jezi za timu hizo warembo wanakuja kunipa namba wenyewe, imenitokea mara nyingi sana. Halafu mimi kwa sasa nimeokoka sitaki kabisa dhambi, kuna siri gani jamani?
  19. zagarinojo

    Tulikuwaga na ndoto za kuoa wazungu ila sasa basi Afrika tuna warembo...

    Hello wana MMU. Ujana bwana una mambo mengi mengine ya kitoto kabisa. Umeshawahi kusikia kuhusu Skin Surgery au Plastic Surgery? Wakati tunaingia ujanani wengine tulikuwa tunakebehi wadada wetu wa Afrika kuwa sio warembo na tulipokuwa tunaona Wazungu wajicream, na wamepiga make up tukajua hawa...
Back
Top Bottom