wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa watu? Faiza Fox, Kichwa Kichafu na Wa Stend

    Jamani wanjf Ni muhimu pia kutafutana ikiwa Kama tuko jukwaa moja la JamiiForums, hao watu tajwa hapa juu na wengine wako wapi? Tumemiss nyuzi zaoo_ONGEZEA WENGINE AMBAO WAMEPOTEA KWENYE JUKWAA HILI.Tuwapate.
  2. JamiiForums Tanzania Nini kimeiua CHADEMA? Walikosea wapi? Vyama vingine vya upinzani vijifunze kuepuka kibri cha kupendwa

    Kuna wengi sn wanaweza kufikiria nini kilisababisha anguko la Chadema wapo wachambuzi wengi wa masuala ya siasa wanaweza Kuja kuelezea mengi Sana yaliyosababisha anguko la kilichokuwa chama kikuu cha upinzani zifuatazo ni baadhi ya hoja zinazotoa ushahidi juu ya kiini cha anguko la Chadema...
  3. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya watangazaji wa mechi Azam TV na kutumia Neno "Madhambi" mmeitoa wapi?

    Habari ya ijumaa wadau wa JF muda huu nimejiunga na azam max hapa nitazame mechi ya fainali ya mapinduzi cup huku nikiendelea na kazi but nimepata ukakasi kwa kile nilichokuwa nakisikia mara kwa mara kutoka kwa mtangazaji Gharib Mzinga kwa namna anavyopenda kutumia neno "madhambi" kwenye...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbunge Nassary aliishia wapi? Mrithi wake kwenye kiti cha Ubunge ni nani? Au Jimbo lilibaki wazi?

    Nassary alikuwa kijana machachari Sana kutoka huko Arusha, alikuwa anajenga hoja na kusimamia serikali. Toka nimwone jukwaani akimnadi JPM sijawahi kimwona tena sijui kama yupo nchini au anafanya kazi nje; huyu kijana pamoja na Masele NI watu ambao hakuna siku watamsahau Ndugai. Ndugai alimvua...
  5. JamiiForums Tanzania TRA kwanini kodi (ushuru) hutozwa kodi tena kwa jina lingine? Wabunge mko wapi?

    Nimejaribu kuisoma kanuni iliyotolewa na TRA ya kukokotoa kodi inayolipiwa bidhaa zinaoingizwa toka nchi za nje nimepata maswali mengi sana. Mojawapo ya maswali ni kwanini Ushuru wa Forodha unatozwa Ushuru wa Bidhaa pia unatozwa Ushuru wa Ongezeko la Thamani (VAT)? Kwanini Ushuru wa Bidhaa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa uchumi: Serikali inakosea wapi?

    1. Uchumi wa Tanzania umeendelea kuzorota siku hadi siku. Na sasa maisha ya wananchi wengi yako taabani. 2. Ni nini serikali imekosea hadi hali ya uchumi wetu kuwa taabani kuliko wakati wowote tokea uhuru. 3. Wakati wa mwalimu Nyerere vitu vilikosekana laki bei haikupanda siyo kwa bidhaa hata...
  7. JamiiForums Tanzania CCM mnafeli wapi? Hiki kizazi cha nyoka mlichotengeneza ndiyo mkishawishi kuacha kulima na kubeti?

    Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning. Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji? Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana walichangia au walidumaza maendeleo ya Taifa letu? Siku hizi wapo wapi?

    Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi? Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya? Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au...
  9. JamiiForums Tanzania Vifaranga vilivyofia airpot kwa kukosa huduma vipo wapi kwa sasa?

    Hivi karibuni tulisikia vifaranga 60,000 vikiwa vimekufa kwa kukosa huduma kwenye uwanja wa ndege wa Dar baada ya kuingizwa nchini kinyume cha sheria na kutokuwa na vibali. Vifaranga hivyo ni mali ya Kampuni ya Phonex ya Mkuranga Mkoa wa Pwani swali je viko wapi kwa sasa vifaranga baada ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana Mali au biashara anazomiliki hapa nchini? Viko wapi vitega uchumi vyake?

    Wanasiasa kama Lissu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri. Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wa kufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi...
  11. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata matibabu ya tonsils sugu?

    Katika ukuaji wangu sikuwa naugua ugonjwa wa tonsils mara kwa mara ilikuwa inatokea kwa nadra sana. Miaka mitano nyuma nilikuwa kikazi ukanda wa nyanda za juu kusini kikazi ndio ugonjwa wa tonsils ukawa ni kama ugonjwa wangu wa kudumu. Nikinywa kitu chochote cha baridi baada ya dakika tano...
  12. JamiiForums Tanzania Mpango wa waziri Makamba wa kupunguza bei ya petroli kwa 75% na Tanzania kuwa petrol hub umeishia wapi?

    Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangia waziri wa nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi za SADEC na Afrika Mashariki. Mpango ulikuwa kwa kushirikiana na nchi rafiki za OPEC+ kujengwa kwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya msajili wa vizazi na vifo(RITA) ni waongo au shida iko wapi?

    Habari Niliomba vyeti mbali kupitia system yao ijulikanayo kama RITA ONLINE, nimeomba toka mwezi November na leo Januari sijajibiwa, wanasema tu payment received, Payment status, ukiwauliza wanasema wanajibu baada ya siku 10 za kazi Sasa nina zaidi ya mwezi hakuna progress yoyote, na ni zaid...
  14. JamiiForums Tanzania Ziko wapi studio za Free Nation?

    Nahitaji kufika hapo na hasa kuonana na CEO kwa lengo la kuteta kidogo kuhusu wimbo fulani mpya Najua iko sinza ila eneo gani ndio sijajua. Mwenye ufahamu tafadhali tujulishane
  15. JamiiForums Tanzania Coco Beach pesa ya maegesho inaenda wapi?

    Ukifika Coco beach na gari utakaribishwa na mdau anayekusanya ushuru wa TZS 1,000 Kwa kila gari. Je, hiyo pesa inafanya kazi gani? Maana hata kile choo pale unalipia tena pesa. Uchafu umejaa kila kona. NB: Halmashauri ya Manispaa waliwahi kupewa maelekezo ya kuendeleza usafi hapo Coco Beach...
  16. JamiiForums Tanzania Majibu ya utafiti: Miaka 10 ijayo Tanzania itakuwa imesimama wapi?

    Rais Samia pamoja na marais waliomtangulia: Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete MIAKA 10 ijayo, hadi kufikia mwaka 2033, Tanzania itakuwepo. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hatakuwa madarakani, huku idadi ya watu ikikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 75. Je, uchumi wake utaimarika na maisha ya watu...
  17. JamiiForums Tanzania Utabiri wa Tumia Akili uliishia wapi?

    Huyu alijiita member wa Deep State na alileta uzi hapa akidai kuna rais ataibuka Tanzania na kutawala kuanzia 2022 Hadi 2032. Utabiri huo uligonga mwamba. Happy New Year. https://www.jamiiforums.com/threads/franklin-d-roosevelt-fdr-na-uongozi-wa-miaka-12-kujirudia-tanzania.1950132/
  18. JamiiForums Tanzania Yupo wapi Edward Lowassa?

    Waku heri ya mwaka mpya. Kwa upande wangu nimeuanza mwaka vizuri kabisa. Lakini kuuanza mwaka pasipo kujua hali ya nguli huyu wa siasa za Tanzania hapana Kwa kweli. Mwenye taarifa kuhusu hali ya jabali hili aniambie, yupo wapi na hali yake kiafya kiujumla ikoje? Ni Kwa Nia njema Tu, maana...
  19. JamiiForums Tanzania Wapi kunapigwa fataki nije?

    Raha ya mwaka mpya ni fireworks 🎇 kwa Kiswahili fataki. Hii miale huwa ina rembesha na kunururisha sana nafsi yangu. Inafanya mwaka mpya wangu ujazwe na rangi nzuri zenye kuvutia na kupendeza sana. Hebu tujuzane sehemu ambako leo mambo yatakuwa ni fire 🔥
  20. JamiiForums Tanzania Vilabu Vya Mpira Mitaani Vimekwenda Wapi?

    VILABU VYA MPIRA MITAANI VIMEKWENDA WAPI? Dar es Salaam tuliyokulia sisi katika 1960s hakuna ambae alikuwa hachezi mpira. Kutoka Upanga hadi kufika Kidongo Chekundu kulikuwa na viwanja zaidi ya 10. Tukifanya mazoezi kila siku mwaka mzima. Jangwani kulikuwa na viwanja hata idadi yake sijui kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…