Ndugu yetu BAK amepotelea wapi humu JF?

CAN WE SPECULATE KUWA JF INAPOTEZA MVUTO? SIDHANI , BADO JF NI KIMBILIO LA KUSEMA UKWELI!
JF ni mkusanyiko wa watu wengi mno kuhalalisha specific speculation kama hiyo.

Kupotea mjumbe nguli BAK haliwezi kuhalalishwa na statement ya jumla hiyo labda kama itakuwa ni jitihada ya kuhamisha magoli.

Yuko wapi BAK au hata kwanini Uzi ule ulifungwa?

Ninaamini hata huu ukijikita kumwulizia BAK nao utafungwa au kufutwa.
 
CAN WE SPECULATE KUWA JF INAPOTEZA MVUTO? SIDHANI , BADO JF NI KIMBILIO LA KUSEMA UKWELI!
Sasa hivi JF inaakisi Taifa zima na tabia zake.

Mwanzoni ilipoanza ilikuwa inaakisi kikundi kidogo cha "Elites" waliokuwa na access ya internet.

Halafu watu huja, na kutoweka kisha wakaja wengine. Kwa hiyo tutegemee kuona baadhi ya watu wakipotea/phasing out, kisha wakaja wengine mpaka tekinolojia mpya itakaporeplace JF
 
!!!!!!!! kwa Post zipi zenye hoja! Kula tunda kimasihara?
Soma #6 na #8 utakubaliana na nilichoanza kusema.
CAN WE SPECULATE KUWA JF INAPOTEZA MVUTO? SIDHANI , BADO JF NI KIMBILIO LA KUSEMA UKWELI!
Bado yuko mbali kidogo, hata hivyo JF of GT's haipo tena kumebaki mtukanano tu.
JF haijapoteza mvuto, still members wanajiunga kila uchwao.

Uwepo wa majukwaa ya nyanja tofauti, lengo ni kupokea habari tofauti kutoka Kwa watu tofauti, wenye haiba tofauti.

JF kuwa home of great thinkers, haimaanishi zijadiliwe rocket sciences tupu humu.

JF where we dare to talk openly, means tell us what u feel, na sio kuwa forced by others. Humu JF kuna majukwaa ukiamua kabisa usione post zake, unaweza. So, kubali kuwa interest za watu zipo tofauti, alaf jaribu kuendana nao.

Tukirudi kwenye issue ya BAK, I'd yake hata ukijaribu kuitag haitokei, ni kama vile mtu aliyepigwa ban, ila hajapigwa ban. Ukituma advanced search unampata. Hayupo active since 2021. Labda Maxence Melo na Moderator eatoe ufafanuzi kuhusu hii ID
 
Sasa hivi JF inaakisi Taifa zima na tabia zake.

Mwanzoni ilipoanza ilikuwa inaakisi kikundi kidogo cha "Elites" waliokuwa na access ya internet.

Halafu watu huja, na kutoweka kisha wakaja wengine. Kwa hiyo tutegemee kuona baadhi ya watu wakipotea/phasing out, kisha wakaja wengine mpaka tekinolojia mpya itakaporeplace JF
Well said! sasa hata mama ntilie anaweza access JF! It is only elites as you have put it, had smartphones, computers etc by then!
Humu JF kuna majukwaa ukiamua kabisa usione post zake, unaweza.
How do you do it? Kwa mfano MMU huwa siitaki
 
Tukirudi kwenye issue ya BAK, I'd yake hata ukijaribu kuitag haitokei, ni kama vile mtu aliyepigwa ban, ila hajapigwa ban. Ukituma advanced search unampata. Hayupo active since 2021. Labda @Maxence Melo na @Moderator eatoe ufafanuzi kuhusu hii ID
He was one of the prominent figures on JF!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom