wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Yale matope ya moto yaliyokuwa yanatokea ardhini kule Kunduchi yaliishia wapi?

    Mwaka Jana nakumbuka kulitokea chemchem ya Matope maeneo ya Kunduchi Dar es Salaam. Matope haya yalikuwa kama Uji yakitokea CHINI ya Ardhi. Tuliambiwa uchunguzi unaendelea, sikumbuki / pengine sijawahi kusikia taarifa ya Kitaalam kwamba kile ni kitu gani! Naomba mnikumbushe!
  2. JamiiForums Tanzania Tanesco mlichelewa wapi kuwa na msemaji mwenye uelewa wa mnachokifanya?

    Salamu, Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa, kanda na vituo vya kufua umeme wataamka Kwa uchapaji kazi.
  3. JamiiForums Tanzania Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tulimpoteza Magufuli kwa sababu kuumwa hadi kuzidiwa kulifanywa National Bigly Secret ambapo wananchi hatukujulishwa iwapo anaumwa ama amezidiwa zaidi ya kustuliwa na taarifa ya kifo chake mnamo 17 March 2021. Rais ni wa Jamhuri ijulikane kuwa anamilikiwa na wananchi wote bila kujali itikadi...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wakongwe: Uliangalia wapi Fainali ya Kombe la Dunia 1994 kati ya Brazil VS Italia

    Wakongwe habari! Nimepata kumbukumbu za Fainali za Kombe la Dunia mwaka 1994, wakati huo nilikuwa nipo shule ya Msingi. Mechi za mashindano haya nilizingalia Jet Club (ilikuwa ndani ya eneo la Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere International Airport wakati ule ulijulikana kama Uwanja wa ndege...
  6. JamiiForums Tanzania Ni wapi Tanzania kuna bustani nzuri ya kupumzika kama ya Nakuru nchini Kenya?

    Ni sahihi kuiga vitu vizuri. Kama hatuna bustani nzuri kama hii iliyopo jijini Nakuru, Kenya, ni bora jitihada zifanyike ili miaka michache ijayo, tuwe na nzuri, tena kubwa kuizidi ya jijini Nakuru. Najua pale Mwanza Mjini, jirani na Gandhi Hall, kuna bustani ya uma lakini ukiilinganisha na ya...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Huu uzushi kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na njaa ulitokea wapi?

    Kwanza Niseme kabisa Mimi sio Daktari, lakini nimeongea na madaktari. Lengo la Uzi huu ni kujaribu kuzungumzia juu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo ambao Kwa kizungu unaitwa ulcers, nimeamua hasa kujikita kwenye mada hiyo. Kuna uzushi mkubwa Tanzania kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mechi zijazo za Yanga na wapi atakuwa anacheza

    Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away. Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili ni za nyumbani na mbili za ugenini. Nyumbani ni dhidi ya Medeame na CRB na ugenini ni dhidi ya Ahly...
  9. JamiiForums Tanzania Chanjo za corona zimepotelea wapi? Na uviko hali ikoje?

    Yale machanjo yetu tuliyopewa zawadi na mabeberu bado yapo? Siyasikii kabisa siku hizi kama hapo awali kwa jinsi yalivyokuwa yanapigiwa chapuo la mwendokasi. Nasikia kulikuwa na mafurushi kadhaa ya chanjo. Sijui ni mafurushi ama makapu, lakini naamini hayo machanjo yalijazwa kwenye kapu fulani...
  10. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Nimenunua Luku mkanikata sh. 1,500 as DEBT COLLECTED , inatoka wapi na sijawahi kopa toka kwenu??

    Nimenunua umeme , nikapata message iliyojumuisha na DEBT COLLECTED ya shilingi 1500. Sijawahi kopa kwenu sasa deni limetoka wapi? Please clarify!
  11. JamiiForums Tanzania Ujasiri huu wa Watanzania kwa wazungu umepotelea wapi?

    Henry Kissinger, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kaja Tanzania kupatana na Rais Nyerere kuhusu jambo. Alikutana na mabango mengi. Leo hii leo hii leo hii mzungu kutoka Marekani mwenye cheo hiki akija tena Tanzania ole wake atakaenyanyua bago, ujasiri wetu umeenda wapi?
  12. JamiiForums Tanzania Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Wakuu! Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee Ujuaji sitaki Karibu Njaa
  13. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mizani za kupimia almasi na bei zake zipoje?

    Wakuu mwenye kujua sehemu vinapo patikana hivo vipimo anijulishe. Natanguliza shukrani
  14. JamiiForums Tanzania Unaiona wapi Tanzania ya kesho kupitia malezi ya watoto wa leo?

    Mwandishi maarufu wa vitabu, Robert T. Kiyosaki, kaandika kuwa mahali sahihi pa somo la mafanikio kufundishwa ni nyumbani. Kwa msingi huo, makuzi ya mtoto yatakuja kumwathiri si yeye peke yake tu, bali pia familia yake, Jamii yake na Taifa lake kwa ujumla. Je! Malezi yetu ya Kitanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mwisho wa siku masikini wataishi wapi?

    Eneo lolote likianza kuwa na maendeleo masikini hatakiwi kuonekana! Sheria hutungwa na vigezo huwekwa kumlazimisha masikini akimbie! Mfano jinsi miji inavyokuwa kuna nyumba zinawekewa sheria ya kwamba ukitaka kuikarabati lazima uombe kibali na watakuambia mtaa huu kama unatakakujenga, jenga...
  16. JamiiForums Tanzania Clemence Mtenga aliuawa sababu ya rangi yake? Serikali inafeli wapi wakati raia wa Thailand wote wameachiliwa?

    Iko hivi, wathailand 12 wameachiwa pamoja na waisrael 12 ikiwa ni makubaliano yaliyofanyika Kati ya Israel na Hamas. Sasa tujadili hill jambo. Clemence Mtenga sasa ni marehemu, amefia Gaza. Mpaka sasa maelezo hayajanyooshwa kuwa kafa kwa kombora, au gunshot etc. Vyombo vya habari vinavyojulikana...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Makonda yupo wapi?

    Alionekana akipanda malori ya mchanga, bajaj, baiskeli, punda na hata ngamia huko kanda ya ziwa. Alichoacha kupanda ni fisi tu, je Makonda yupo wapi? Jana Kikwete kasisitiza umuhimu wa serikali kuchukua ushauri katika maswala mbalimbali, nafikiri Kikwete alishaona mbinu za kisiasa za awamu hii...
  18. JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na unywaji wa pombe, lakini sijui naanzia wapi

    Hello JF Kama kuna mtu anaweza kunisaidia abc za namna ya kuacha unywaji wa pombe anisaidie tafadhali maana kila nikijaribu nakaa siku mbili narudia...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Ule Uzi wa Saa 1 Ijumaa wa GENTAMYCINE aliyesema matokeo ya Yanga na Mwarabu ni ama 2-0 au 3-0 umepotelea wapi?

    Na naukumbuka tena kama kawaida yake Alifumba na Kuuliza / Kutuuliza je, tunadhani ni Timu gani kati ya Yanga SC na CR Belzoud FC itafungwa Magoli hayo ama 2 kwa 0 au 3 kwa 0? Team GENTAMYCINE tunauhitaji huo Uzi ili tuweze Kuuchangia na kumpa Maua yake GENTAMYCINE ambaye pamoja na kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Bilioni 2.15 za tigo, Mwana Fa huenda alizitumia kuingia kwenye siasa, Ay kawekeza wapi?

    Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…