wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Shobi

    JamiiForums Tanzania NMB huwa wanatoa wapi pesa za kugawa

    Huwa naona NMB wako mstari wa mbele je hizo pesa huwa wanatoa wapi maana ni nyingi sana kwa mwaka mzima?
  2. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Mamlaka husika zimzuie Rais Samia: Nchi yetu inaelekea wapi?

    Ndugu zangu Watanganyika mliopo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama na wale mnaomshauri rais Samia hebu msaidieni asidanganywe na walaghai wenye nia ovu. Baada ya hapo fanyeni haraka kurudisha umiliki wa eneo la Ngorongoro, KIA na bandari zetu. Pia mchakato wa kuchimba madini kwenye hifadhi na...
  3. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania TRA kudhamini Ndondo CUP, Pesa hizi wanatoa wapi?

    Nimeona leo TRA wamekuwa wafhamini wa ndondo cup.. watasema sijui wanataka kujitangaza? TRA wanafanya biashara gani? Pesa za walipa kodi ndio wanatumia kwa upuuzi huu? Sijasema ndondo cup ki upuuzi lakini Mil 40 zinajenga zahanati 1 kijijini? Kazi ya TRA ni moja tuu, kukusanya mapato na...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za maharage ya Njano?

    Salaam! Rejea heading hapo juu, natafuta mbegu ya maharage ya njano mafupi. Nipo Mwanza nimejaribu kwenda kwenye maduka ya pembejeo za kilimo wananishangaa. Naomba ambaye anajua yanapopatikana atoe msada. Uzi tayari.
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wako Wapi Wabunge wa Simanjiro, Longido, Monduli na Kiteto? Hamuwaoni ndugu zenu wanavyo teseka? Wakati wenu waja

    Hawa wabunge huwezi wasikia kwenye swala lolote la kutetea Wasai wenzao wanao taabika na wanao kuwa wakimbizi chini ya utawala wa kikaburu wa CCM, hawa wanangoja vipindi vya kampeni vifike wakawadanganye wamasai wenzao na kuwalisha nyama ili wawapigie kura tena. Hawa wabunge huu ulikuwa ni...
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa vyombo vya habari hakikisheni habari zinazenda kwa wananchi zimethibitishwa, mnatulisha matango pori

    Leo Mjanja M1 nimechukizwa sana, tena sana. Hivi nyie wasimamizi vya vyombo vya habari kazi yenu kubwa ni nini? Mnaacha watu wanalishwa matango pori na watu wenye media kubwa na hamchukui hatua yoyote. Angalia hii habari hapa chini, nimejaribu kuziba jina la hiyo media ili kutomchafua kwakuwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mama yetu anafeli wapi??

    Habari zenu members of jamiiforums,Mimi pia ni buheri wa afya,nimeandika uzi huu mahsusi kabsa kwa minajili ya kudurusu mfumo wa uongozi wa serikali yetu. Ingawa watu wanasema mama ana upiga mwingi lakini Kuna pahala katika uongozi wake panavuja.Tunaweza chunguza namna mama anavyoliongoza taifa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Mama inafeli wapi?

    Habari zenu wanachama wa Jamiiforums. Mimi pia ni mzima wa afya, na nimeandika uzi huu mahsusi kwa minajili ya kudurusu mfumo wa uongozi wa serikali yetu. Ingawa watu wanasema mama ana upiga mwingi, kuna sehemu katika uongozi wake panavuja. Tunaweza kuchunguza namna mama anavyoliongoza taifa...
  9. crome20

    JamiiForums Tanzania Mabasi Mwendokasi mnafeli wapi?

    DART wajiulize kwa ninini abiria Wako tayari kutumia daladala za kawaida wakati bus zao zinapita pale. Mfano 1. Kwa nini kuna Bajaji toka Manzeshe kwenda Mbezi? 2. Kwa nini abiria shekilango, Manzese Kagera, hata Magomeni wasubiri daladala za Sinza kwenda Posta na Kkoo wakati hiyo ni route ya...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ofisi za mkuu wa wilaya ya Chalinze ziko wapi?

    Naomba nielekezwe ofisi za mkuu wa wilaya ya chalinze Sio za HalmashaurI ya wilaya,bali mkuu wa wilaya
  11. chamilo nicolous

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi kozi ya uuzaji wa madawa ya binadamu?

    Wandugu, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Nimesoma masomo ya Biology na chemistry kisha nikasoma kozi za uhifadhi wa maliasili, kwa kozi hii mambo hayaeleweki. Natamani nipate kozi fupi ya uuzaji wa madawa, wanajamvi nisaidieni niwapi hii kozi inatolewa
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je mapendekezo ya "TUME YA HAKI JINAI" yako wapi kwa Polisi hii

    Wale wale waliokuwa wanashangilia mapendekezo ya tume ndiyo hao hao hawajatekelezi na wengine kuagiza kuvunjwa kwa sheria hizo hizo. Yaani Polisi ya sasa inavunja sheria kuliko hata Polisi ya kabla ya tume. Sasa faida ya hizi tume ni nini! Au Tuwe na tume maalumu kwa vyama na makundi na sio kwa...
  13. USSR

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Salum Mwalimu

    Ni kiongozi mkubwa wa CHADEMA hajaonekana hadharani hasa kipindi hiki wenzake wakiwa kwenye purukushani na polisi yeye kimya. Soma Pia: Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa haijulikani wapi Tundu Lissu alipo

    Mpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini. Hata hivyo taarifa za awali zinasema kuwa alikamatwa na jeshi la polisi. Wananchi mbalimbali wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu sana...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania Haijashinda Medali yoyote Olympics kwa takriban miaka 40. Shida iko wapi?

    Ikiwa Mashindano ya Olympics yamemalizika leo Agosti 11, 2024 Wawakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya Olympics nchini Ufaransa watarejea nchini bila ushindi wa Medali yoyote Tanzania ilipeleka timu ya Wanariadha 7 kwenye Mashindano hayo Aidha mara ya mwisho Tanzania kupta Medali ya fedha...
  16. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  17. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania AI (Akili Mnemba) itaua kazi za watu, sijui wasomi watakosa kazi aah wapi. Indispensable human on the loop

    AI inao uwezo wa kujichanganya, tuwe makini asee. Leo katika kuchakata swali moja la kitafiti la kutenganisha bidhaa zilizomo katika pombe nikagundua. Ili kuzitumia taarifa zilizopo katika mfumo ni muhimu uwe na elimu kuhusu jambo hilo kiasi. Ndio maana siku zote mifumo inahitaji kushirikiana...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dkt. Bashiru Ally?

    Alikuwa katibu mkuu wa CCM kipindi cha Magufuli. Yuko wapi?
  19. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Rais anatoa wapi fedha za kuanzisha Samia scholarship? Tuache mchezo na fedha za umma kisiasa. Fedha zirudishwe HESLB!

    Kisheria bodi ya mikopo ya elimu ya juu pekee ndiyo bodi rasmi ya serikali ya kutoa mikopo, kulingana na vigezo mbalimbali vilivyowekwa. Wako vijana wanaokosa mikopo wakati wanavyo vigezo vyote, kwanini fedha hizo zielekezwe kwa wengine ilihali ni fedha ya umma na inatolewa kwa mfumo na...
  20. Faana

    JamiiForums Tanzania Kwenu watambuzi kibao hiki kipo wapi

Back
Top Bottom