wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Aende wapi kati ya TARURA kwa Mkataba ama HALMASHAURI ila Perment!

    WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada. Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI. TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa anabyodai Wakati Halmashauri ni 1M pia kwa ufatiliaji wake Halmashauri marupuru ni kwa manati...
  2. JamiiForums Tanzania Watu mliosoma wote kuanzia shule ya msingi, sekondari na vyuo hupotelea wapi?

    Habari za mapambano wakuu, Kuna swali huwa najiuliza sana haswa wiki inapoanza Jumatatu napokuwa naelekea kwenye majukumu, hivi watu niliosoma nao primary, seco na chuo mbona asilimia zaidi ya 97% siwaoni? Sio kwenye maofisi ya uma na binafsi, usafiri wa umma kama daladala na mwendokasi...
  3. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo/Yas wanakiburi sana cha biashara au wanadharau wateja, TCRA wako wapi?

    Nimetuma pesa kwenye mtandao tofauti, pesa haijafika kwangu wamekata, na wananiambia masaa 72, wanasema tatizo lilitokea jana, chaajabu nimeangalia Instagram, nimeona malalamiko ni mengi sana, na yapo hadi siku za nyuma. Hii inapnesha ni tatizo la muda mrefu. Sasa kwanini hawaweki wazi tatizo...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nijulishe, baada ya dramacool kufunga site zao, wapi tena naweza kudownload koreandrama for free?

    Msaada tafadhali, nahitaji kucheki series za kikorea ila ndio hivyo tangu dramacool waamue kushut down site zao zote, nimekosa mbadala. Nipeni mautundu niburudike....
  5. S

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mungu?

    Ninajiuliza kila siku bila kupata jibu Yuko wapi Mungu, wakati watoto wanalala njaa? Yuko wapi Mungu, wakati watu wanapoteza wapendwa wao kwa magonjwa wasiyoweza kutibu? Mbona dunia imejaa vilio, lakini mbingu zimejaa kimya? Wanasema Mungu ni mwenye huruma, lakini mateso haya yanaongezeka kila...
  6. JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kutisha: Wanasiasa na Viongozi wa Umma kununua viwanja kwa Mabilioni ya Pesa huko Arusha! Watanzania tusiposimama imara, tumekwisha

    Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha. Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kitima yupo wapi hatujazoea kimya hii

    Kapona? Au bado wenye data?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

    Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
  9. JamiiForums Tanzania Pisi Kali kwa hapa kishiri-mwanza zinapatikana wapi??

    Habari ya muda huu wakuu, nimefika mwanza kutoka dsm jiji limepoa sana, nipo kishiri nazunguka zunguka kucheck pisi za kisukuma lkn sijabahatika kbs , kwa anaejua maeneo mazuri kwa hapa kishiri atwambie. Aisee vumbi sana kama kigoma🤣🤣🤣🤣
  10. JamiiForums Tanzania Unajiandaa kuangalia fainali ya kukumbukwa ukiwa wapi?

    Leo ni siku muhimu na maalum sana kwenye ulimwengu wa soka Tanganyika pale Mnyama Simba mwakilishi pekee wa kimataifa Tanganyika... Atakaposhuka dimbani huko Morroco kumenyana kwenye fainali za CAF Ni siku maalum sana kwa SIMBA kwakuwa ilifanikiwa kufika hatua hii miaka 30 iliyopita Ni siku...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa binadamu hajajua alitokea wapi!

    Mpaka Sasa Binadamu Hajajua Alitokea Wapi . Je, Tutawahi Kujua? Na dhumuni la Kuishi ni lipi? Moja ya maswali makubwa yanayomkabili binadamu tangu mwanzo wa fikra ni: Binadamu alitokea wapi? Mpaka sasa, hakuna jibu la uhakika linalokubalika kwa wote. Wanasayansi wanasema binadamu ni zao la...
  12. JamiiForums Tanzania Ni miaka mingi hawa watu humu ndani wamepotea au kuzimika

    Huyu mtu mwenye ndoto/maoni ya kweli tu wapi!?..nakumbuka maono yake kuhusu machi 17 na ajali ya ndege kule bukoba Au 'wenyewe' wamekuzuwia kuanika ndoto kuhusu jamhuri hadharani!? U wapi ndugu yangu!?
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini mfalme Zumaridi anasumbuliwa sana na dola? Uhuru wa kidini uko wapi!?

    Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana. Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele? Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu? Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wapi Mdude? Aibu ya Taifa: Kwanini tumesahau haki yake?

    Kutekwa kwa Mdude: Kwa Nini Watanzania Tumesahau? Wanajamii, ni aibu kubwa kwa taifa letu kuona jinsi suala la kutekwa kwa Kijana Mdude linavyofifia katika mioyo na akili za Watanzania! Hili si suala la mtu mmoja, wala la chama kimoja, bali ni pigo la moja kwa moja kwa haki, demokrasia, na utu...
  15. JamiiForums Tanzania Tulisema Steven Wasira amezeeka amechoka apumzike alee wajukuu,kiko wapi sasa

    Kwa umri wake alitakiwa awe analea wajukuu,sasa kumpandisha jukwaani apambane na Heche ilikuwa kumuonea Umri wake wa karibu karne inasemekana amekuwa kama gari la mkaa,leoporini krsho garage,na yeyekei jukwaani kesho hospitalini Ratiba zimevurugika Mara mgongo,mara miguu,mara kifua Uzeeuna...
  16. JamiiForums Tanzania Je Wajua Jina la Mozambique limetokea wapi?

    Je wajua Jina la Mozambique limetokea wapi??? Limetokana na mtawala na mfanyabiashara wa kiarabu kutoka Oman ambaye jina lake lilikuwa Musa Bin Bique na eneo aliokuwa anatawala lilikuwa pwani mwa kazkazini kama Maeneno ya Tanzania na Kenya yaliyokuwa chini ya Sultanane ya Oman. Kwaiyo Musa Bin...
  17. JamiiForums Tanzania Nilipokuwa nawaonya kuwa uwezekano ni mkubwa sana kwa fainali kufanyika Zanzibar hamkuniamini, kiko wapi sasa?

    Wengine tuna jicho la kuangalia mambo kwa umakini mkubwa na tunapotoka hadharani kusema kitu fulani kina uwezekano mkubwa wa kutokea tunakuwa tumeshajiridhisha. Mara kwa mara nimekuja humu jukwaani nikasema kuna umakusudi unafanyika katika kukwamisha ukarabati wa pale uwanja wa Mkapa. Juzi juzi...
  18. JamiiForums Tanzania Roho mbaya na ubahili Wapare walivitolea wapi?

    Hawa ndugu zetu hizi tabia walizitoa wapi. Watanzania kwa asili hatuna Roho mbaya, ubahili na umalaya
  19. JamiiForums Tanzania Kusindikiza mtu kikatiba imekuwa ni maandamano ya wapi mamlaka inazodi kufanya makosa kwa kudhani haita wajibishwa na huu ukatili unaoendelea

    Nchi sasa haiongozwa kwa sheria hakuna muongozo unao mtaka mtu asindikizwe kwa ukomo au idadi flani kwa jeshi la polisi kuwapiga watanzania kwa kusindikiza mtu kwa sababu za kusindikiza zina minya haki za binadamu na kuingilia uhuru wa mtu binafsi. Kusindikiza mtu kikatiba ni maandamano ya wapi...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Afisa mazingira daraja la ii tunapaswa kusoma wapi angalau kuvuka usaili wa kuandika

    Naomba kujuzwa wapi tusome nafasi ya afisa mazingira daraja la II kwa ailiyewahi kufanya usaili kwenye hii kada
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…