wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Chadema??? asema" Shida iko wapi referee akiwa Neutral? msikilize

    4R za Rais Samia ndizo chadema wanajaribu kuzitekeleza. REFORM
  2. R

    JamiiForums Tanzania Aliwahi kuwa star kwenye mitandao, kapotelea wapi huyu mwamba

    CHIKUMBALAGA
  3. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Vatican TZ upo wapi? Nahitaji kusaini kitabu cha maombolezo

    Mwenye kujua Ubalozi wa Vatican ulipo ili nikasaini kitabu cha maombolezo hapo ubalozini. Regards, Mlei, Kigango cha Mtakatifu Kizito, Majimatitu.
  4. JamiiForums Tanzania Maaskofu kugeuza Ibada ya Pasaka kama jukwaa la kuisemea CHADEMA ni kujitoa ufahamu, mlikuwa wapi wakati Lissu anazungumza lugha za uchochezi?

    Friends and our Enemies, Kama kawaida yao, maaskofu wameendelea na maigizo yao ya kujifanya kuwa wao Wana uchungu zaidi na nchi hii kuliko viongozi wowote wale wa dini. Kinachoshangaza Episodes hizi hujirudia rudia zama baada ya zama,TENA hususan Kiongozi pale juu anapokuwa mfuasi wa Allahu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

    Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti. Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela. System ya mapusha wa bangi hapa bongo...
  6. JamiiForums Tanzania Vyombo vya ulinzi na usalama viko wapi wakati CCM wanahatarisha usalama wa nchi kwa kukataa reforms?

    “Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
  7. C

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Prof Sospeter Mhongo (PhD)?

    Huyu mwamba alikua hanaga kifua, 1. Aliwaponda wawekezaji wazawa kuwa hawana mitaji ya kuwekeza kwenye gesi zaidi ya Biashara za juice, maandazi na sasa energy drinks. 2. Alitaka kutaja hadharan matokeo ya kidato cha 4 ya Mbunge Christopher Ole Sendeka [bila Spika MAKINDA kuingilia Leo hii...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Level ya diploma information and communication technology nauliza maswali ya practical interview yana base wapi

    Wadau kwa aliewahi kufanya usaili wa vitendo kwenye level ya diploma in information and communication technology ni kipengele gani huwa wana deal nacho
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO PreGE2025 Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?

    Tundu Lissu has just been collected by official motorcade from the Keko prison. Not so sure where exactly is he being taken ——— UPDATE: My insider indicates that he has been moved to Ukonga TUNATAKA KUJUA ALIPO MHE TUNDU LISSU Leo Ijumaa, Aprili 18, 2025, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kada za TAA unafanyika vituo gani ?

    Habari wadau, Usaili wa kada mbali mbali katika Taasisi ya TAA mamlaka ya viwanja vya ndege zimetangazwa April 2025. Kupitia utumishi. Nina changamoto moja, nahitaji msaada kwa wadau. Vituo vya usaili wa written interview kwa kituo cha Dar wanafanyia wapi ?? Nimekwama hapo wadau naomba...
  11. JamiiForums Tanzania Udafisi: Mbinguni ni wapi endapo binadamu tukifa tunazikwa Ardhini?

    Maneno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari ya waislamu, Yombo Islamic imegeuzwa Yadi ya kupaki malori, Bakwata inafeli wapi? Wafadhili wa kujenga misikiti wasaidie shule pia

    habari wadau, miaka ya 1980s mwishoni katika kata ya Yombo vituka iliyopo wilaya ya temeke vilipimwa viwanja vingi sana, ambavyo wananchi walipewa na kuuziwa na manispaa ya temeke. katika viwanja hivyo waislamu walipewa eneo kubwa la kujenga shule. Wakatoliki na wao walipewa eneo kubwa la...
  13. JamiiForums Tanzania Hawa sijui kama hata wanajua wanapokwenda na wamepanga kwenda wapi

    Wanakoelekea wakiwa peke yao njia imeziba. Hapo chini kuna wanakoelekea wenzao ambako hakuna matumani ndiko wenzao wanakotoka.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Waya wa umeme ukitumbukia baharini, umeme unafika mpaka wapi?

    Eti wakuu, kwa mfano nguzo ya umeme ikianguka (mfano Kigamboni) na waya ukaingia baharini, umeme unaweza ukaleta madhara kwa umbali upi?? Hadi Zanzibar au mpaka Ulaya?? Wataalam wa Electricity mje kutupa elimu huku.
  15. JamiiForums Tanzania Umghaka yuko wapi?

    Kifupi.... Huyu jamaa alikuwa hataki umchoshe wala yeye hakutaka kutuchosha....Huyu jamaa yuko wapi siku hizi!? ...alikuwa anatuburudisha sana stori zake hapa JF... Ni miaka mingi imepita sijamsikia ama kuona stori yake mpya ya 2024 au 2025 hapa....kwani alikua anahadithia kwa kusisimua na...
  16. JamiiForums Tanzania Akamatwa akiiba mkate kanisani (Eucharist), hua inafanyiwa kazi gani hii mikate??

    Wakuu kwema... Labda wenye ujuzi wa mambo ningependa mnijuze hivi kwanini watu wanaiba hii mikate?? Mikate hii inaweza kupatikana madukani mtu ukanunua na kufanyia mambo yako hata kama ni kunywea chai. Lakini kwanini watu hawa hua wanasubiria mikate hii ikishafanyiwa mageuzo na kua Mwili na...
  17. JamiiForums Tanzania Usinyooshe mkono ukiwa hujui wapi Mbingu ilipoanguka

    Nature is always brutal si kwa sababu inachukia, bali kwa kuwa haijifunzi. Maji hayakubali kubebwa, bali hubeba. Mwanga haufuati giza, bali hulivunja. Waliokaa kimya ndani ya kelele wamezoea kutafuna pumzi badala ya mikate. Nguzo za uhai hazisimamishwi na sarafu, bali na kivuli cha dhamira...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Baadhi Ya Wachezaji Wazee Yanga hawaonekani,hivi Wamepotelea Wapi?

    Naomba taarifa za Yao Yao na Mkude, hivi Hawa Watu bado ni Wachezaji Wa Yanga.?
  19. JamiiForums Tanzania Vibe na weekend nambie leo una vibe wapi?

    Leo n weekend nipo Moro town maeneo ya kambalage Nala Bata 🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂,wewe upo wap🤷🏽‍♂️😂 Anastasia21 Tumwesige senior
  20. K

    JamiiForums Tanzania Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!

    Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki. Yule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…