wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Sitakuumiza Kamwe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yuko Wapi Stephen Wassira - Think Tank na Strategist Mkuu wa CCM?

    Kabla ya MO 29 huyu mzee alikuwa ndiye sura ya CCM na alichomoza kama think tank na strategist mkuu wa CCM mara nyingi akitoa maneno ya dharau mpaka kujitapa kuwa CCM kitatawala mpaka Yesu atakaporudi. Siku ya maandamano nasikia vijana wazalendo walipita pale nyumbani kwake Bunda kumsalimia na...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za usalama zituambie yuko wapi Titho Philemon? Wiki inakatika sasa haijulikani alipo

    Sasa inaelekea Siku ya saba tangu zimesambaa taarifa kuwa ametekwa/amekamatwa Kijana Titho Philemon Dyakiye, Mzaliwa wa Wilaya ya Ngara. Mpaka sasa haijajulikana ana kosa gani kwani hajafikishwa mbele ya chombo chochote cha sheria na pia wana Ngara hawakuwahi kusikia uhalifu ama kosa lake...
  3. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wapo wapi kina Wasira, Kikwete, Butiku? Njooni kama mlivyokuwa front kipindi cha kampeini

    Huu mwaka ni kilio na kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa. Wazee Hawa kwa kutanguliza matumbo Yao walikuwa front kumpigia kampeini Samia. Walishindwa kumshauri vizuri juu ya national security. Mzee aliyetoa ushauri mzurii ni Warioba, yaani Samia angemsikiliza Warioba tusingefika hapa. Sasa...
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kinachoendelea Serikalini Muda huu. Tukisema tukafukue kusema hakuna miili wananchi watauliza mmewaweka wapi ndugu zetu?

    Mnyetishaji wangu mmoja ameniambia hili. Kuna mijadala mikali inaendelea Serikalini. Kuna watu wanataka kwenda kufukua sehemu fulani ya kubumba ili kuendeza propaganda kuwa taarifa ya CNN haiko sawa. Hofu kuu iliyopo ni kuwa hata wakitafuta eneo kusema wafukue bado Wananchi watauliza ndugu...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 TCRA kiko wapi? Ngebe zote za kuzima Mitandao leo Dunia yote imejua kilichotokea na nyie mnatajwa kama sehemu ya Watuhumiwa

    Kwenye Jinai kuna watu wanaoitwa accomplices yaaani Watu wanaoshiriki kutenda uhalifu au kufanikisha Uhalifu. Vyombo vya habari vya Kimataifa hasa CNN vimeeleza wazi kuhusu vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania kuuwa watu na kuficha ushahidi. Uzuri kwenye kuficha ushahidi vimesema wazi...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Malisa: Hakuna Mtu au Taasisi inayoweza kuhonga mamilioni ya vijana nchi nzima. Kama ilifanyika Vyombo vya Ulinzi ni DHAIFU

    Anandika Godlisten Malisa... "Mimi binafsi siamini kama vijana walihongwa. Hakuna mtu wala taasisi inayoweza kuhonga mamilioni ya vijana nchi nzima. "Na kama ilifanyika hivyo basi vyombo vya ulinzi ni dhaifu. Kama yupo mtu anaweza kuhonga vijana nchi nzima na vyombo vya ulinzi visijue mpaka...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

    Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost. Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Samia ni kama Mhasibu aliyekula hela za kampuni lakini hajui risiti anaipata wapi

    Yan yupo yupo tu hadi Auditors watafika na kumdaka kwa wizi ama matumizi yasiyo na maelezo; anajijua mwizi lakini mishe za mjini hazijui, hana namba ya winga hata mmoja Kariakoo. She’s completely lost. Ukimtazama ni mtu ambaye yupo yupo tu hata haelewi afanye nini. Nadhani ukiacha Wazanzibar...
  9. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi 'chip' ya Polepole tuloambwa anayo imeishia wapi na imemsaidiaje?

    Tangu atekwe na kupotezwa, Humphrey Polepole ameanza kusahaulika. Kaka yake alitufunga kamba kuwa ana chip. Je imeishia wapi au alikuwa akitishia?
  10. Now and then

    JamiiForums Tanzania Mradi wa BBT ulikuwa umelenga kuwatajirisha wanasiasa na sio kusaidia vijana

    Bashe nilijua wewe Kwakuwa Una asili ya kisomali, basi ungehakikisha unawainua vijana Ila mmeishia kuwapotezea muda vijana na kujipigia hela inasikitisha sana Mkuu.
  11. Pakome

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi wa Dini ni kama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi

    Baadhi ya viongozi wa dini nikama wamechanganyikiwa na hawajui waguse wapi, hii ni kwasababu ya kujiingiza kwenye maslahi badala ya kumtumikia Muumba madhara ya kuchanganya maji na mafuta kwenye chombo kimoja na mwisho kuishia kutengana Kwa taarifa yao ni kuwa -Muumba hawaelewi -Serikali...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi January Makamba?

    Huyu jamaa toka jina lake likatwe huko CCM sijamsikia tena. Hata kutoa pole kwa waliokufa kwenye maandamano hajatoa. Hivi yupo kweli?
  13. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tafakuri ya Waraka wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)

    TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC) ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025 Mwandishi, H.M Mponda (Msema Kweli) MA, Digital International Relations & Diplomacy Mtanzania Mzalendo. Utangulizi. Ndugu Watanzania wenzangu, panapotokea jambo zito katika taifa ni...
  14. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata dawa ya tadalafil 5g?

    Msaada wadau nina uhitaji na tadalafil 5g ila nimezisaka sana bila mafanikio pharmacy nyingi wana 20g
  16. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Machawa wa kuita press mko wapi siku hizi?

    Steve nyenyenyee, mbasho, mwinja yule dogo rais wa vyuo tume miss zile press zenu hasa steve,,, tupe ata press moja tivu akeee....
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Red Cross Tanzania walikua wapi siku ya Oktoba 29 na 30?

    Kama ningekua kwenye nafasi shirika la kwanza kufukuza Tanzania lingekua RedCross. siku ya maandamano hawa walitakiwa kusaidia Majeruhi na kubeba waliokufa na kupigwa Risasi au kazi yao hasa Tanzania ni nini? Mdau unaweza nisaidia kazi ya Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania ni nini hasa?
  18. Mikopo Consultant

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hit the Jugular: Je, waandamanaji waliipata wapi hii mbinu ya kijeshi?

    Jugular ni kaeneo kwenye shingo kwenye koromeo. Ukipigana na mtu akakutusua vizuri hiyo sehemu, lazima usalimu amri, kama sio, urudi kwa Mungu baba. Falsafa ya kupiga Jugular huwa inatumiwa pia vitani, kwa kushambulia maeneo muhimu kama: uwanja wa ndege, depot za mafuta, madaraja ya...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wako wapi akina Peter Msigwa na wasaliti wenzake walioramba matapishi wakatapikwa na machawa?

    Ni muda mrefu sijamsikia Peter Msigwa aliyetimkia CCM kuramba matapishi yake akaishia kutapikwa kwa aibu na bila huruma? Najua wapo wengi. Kwanini tusiwaorodheshe hapa lao wajione au waambiwe tunavyoachukulia chawa hawa wachafu waramba makalio ya muuaji.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Samia " Hakuna Nywinywimywi" imeishia wapi ?

    Badala ya kusikiliza ushauri kiburi cha ajabu cha huyu Mama kimetufikisha hapa. Halafu machawa bado wanataka kumtetea badala ya kujali taifa!!!
Back
Top Bottom