Peter Msigwa umepotelea wapi kwenye umaarufu wa kisiasa?

Peter Msigwa umepotelea wapi kwenye umaarufu wa kisiasa?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,759
Reaction score
37,374
Muda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa.

Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea.

Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa serikali linafanya nisikusahau.

Ila umepotea vibaya kwenye medani za siasa.
 
Mda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa.

Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea.

Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa serikali linafanya nisi kusahau.

Ila umepotea vibaya kwenye medani za siasa.
Wasaliti wote hukataliwa duniani na Mbinguni,na hushushwa kwa viwango kutoka viwango vyao hata vile vyachini sana,kwa sababu ya usaliti kwa taifa la Mungu.
 
  • Thanks
Reactions: Fbn
Huyo ni katibu tawala ajaye..we endelea kuandika ya m23 humu hadi siku unakata moto (AMBAVYO MUNGU AMEKUPANGIA)
 
Mda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa.

Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea.

Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa serikali linafanya nisi kusahau.

Ila umepotea vibaya kwenye medani za siasa.

Anasubiria kupewa UKUU WA MKOA, imebainika baadhi ya wakuu wa MKOA wanapaswa kupunzishwa hawamsadii ipasavyo Mkuu wa Nchi, watabidi wapunzike tu
 
Back
Top Bottom