wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyimbo za wasanii wa Kibongo za baada ya wapenzi kuachana zimejaa maneno makali ya jazba tofauti na za wazungu

    Soma mashairi ya wimbo SITAKI DEMU wa Juma Nature na ule wa Doing just fine wa Boyz II Men uone tofauti. Title: Sitaki demu Artist: Juma Nature (Verse 1) Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia hasara Uyo mdogo wangu mwenyewe toka atoke shule hajala Aaah bwana eh usinifate bwana We si ukalale...
  2. Kama ni wapenzi na mnafichiana simu basi hampendani

    Achana na hizi kauli kwamba usishike simu ya mumeo/mkeo ikiwa unataka kulinda penzi..hizo ni kauli za watu malaya au wasio waaminifu kwenye mapenzi yao.kimsimgi kama mnapendana na mwenzako inatakiwa hata akusaidie kuchart kwenye ma group funny kama ya classmate..yaani kama umechoka na unaona...
  3. Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu

    Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar. Timu kama Mashujaa Fc Pamba Prison Jkt Singida black stars Fountain gate Tabora Fc Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema...
  4. Wapenzi wa Mazda Atenza, average fuel consumption ya 21 km/L mnaionaje?

    Nilikua na safari ya Dar hadi Moro town kisha Ifakara na kurudi Dar, kwa kutumia Atenza. Mafuta (Diesel Tsh 80k) niliweka Puma ya Survey (jirani na Mlimani City) na kuanza safari pale kuelekea Morogoro. Njiani sikua na vituo zaidi ya kusimama JKT Mlandizi na Cate Hotel Morogoro. Barabara ya...
  5. P

    Salamu kutoka Marekani: Nimejiona mnyonge kuona wadau wanavyotambulisha wapenzi wao

    Wakuu kama kawaida katika harakati tunakutana na wadau kwenye event mbalimbali. Nami leo nikashiriki tukio fulani hivyo lilikuwa na watu wengi sana. Mwisho ikawa utambulisho. Basi mtu anasimama anajitambulisha halafu unakuta anasema "Yule mrembo pale ni mke wangu nina miaka 20 tangu tuoane"...
  6. TFF mnalitufanyia utapeli wa VAR wapenzi wa soka mnasingizia vibali wakati huko Mauritania VAR imeanza kutumika

    Wakuu, Leo VAR imeanza kutumika huko Mauritania kwenye ligi yao Sisi huku licha ya uzinduzi kufanyika na ligi kuanza TFF wanasingizia vibali kutoka CAF na FIFA. Huu ni utapeli wa mchana kweupe. Tutegemee maumivu zaidi mpaka msimu unaisha ================== UPDATES Tumepigwa...
  7. Kwa wapenzi wa simu za Samsung Galaxy A series, ngoja leo tujuzane kitu kidogo

    Wakuu! Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina specifications kubwa chini kidooogo ya Note Series, S series na Z Series. Sasa ukiwa unataka kununua...
  8. Kinachowafanya wapenzi wenu kwenda sehemu za starehe

    Hii ndio sababu kuu inayowafanya wapenzi wenu watembelee maeneo ya starehe. Utapambana sana kumzuia; lakini atasingizia anaenda kucheki mpira, mara kupata moja mbili tatu, mara kusikiliza mziki, mara kujadili mambo ya kikazi au kibiashara na marafiki zake n.k Ila ukweli ni huu..
  9. Wanaume wengi wanaopeleka moto kwenye shoo wengi hatuko romantic na tunabadlisha sana wapenzi

    Ndivyo unavyoweza kuweka baya kuwa sisi Wanaume amabao tuko vizuri kwenye angle ya kupeleka moto, kasoro yetu kubwa hatuko romantic na mahusiano yetu mbali na kigezo cha pesa huwa hayadumu. Asilimia kubwa wapenzi wetu hawakosi vibeten wa kuboresha amani na hisia zao . Tuendelee kujibrand vema...
  10. Wapenzi na wanachama wa Simba tunaomba jibu kwenye hili

    Jana imefanyika match ya kirafiki huko Misri kati ya Simba zidi ya Telecom, match ilikuwa live kwa kuhadithiwa kupitia Simba appl. Dakika 71 anatoka Chasambi anaingia Onana,chakushangaza dakika 88 Chasambi anaifungia Simba goal la ushundi. Je kuna Chasambi wangapi Simba?
  11. Mawazo ya Mwanamke kwa wapenzi wa zamani (Kulinganisha)

    Hii picha imenifikirisha sana jinsi bidada anavyowakumbuka wanaume zake wa zamani. NI NGUMU SANA KUMRIDHISHA MWANAMKE WA AINA HII.
  12. Ni kwanini Wanaume wengi tukishaachana na Wapenzi wetu na tukikutana nao wakiwa na Masela wengine huwa tunaumia Mioyo tofauti na Wao wakiachana nasi?

    Wanaume wenzangu JF katika hili wala tusibishe ukweli ni kwamba huwa tunaumia na hata kutamani Ardhi ipasuke!!!
  13. Kimachosababisha wanaume wengi kusomesha wapenzi wao ni kulinda hadhi yake na ya watoto watakaowapata

    Ipo hivi, unakuta mtu anafanya kazi inayomuingizia kipato cha kutosha na anajuana na watu wengi wenye hadhi zao, lakini upande wa pili mwanamke aliyenaye anafanya kazi kwa mshahara usiozidi hata laki 3 mfano hawa walimu wa chekechea na hawa ma medical attendants Kwa mantiki hiyo lazima...
  14. Wapenzi wa F1 Motorsports & Movie: Sena (2024) na F1 (2025) ndio upcoming Film zenu!

    Hii kwa wadau wa motorsports & movies. Kuna hizi upcoming movies mbili zinakuja zinahusu F1 kwa 100% ziweke kwenye list yako. Sena (2024) Hii itakua chini ya Netflix, sio movie kabisa ni mini-series, na itatoka mwaka huu 2024. Hii ni Biography kutoka Brazil inayomuhusu moja ya madereva wakali...
  15. Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi

    https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza. Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
  16. S

    Kwa nini wanawake wanaotafuta wapenzi wengi humu ni wakristo?

    Wanawake wa kikristo shida ipo wapi?
  17. Wapenzi wa Magari ya Ford: Wametoa Explorer EV

    Ford, wametoa Explorer EV ambayo ni SUV yenye siti 5. Kwa kutumia MEB EV platformya Volkswagen, hii SUV ina uwezo wa kuchajiwa kutoka 10% hadi 80% kwa dakika 25 tu. Kwa single charge, inaweza kutembea kilometa 600, na inapatikana kwa option ya either single motor RWD au motor mbili AWD...
  18. Mwanandoa au wapenzi tupeni uzoefu ulinusuru vipi ndoa au muhusiano yako

    ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฒ๐—ป๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐˜‚... Poleni na majukumu. Bila kupoteza muda 1kwa1 kwenye mada kama kichwa kinavyosema, Ni changamoto gani uliipitia katika ndoa/muhusiano yako ambayo ilitaka kuvunja ndoa/mahusiano yako kisha ukainusuru kwa kuitatua na mambo yakawa saaafi kama mwanzo.
  19. Usawa utapunguza mauaji ya wenza Afrika

    Nimeangalia takwimu za Umoja wa Mataifa kuhusu mauaji ya wenza duniani, Afrika ina rate kubwa ya mauaji kuliko mabara mengine. Kwanza tujue katika mauaji haya, wanawake ni waathirika wakubwa zaidi kuliko wanaume. Data zinaonesha wanawake wanaouawa ni mara mbili zaidi ya wanaume wanaouawa kwenye...
  20. Papa abananishwa kuhusu wapenzi wa jinsia moja katika interview

    Katika video hii papa anapigwa maswali konki kuhusu kubaliki wapenzi wa jinsia moja, ambapo anasikika akikanusha na kusema ni kinyume cha sheria za kanisa, huku akisisitiza kuwa kubalika mtu mmoja mmoja ni sawa, ila sio kubaliki muunganiko wao
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ