wanyama

Victor Mugubi Wanyama (Kenyan English: [wɑˈɲɑːmɑ] (listen); born 25 June 1991) is a Kenyan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Major League Soccer club CF Montréal and captains the Kenyan national team.Wanyama became the first ever Kenyan player to score in the UEFA Champions League when he scored the first goal in Celtic's 2–1 win over Barcelona on 7 November 2012. On 11 July 2013, Wanyama moved to Premier League club Southampton for £12.5 million making him the most expensive player sold by a Scottish club, surpassing the £9.5 million Russian club Spartak Moscow paid for Aiden McGeady in 2010.He has earned 60 caps for the Kenyan national team since making his international debut in May 2007 at the age of 15.

View More On Wikipedia.org
  1. Takwimu za wanyama wafugwao ulimwenguni

    66% ya kaya nchini Marekani zinamiliki wanyama kipenzi. Kaya za Marekani zina takriban jumla ya mbwa kipenzi milioni 62 na paka milioni 37. Samaki wa majini wa maji safi hushinda tuzo ya ya wanyama weng kwani kuna jumla ya milioni 139.3 nchini AMerika. Takriban 2.5% ya kaya za Marekani zina...
  2. Manyara: Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, Mhasibu wa vikoba auawa kisa laki 4

    Mtu Mmoja aliyefahamika Kwa jina la Yona Andrea (47) Mkazi wa kijiji cha loltepesi kata ya Sunya wilayani kiteto Mkoani Manyara, ameuwawa Kwa kupigwa na kitu kizito na watu wasiojulikana huku mkewe Catherine Andrea (45) akijeruhiwa mara baada ya kuvamiwa katika nyumba yao. Tukio hilo limetokea...
  3. SI KWELI Tembo akilala kama wanyama wengine hatoweza kuamka kwasababu ya uzito

    Je ni kweli mnyama Tembo huwa hawezi kulala kama wanyama wenzie na akilala kama wanyama wenzake hupelekea kifo kwasababu ya uzito wa mwili wake
  4. Kuna watu wana tabia zinazofanana na wanyama hawa

    Mhadhara - 42: Kuna watu katika jamii wana tabia zinazofanana na hawa wanyama/wadudu. 1. PIMBI (Harakati zisizo na maana) - Wapo watu ambao wanaweza kufananishwa na pimbi. Ukikutana nae barabarani yupo race utafikiri anakwenda kuokota burungutu la hela, lakini hana anachokiwahi, busy for...
  5. Briffault's Law inasema Mwanamke hawezi kuwa na mahusiano ya aina yoyote na mwanaume kama hafaidiki

    habari wadau. Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana. Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya mwanasayansi Robert Briffault ambayo ni a scientific law that describes the biological behavior of...
  6. Kwanini vitabu vya dini vilikataza baadhi ya wanyama kuliwa?

    Kwa Wakristo katika agano la kale ambalo bado linazingatiwa kwa kiasi kikubwa na Wasabato kuna wanyama walikataza kuliwa maarufu zaidi akiwa nguruwe/kitimoto wengine ni kama Sungura na ngamia. Samaki Kambale nao walikatazwa. Kwa Waislamu wao najua nguruwe/kitimoto ndiye mnyama maarufu zaidi...
  7. Wanyama hawa kwenye ukwasi na starehe na maruhani ya lugha

    Kama unadhani maruhani yapo kwa viumbe hai utakuwa umekosea sana.. Maruhani yapo pia kwenye vitu visivyo na uhai na lugha pia Hebu waza kwa makini usahihi wa sentensi kama hizi 1. Maji yameenda kuchotwa 2. Nimemkuta hayupo Na watu daily wanazitumia bila shaka kabisa... Sasa kuna hili la wanyama...
  8. Kwa wanaoamini uumbaji wa Eden, wanyama wala nyama waliumbwa wakiwa wanakula nyama?

    Simba, Chui, Fisi na wanyama wengine wala nyama walikuwa wanakula nini katika bustani ya Eden? Chatu alikuwa anameza kitoweo chake katika bustani ya Eden? Mamba alikuwa anakula nini?? Ndege wala nyama na samaki walikuwa wanakula nini?
  9. WIMBO: MBUGA ZA WANYAMA

    Wanafunzi wa kizazi hiki wanakosa mambo muhimu hususani kujifunza kuhusu uzalendo na utaifa wao. Miaka ya 90 kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo wanafunzi waliimba shuleni. Mnakumbuka wimbo huu? Mbuga za wanyama Tanzania, ya Kwanza ni Serengeti, Ngorongoro na Manyara na Mikumi oooh Tanzania...
  10. Je kuna vitu binadamu tumefichwa ila vimefunuliwa kwa wanyama ?, Jinsi asili inavyo tutahasharisha kupitia wanyama kabla hayajatokea mambo ya hatari.

    uwezo wa wanyama kutambua pale majanga ya asili yanapokaribia kutokea ni wakushangaza sana... wengi tumewahi kusikia baadhi ya mambo kama vile tembo maeneo ya ufukweni walivyokimbilia kwenye miinuko muda mfupi kabla ya Tsunami, Jinsi Mbwa wanavyoingiwa hofu na kubweka hovyo muda mfupi kabla ya...
  11. G

    Video ya shambulizi makini: Israel ina target magaidi kwa kujali hata maisha ya wanyama, maafa ya raia wengi ni kutumiwa kama ngao za magaidi.

    Ni mfano wa shambulio la kupunguza casualities, wameyapa thamani maisha ya farasi kisha kuwatungua magaidi watatu kwa mpigo Wiki kadhaa zilizopita kiongozi wa Hamas alitunguliwa, casuality ya ziada ilikuwaa ni ya mlinzi wake labda walikuwa wamelala kitanda kimoja. Rais wa Iran alitunguliwa...
  12. Ardhi ya Australia imebarikiwa sana tazama wanyama wanaopatikana Australia pekee

    Zaidi ya 80% ya mimea, mamalia, reptilia na vyura ni wa kipekee kwa Australia na hawapatikani popote pengine ulimwenguni zaidi ya bara hilo pekee. Hawa ni baadhi tu Ifahamu nchi ya Australia 1. Australia ina zaidi ya maeneo 60 tofauti ya mvinyo 2. 90% ya Waaustralia wanaishi pwani. 3...
  13. Kiasili sisi ni wanyama ila ubinadamu ni artwork

    Kama kawaida, mtoto akipata nafasi ya kwenda kucheza Kwa jirani anaitumia vizuri.. Ok Moja Kwa Moja kwenye mada, Kwanini binadamu si binadamu Bali ni mnyama aliyezunguka porini Kwa miaka 150k kabla ya kukutana na huyu anayemuita Mungu Tuanze na kitabu chake pendwa, I mean bible Adamu na Hawa...
  14. Wafahamu kuwa mkojo wa wanyama una mbolea kuliko kinyesi chake?

    Kinyesi ni makapi ya chakula baada ya umeng'enyaji kwenye mfumo wa chakula. Mkojo wenyewe ni mkusanyiko wa taka mwili karibu zote za mwilini. Taka hizo zinatoka mwilini mwote, zinaingia kwenye damu, kwenye figo na kisha kama mkojo. Hivyo mkojo unakuwa na makorokoro mengi sana ukilinganisha na...
  15. Picha ya baadhi ya wanyama wakiwa tumboni kwa mama zao

    Kuna tembo, fisi, farasi, dolphin, mbwa
  16. Hivi Tanzania kuna taasisi inayojishighurisja na haki za wanyama? Kama ipo mnijuze kabla sijafanya ukatili mbaya

    Nyumbani kwangu kuna paka alijileta akapazoea wife akaniambia muache apambane na panya, binafsi siwapendi kabisa paka nimekulia uswahilini nawajuwa ni antena za wachawi. Huyu paka hana mpango kabisa na panya na ukimpa chakula hakina nyama hali, yeye anataka nyama na samaki na dagaa tu. Sasa...
  17. Unawajua Wanyama wasiolea watoto wao

    Kuna nyoka, mjusi, kinyonga hawa wakishazaa au kutaga mayai hao wanaondoka hawana Tena time na watoto wao. Sungura na panda wao watakaa kidogo na watoto labda week then wanawaacha wajitegemee. Nyani ye akiona mtoto mlegevu mlegevu anamwachia toka juu ya mti. Buibui yeye sometimes sio tu ana mu...
  18. N

    Hivi kwanini binadamu wana roho mbaya sana juu ya wanyama?

    Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege wengine. Ni nini hasa inachangia Watanzania kuwa na roho mbaya juu ya wanyama ambao ni viumbe...
  19. Kwanini ikifika saa 7 mchana wanyama wanatulia sana

    Kwa watu wa Dar maeneo ya Posta Kariakoo na Mbagala hiki kitu hamuwezi kuki experience Ila huku mikoani hata kama hamna jua ila mida hiyo yaani mwili unachoka tu unatulia hata kuku wanatafuta sehemu wanakaa wanatulia mno na ndo maana hata playlists kwenye radio nyingi utakuta nyimbo zaidi za...
  20. R

    Nguruwe ni mojawapo kati ya wanyama HAYAWANI?

    Salaam, shalom!! Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma, Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo, Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…