wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndugu Nape pokea mchanganuo wangu wa dola 9 billioni alizokula Magufuli

    NDUGU NAPE POKEA MCHANGANUO WANGU WA DOLA 9 BILLIONI ALIZOKULA JPM. Kwa hesabu zangu za darasa la saba B,Bwawa la Umeme la Mwalimu Julius Nyerere,JPM aliweka mzigo wa Usd $5 Billion,SGR Dar-Morogoro-Makutupora Dodoma JPM aliweka mzigo wa Usd $3 Billioni,SGR toka Mwanza-Isaka JPM aliweka mzigo...
  2. Naomba ushauri, wazazi wangu hawataki nisome ujuzi mwingine zaidi ya taaluma niliyosoma

    Wakuu habari, Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo. Mtanisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi nieleweke. Mimi nimebahatika kusoma systematically kama ilivyo mfumo wa elimu wa Tanzania, yani kuanzia std7, f4, f6 mwisho chuo kikuu. Sasa kipindi nimemaliza f4 wakati nasubiri matokeo...
  3. V

    Angalia ujuzi wangu then naomba connection ya kazi

    Kwema wana jf taifa kubwa Naitwa makolelo Mkazi wa dar Elimu diploma Uzoefu Store keeper kampuni ya jiangxi Mwaka mmoja Shop manager fashion shop Revenue collector municipal Cashier Site foremen supervising 10 labour Natafuta kazi yoyote ya kuingiza riziki na nimuuguze mama angu Kitu hiki...
  4. E

    Kuna mrembo mmoja anautesa moyo wangu nimeamua kumwimbia huu wimbo na hii ndio picha yake yupo humuhumu

    Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi. Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha. Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda. Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea...
  5. M

    Baada ya Mkwara wangu Kuzaa Matunda na leo Simba SC imeshinda japo kwa taabu naomba Kikosi hiki ndiyo kiwe kinaanza mwanzo mwisho tafadhali

    FIRST ELEVEN YA USHINDI TUPU 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Zimbwe 4. Kennedy Wilson 5. Joash Onyango 6. Jonas Mkude Deco de Souza 7. Duncan Nyoni 8. Rally Bwalya 9. Meddie Kagere Mkombozi 10. Ibrahim Ajib Fundi wa Mpira 11. Kibu Denis Mpambanaji SUBSTITUTES WA USHINDI...
  6. Mdogo wangu ana kipaji cha kumwigiza Rais Samia

    Habarini za leo wakuu, Leo nimekuja na hii video ikimwonyesha mdogo wangu anayeweza kumwigiza Rais Samia mwanzo mwisho.
  7. Niliwahi kupigwa na head girl assemble, sasa hivi anaolewa na mdogo wangu

    Wakati nasoma primary mkoa wa Tanga, dada mkuu wa shule aliwahi kunipiga yeye akiwa la Saba Mimi la tano. Kisa chenyewe kidoogo kiganja changu cha mkono wa kushoto kilipigana kikumbo na makalio yake. Ilikuwa bahati mbaya Ila kwakuwa nilikuwa mtundu alidhani nimefanya makusudi. Sasa hivi ni...
  8. Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

    Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe. Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza. Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu...
  9. Mke wangu ananipiga vijembe WhatsApp

    Habari wenzangu. Jamani ukweli nimebaini mke wangu anamatumizi mabaya ya simu, nilikutana sms yeye anasema ni rafiki yake ila mie sikuipenda kwa hio nikakosana naye akaenda kwao nami nikabaki kwangu sasa ni zaidi ya miezi 4 basi vikao vikawekwa akakubali kurudi ila naona amekua mkali ukisema...
  10. Babu akasema: Pesa ina maadui wawili mjukuu wangu

    BABU AKASEMA; PESA INAMAADUI WAWILI, JE WAWAJUA? Anaandika , Robert Heriel. © Maandishi ya Robert Heriel Kwa lugha ya Kiswahili. TAIKON Anawasilisha. " Upepo unapotoka hatuuoni na wala unakoelekea hatupajui, ndivyo ninyi Vijana wa Zama hizi mlivyo, mmejigeuza upepo, hamtaki kujua wapi...
  11. C

    Asanteni Simba kufata ushauri wangu, chizi vitabu mwenye akili nyingi

    Huku ndani namwaga madini mengi sana nilitoa habari ya menina kudai mamiilioni ikapostiwa instagram copy and paste yangu yangu kuna ya biashara kudaiwa kuuza mechi hadi kitenge kapost ingawa kapost pia ila source ni nuhu adams wa ghana natishiwa inbox eti nitafungwa harakisheni fastaa...
  12. A crazy story na mpenzi wangu wa Chuo

    Wiki mbili zilizopita ilikuwa niwe na date with my ex, mpenzi wa Chuo. To give you a back story, ni binti ambaye nilidate nae wakati tupo chuo kwa muda kama miezi 4 au 6 hivi. Nilimpenda sana ila unfortunately ndio only mpenzi nilidate nae kwa muda mchache. Ni mrembo haswa na ana self...
  13. J

    Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

    Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku. Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku. Naomba Ushauri wenu tafadhali.
  14. A

    Mke wangu hatakiwi. Ushauri wako tafadhali

    Baba yangu hamtaki mke wangu naomba pita hapa unipe ushauri.Ilikua ni mwaka wa 2020 ndo Kwanza natimiza umri wa miaka 21 wakati huo nikiwa Geita nikipambana na maisha, nilipokea simu kutoka Kwa dada yangu naemfuata kuwa amenitaftia mchumba. Basi na Mimi sikuwa na hiana nikapata mawasiliano nae...
  15. UFAFANUZI: Kisandu sio Ukoo wangu na halikuwa jina Langu kiukoo na ndio maana Ukoo wa Kisandu haufanani kisura nami DJ. Don Nalimison

    Salaam wapendwa katika Malaika wa Mungu na Mungu Mkuu mwenye nguvu. Wengi wamekuwa wakiniuliza Sana kuhusu ubini wa KISANDU inbox, naomba leo ni jibu. Baba yangu Mzazi alipoondoka kurudi kwao Marekani alinikabidhi kwa rafiki yake Abdalah Kisandu pale Kahama, SHINYANGA na hivyo Ukoo wa Abdalah...
  16. Mke wangu hajali familia

    Habari wana JF! Ebu wadau naombeni ushauri wenu. Nina mke na watoto wawili. Mke wangu ana changamoto moja hataki kupika na pia hajali watoto. Yaani tunaweza kukaa siku mbili tatu tunakula mikate na chai tu. Na yeye ni mama wa nyumbani sio kwamba ana shughuli kivile za kumkwamisha yeye kupika...
  17. Mtazamo wangu Yanga vs JKU jana

    Jana nilifanikiwa kuwaangalia baadhi WACHEZAJI wetu WA yanga nitatoa MTAZAMO WANGU kama ifuatavyo: 1. Bryson David Huyu beki namba tatu anaonekana ni mzuri sana namuona uchezaji wake ni Kama wa yassin. Anajua kushambulia, anajua kukaba, anajua kupiga cross, kimo kizuri cha mpira. Amemzidi mbali...
  18. Shopping kwa ajili ya mpenzi wangu

    Ninataka kumfanyia suprise kidogo demu wangu nampenda sana. Ebu ladies niambieni kwa uzoefu wenu wapi nitapata vitu vizuri vya kumfanya ashtuke huyu sista duu. Nataka kumnunulia sandals fulani classic... necklace na hearings...kimkoba kidogo (ndio anavyopenda) na kingine chochote mnachoona...
  19. Wito wangu kwa Wanawake: Achaneni kabisa na usafiri wa bodaboda, sio salama kwenu

    NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo. Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda. Sweet...
  20. Ushauri wangu kwa uongozi wa CHADEMA

    Kama hapo juu panavyo jieleza. Nawashauri Chadema wawe Kama Chama Afrika Kusini kilipo weka kambi hapa Tanzania kupambana na Makaburu. Pia nawao watafute nje ya NCHI mahali kupambana na madhalimu WA CCM. Maana Kwa hapa ndani wamewekewa vikwazo vingi na ilihali NI haki Yao. Pia NASHAURI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…