wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Mwigulu Nchemba akijibu hoja za Wabunge ndani ya Bunge amejitapa kuwa anajua anachokifanya maana PhD yake ni ya kusomea na siyo kupewa. Namnukuu 'Hapa tunatisha tisha watu kwa ajili ya nini? Niwahakikishie, na wala hata siyo mbaya kwasababu hii siyo Honorary...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China

    Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki. Kumbe tulipigwa USSR -- Rais Samia amesema haya... "Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ABC nataka Mdogo wangu asome Diploma ya udaktari ana division 1.15

    Nataka Mdogo wangu akasome hapo Muhas Kuanzia certificate naomba kufahamu utaratibu mzima yupna division 1.15
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33

    Wakuu mdogo wangu kapata div 4 ya 33. Ana ufaulu huu hapa kisw C, hist,F civ F, geo F, bio F, eng F, math F, Nishaurini anafaa kusomea nini au ni sehemu gani itakayomfaa maana hapa natafakari na yeye kachanganyikiwa maana alitamani akasomee clinical officer but ufaulu haumruhusu nipeni ushauri...
  5. JamiiForums Tanzania Take risk aisee...

    Habari zenu?? Kuna uliusemi unasema "jilipue",ni kausemi fulani kako serious kwa mtu aliyepo serious. Haya maisha yana formula moja tu take risk,watu wengi walio thubutu formula hii walijikuta wamepiga hatua nyingi kwenye maisha yao. Mnaweza kusema mleta mada ametake risk gani,kuna kipindi...
  6. JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa nyie walimu mnaodhani mna wito. Tusije laumiana baadaye

    Mmeajiriwa kufundisha. Nendeni mkafundishe. Hilo ndilo jambo linalowapa mshahara. Acheni kujifanya mna uchungu sana na watoto wa wenzenu. Huo ni wendawazimu. Nyie fundisheni tu masomo. Tabia si kazi yenu ku deal nazo. Kama mtoto ameamua kutokuja shule mwachieni hilo jukumu mzazi wake kuhangaika...
  7. JamiiForums Tanzania Simulizi: Nawapenda Mapacha Wangu

    SIMULIZI; I LOVE MY TWINS (NAWAPENDA MAPACHA WANGU) MWANZO. Dunia nzima ilisimama kushuhudia tukio la ugawaji wa tuzo kubwa za muziki zilizotolewa na kampuni kubwa ya utangazaji ya MTV yenye makao yake nchini marekani. Hakuna aliyeweza kusubiri wala aliyekubali kupitwa na tuzo hizo hasa raia...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Wakuu wapya wa Wilaya

    Ndugu zangu watanzania, Kwanza niwapongeze Sana kwa dhati ya moyo wangu wakuu wote wa wilaya walioteuliwa na mh Rais wetu mpendwa mzalendo wa kweli Jasiri shupavu na madhubuti Mama Samia Suluhu Hassan,Ni heshima kubwa Sana na Imani kubwa Sana mliyopewa na mh Rais, mmepata heshima hiyo Kati ya...
  9. JamiiForums Tanzania Aisee, wanawake mtatunyoosha, hii clip imenifikirisha sana, naenda kupima DNA watoto wangu wote

    Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo mtoto ni wake, mchezo mzima kacheza huyo mwanamke. Najua hapo alikua anaigiza tu ila hio clip...
  10. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu u mzuri

    1. Imelala yoo mwamvuli nitaelezea kdogo kuhusu hilo,umuhimu wake kwangu namsamini sana wala sio muongo na ananijali sana tu.mungu amlinde amweke daima anichunge mimi wake,sitamwacha hata iweje kwan nampenda sana kuliko chochote kilichopo nyumbani kwangu. Nnaishi nae kwangu mm nambalikia kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Anataka nijue kipato chake kwa lazima au ni wivu wangu tu?

    Habari wakuu,natumaini mnaendelea vyema na mapumziko ya weekend! Kuna jamaa ni rafiki yangu ana lodge hapa mjini ya vyumba saba(7). Kwenye hiyo lodge amemweka mdogoake kama msimamizi au manager kwakuwa yeye ni muajiliwa wa serikali hivyo muda mwingi anakuwa kwenye majukum ya kazi yake jambo...
  12. JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu wa Australia anataka niende kukutana nae inshort kumla mbususu

    Ama kweli huyu demu ananipenda sana sijui kwanini halafu ukistaajabu mimi sijawahi kumpa chochote kile zaidi ya kumla mbususu ttu yeye ni mzungu na hapa bongo alikuja kama internship katika taasisi moja ya kimataifa hapa bongo nilimla show mara kadhaa ila alioneka ameelewa shoo yangu Baada ya...
  13. JamiiForums Tanzania Fundi wangu ananiangusha wallah!!

    Nilimuamini sana anapiga kazi ambayo ata graduate wa civil anasubiri lakini huu ndio muandiko wake nimechoka.
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu jinsi ya kuishi kwa Tahadhali mwezi huu. Usije ukafa

    Ukiona imeingia msg mojawapo katika hizi kipindi hiki. " Mambo my ! Nimekumiss sana" " Babe umenisusa upo kweli" " Mambo vipi? Unaendeleaje?" " Nina hamu na wewe babe?" " Siku hizi umenitenga sana" " Upo handsome?" " Hey love" " Hujambo?" Akikutumia msichana ambaye week mbi au zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania Sijivunii wazazi wangu

    Hivi ni wote mna wazazi kama wangu? Au mliwahi kuwa na wazazi kama wangu?, Najua ambao hamuelewi nini nazungumzia hapa haiwezi kuwaingia akilini au pia mnaweza kuhisi labda sina akili timamu na wale ambao kwa bahati mbaya mlishapoteza wazazi wenu basi pia hii tungo haitowaingia akilini, ila aina...
  16. JamiiForums Tanzania Imekuwaje Ibrahim Ajib ana miaka 26 wakati alisoma darasa moja na mdogo wangu mwenye miaka 36

    Huu ni muujiza naweza kusema hivyo Mdogo wangu ana miaka 36,alianza darasa la kwanza na Ibrahim Ajib Ilikuwakuwaje ,na inawezekanaje Ajib awe na miaka 26 Classnate wa primary kupishana miaka kumi????
  17. JamiiForums Tanzania Nikimpata wangu (Kumbe naota)

    Nilivyokua msichana nilikua nawaza mahusiano yangu vile yatakavyokuwa. Nilikua najiambia tutakua tunavaa sare mimi na mke wangu na watoto. Kila mwezi tunapita picha nzuri. Weekend moja moja tunatoka sisi wawili tunaendesha gari tunaenda popote. Tunaenda tunaenda tunaendaaa hadi tukichoka...
  18. JamiiForums Tanzania Mungu ni mwema watoto wangu ninao mimi sasa

    Habari zenu wakuu poleni na shughuli, Niende moja kwa moja kwenye mada mwaka jana mwishoni baada ya kushindwa kuvumilia visa na dharau kwa aliyekuwa mke wangu pamoja na vikao vingi vya usuruhishi kugonga mwamba, Niliamua kuchukua uamuzi wa kumuachia mji mwanamke na mimi kwenda kuanza maisha...
  19. JamiiForums Tanzania Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
  20. JamiiForums Tanzania Kwa umri wangu wa 20's ninamiliki nyumba 3, gari 2, viwanja na mashamba kedekede. Unamiliki nini kwa huo umri wako?

    Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…