Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.
Mimi ni handsome sana, mitaani kote wananisifu. Hata wanawake wananiambiaga. Lakini hawaachi kunikosoa tumbo langu hadi nimeanza kujichukia.
Kwa kweli nakosa sana raha, namtongoza msichana ananiambia na huo mtumbo wako kama umemeza kifaru cha jeshi ntakupeleka wapi mimi?
Six pack sio kwamba...
Kitabu Cha
Waefeso 5:31 BHN
“Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”
Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko .
Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto.
Ila...
Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.
Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia.
Kuna kitu kiko very weird nimekiona...
Nimekuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu kidogo na mke wa mtu(mchepuko), na tulifahamiana miaka hiyo akiwa chuo akisoma; kipindi hicho nilikuwa nikimsaidia kwenye baadhi ya mahitaji yake ya msingi.
Na kilichonivutia zaidi kuwa naye, ni kutokana na uzuri wake pamoja na mzigo alionao.
Siku za hivi...
Inaleta faraja pale unapoona ndugu au rafiki anapotoka ukamrudisha kwenye mstari naye akakubali kurudi kwenye mstari.
Nilimshauri Joseph Mbilinyi Sugu hapa JF aachane na tabia za wavulana...
Daaaah aisee huu wimbo wa Meja Kunta uitwao Demu wangu aliowashirikisha Mabantu ni mkali sana kuanzia audio mpaka video.
Video yake kali sana na amenikosha zaidi kwa kumuweka Tunda kwenye video maana wambea walishaanza kuzua maneno yao ya ajabu ajabu huko mtaani
Siiishi hamu kuitazama hi...
Alinisihi tusizini mpk tutakapo oana. Na hata nilipojaribu kumsihi nimtembelee anapoishi (amepanga chumba chake) alikataa katakata akidai kuwa tunaweza kufanya maovu.
Nilipopeleka barua nikaendeleza shinikizo langu la kumtembelea kwake. Dhamira yangu kuu ni kutaka kuonja tunda kabla ya ndoa...
Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano.
Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure...
Wengi wanaopiga kelele wanakupenda sana.
Wachache wanaokusifia kwa kila jambo wanakupoteza na wanakuingiza mkenge shutuka.
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu watu wengi wanataka yafuatayo!!
Umeme kuunganishwa umepanda kutoka 27000 mpaka 320,000 ndugu yangu rais wangu nakupenda Sana hapa wanachi...
Kwa kweli jana nlikuwa na hali ngumu sana. Haraka ilibidi niite walinzi wangu waliokuwa mapumziko Dubai. Nlipokuja Qatar sikupenda kabisa watu wanijue nina pesa. Ndo maana nlikuwa natembea na watu wachache tu. Secretary wangu, Katibu,Mwanasheria na Daktari wangu.
Hawa watanzania of course sasa...
Salaam wapendwa.
Niende direct kwenye hili suala linalonitatiza, mimi nimeolewa na huyu mumewangu tukiwa hatujuani sana kiundani wa tabia, yani hatujapitia Courtship before marriage.
Kwasasa tumejaaliwa mtoto mmoja na tuna miaka miwili ya ndoa. Tatizo ni kwamba kila ninachofanya siku yangu...
Nisiwachoshe wanajamvi.
Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa kweli ngozi nyeupe ni ugonjwa wangu, ila awe mweupe natural. sipendi kabisa mtu anayejiwekea mikorogo na...
Habari wangu.
Kuna ishu naomba msaada, sijuwi ndio mambo yamebadili siku hizi kwenye whatsApp.
Nilisitisha mahusiano na aliekuwa mpenzi wangu. Nilifuta namba yake na picha zake zote. Lakini ajabu bado nikiweka status anaona na jina inajitokeza lile alioandika kwenye whatsaap yake. Imetokea...
Hellow guys kuna kitu nilikuwa nahitaji ushauli kidogo niko katika mahusiano na binti mmoja mdogo hatuna muda sana katika mahusiano yetu lakin ukweli nampenda sana na nahisi nae ananipenda tatizo ni Baada ya muda katika mahusiano Baada ya kuwa nataka tufanye mapenzi alikuwa akini fanyia...
Tafadhali kutokana na nyie kila mara (kwa upendo na mapenzi yenu nami) mnaamua kueleza hisia zenu kwangu na kunisifia na kuishia kuhusishwa nami kuwa hizo ID's zenu ni zangu (mimi GENTAMYCINE), nawaombeni acheni kunisifia huko ili kutowakera wanaonichukia. Badala yake muwe mnaanzisha tu threads...
Habari wanajukwaa, ni muda kidogo nimeshuhudia mabadiliko katika namna ya uchangiaji wa hoja, hasa zaidi zile zinazogusa maisha ya kila siku ya Mtanzania, hili linanipa hofu, kuwa huenda zile sheria za mwendo kasi, zimeshika nafasi kiasi cha hata jukwaa lililojipambanua kwa weledi linaangaliwa...
Habari zenu humu kwenye Jukwaa hili pendwa, mimi nimeoa mke na tumefanikiwa kupata watoto wa 3 wote wa kike, sasa mke huyu mwaka wa 8 huu hajawahi kuniwekea maji bafuni wala kunufulia nguo zangu. Sasa watoto wangu hatimae wamekuwa na wameanza kujitambua.
Kinachoniuma ni kuona watoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.