wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimeachana na mpenzi wangu leo

    Hawa wanawake wapenda pesa wewe achana naye tu.
  2. JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaoamka wakiwa na mikwaruzo, ondoa shaka, usipaniki. Nami nishawahi kupata hii hali na huu ndio mrejesho wangu

    Mara kadhaa nimeona hili tatizo watu wakiliibua na hata humu ni juzi juzi kuna mtu kaanzisha uzi, nimeona ni vema nilete experience yangu. Mimi hali ishawahi kunipata, dah we acha tu, nikafikiria mbali kwamba natembelewa na wachawi, nilipaniki sanaaaaa!! nilianza kulala saa tisa au kumi natumia...
  3. JamiiForums Tanzania Mchepuko wangu angekua na akili ningemfungulia hii biashara

    Habarini wanajamvi. Nimegundua kuna biashara moja akitokea mwanamke au hata mwanaume akaamua kuifanya itamlipa sana. Mimi niko bize siwezi anza kukimbizana nayo ndo maana nasema mchepuko wangu(sio mke wangu) angekua na akili nzr ningemfungulua hii biashara. Biashara yenyewe ni kusambaza...
  4. JamiiForums Tanzania Mke wangu ana gubu sana

    Kama kichwa cha khabari hapo Juu Kinavosema, nimeoa nina mke na mtoto mmoja Ila hii ndoa nahisi Kuanza kuishindwa kwasababu ya GUBU la mke wangu. Nimejaribu kuongea nae mara kadhaa ila sio muelewa hata kidogo. Nishaongea nae kwa nyakati mbalimbali ila haelewi, ana kauli tata sana zenye kunitia...
  5. JamiiForums Tanzania Mume wa dada anataka nioe nikakae na mke nyumbani kwao Arusha na mke wangu

    Helloww Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
  6. JamiiForums Tanzania Mshahara wa June vipi, nataka nitaka nikabe hadi penati wadeni wangu!!

    Habari wadau! Naulizia mshahara wa June 2023 umetoka au bado? Nina wajinga wawili nataka niwape experience ya kudaiwa waache juchukulia watu poa!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kaniambia gharama ya ufupi wangu ni bia 6!

    Wanawake wanadharau sana. Eti ananiambia kisa mimi mfupi gharama yake ili angalau anifikirie fikirie nimnunulie bia 6! Dah, nilishangaa sana! Kununulia bia sio tatizo, ila hiyo sababu aliyoitaja yeye ndio ilinifanya niishiwe nguvu. Watu warefu wanafaidi sana ila malipo ni hapa hapa duniani.
  8. M

    JamiiForums Tanzania X wangu kamwita mwanaye jina langu

    X wangu kawa single mother na kampatia mwanae Jina langu, mwaka 2014 ni mwaka nilipata KAZI ya kuajiriwa ya Serikali, kabla ya kupata ajira nilipitia msoto wa kibabe Sana, pamoja na marehemu baba yangu kuacha Mali za kiasi, bi mkubwa hakuniamini kabisaa na alikuwa aniona chenga sana so bada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Uko wapi mke wangu mtarajiwa? Nimechoka kutangatanga

    Binafsi nilijitahidi sana kuwa kijana mtulivu na nisietaka makuu.. Lakini nilipofikisha umri wa miaka 18 nikasema liwalo na liwe sasa nimekuwa natakiwa nianze mahusiano ya kimapenzi. Nitafute mwanamke wa kubenjuana nae. Nimepita sehemu na kila sehemu imeniacha na funzo kubwa sana. Sitaki kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu kuhusu hoja za Tundu Antipass Lissu kwenye suala la Bandari

    Kwanza napenda kumpongeza Tundu Antipass Lissu kwa kuwa Mtanzania pekee hadi sasa aliyekuja na uchambuzi wa kihoja kwenye suala la Makubaliano ya Tanzania na Dubai kuhusu masuala ya Bandari. Namfahamu Tundu Antipass Lissu kama mwanasheria mzuri sana. Nimeshiriki nae kwenye kazi kadhaa hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Motisha katika kuweka lengo kuwa hai

    Haya ndiyo maisha haijalishi ni mambo gani unapitia, lakini fanya jambo moja kuwa hai, kwamba haya ndiyo maisha. Nimewaza sehemu niliyopo sasa, na pia nikafikiria niliko toka, nikashika tama, ama kweli haya ndiyo maisha. Ni mambo mangapi nilitamani huko nyuma, sikuweza kupata? Nilidhani...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa kungwi wa kimakonde kwaajili ya mpenzi wangu

    Wakuu, Kichwa kinajieleza. Wamakonde wanasika kwa haya mambo, sasa namtafutia manzi wangu kungwi wa uhakika aongeze ujuzi. Mambo ya jando na unyago yapo kwenye makabila machache sana ikiwepo hawa wamakonde nadhani, sasa wenye tuna wapenzi hawana hizo mambo tunakosa vitu, natamani huyu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

    Habari, Ngoja nianzia mbali kidogo mpate kuelewa mke wangu ni mtu wa aina gani. Na ilikuwaje mpaka nikazaa nje. Mimi na mke wangu tulikutana kwenye kongamano la injiri kipindi namaliza chuo yeye alikuwa anasoma chuo kingine tofauti na chetu. Ni mtu mpole sana niseme ukweli, na anavaa mavazi ya...
  14. JamiiForums Tanzania Mke wangu alibakwa na baba yake mdogo aliyekuwa anamlea akiwa na miaka 13, leo ukweni akataka arudie tena!

    Mke wangu alifiwa na wazazi wake wote wawili kwa ukimwi mkali ule wa zamani, hivyo akalelewa na baba yake mdogo tangu akiwa na miaka 8, darasa la pili. Wife alipofika darasa la saba alibakwa na baba yake mdogo huyo aliyekuwa anamlea na kumtishia kuwa akisema atamuua. Uzuri wife akawa amefaulu...
  15. JamiiForums Tanzania Mume wangu mtarajiwa ni mwanaume katili

    Ndugu zangu, Ijumaa iliyopita mume wangu mtarajiwa alileta watoto wake (wetu) walale kwangu ili Jumamosi nikawafanyie shopping ya mavazi. Jumamosi nikawawafanyia watoto wetu shopping hadi hela yote alonipa baba yao ikaaisha na baada ya kuridhika kuwa watoto wamepata nguo za kutosha nikaona sio...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini sijapoteza muda wangu kuiangalia Fainali ya ASFC ya Azam FC na Yanga SC?

    - Kaimu Kocha Mkuu Kali Ongala night mwana Yanga SC lia lia. - Kocha Msaidizi Aggrey Moriss ni mwana Yanga SC lia lia. - CEO wa Azam FC Popat night mwana Yanga SC lia lia. - Kaimu Msemaji was Azam FC Hashim Ibwe night mwana Yanga SC lia lia. Poleni sana wale mliokuwa mnadhani Azam FC...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa watumishi wanaopokea mishahara

    ZINGATIA MAMBO YAFUATAYO!!! 1. Jenga nyumba mapema. Iwe mjini au kijijini . Kujenga katika umri wa 50 sio mafanikio. Usizoee majengo ya serikali. This comfort is so dangerous. Wape nafasi watoto wako kutanua nyumbani kwao. 2. Nenda nyumbani (Kwenu). Usigande kazini mwaka mzima. Wewe sio nguzo...
  18. JamiiForums Tanzania Watoto wangu Sina nguvu tena za kuua Simba

    Ni mchezo wa kitoto unanikumbusha mbali sana. kwa wale tuliosoma pwani vijijini tukisomea mtini madarasa hayapo mlango na dirisha vyote sawa lakini bado tulikuwa na adabu ya kuomba ruhusa kwa mwalimu. Najaribu kuangalia kizazi kilicholelewa kwauadilifu mkubwa leo hii kikiongoza kwa kutenda...
  19. JamiiForums Tanzania Muuza duka wangu anatishia kunishtaki

    Wanajamvi habarini za asubuhi, Nilifunga mkataba na muuza duka wangu kwa ajili ya kazi ya duka langu. Mkataba tuliufunga kwa mtendaji wa kijiji tarehe 7.1.2020. Mkataba ulikuwa na mashahidi upande wake na mimi. Pia alidhaminiwa na mtu mmoja mwenye mali zisizohamishika. Tulikubaliana nitakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

    Wakuu naombeni kujua jimbo sahihi kuanzia maisha, ntashukia Toronto Pearson International Airport, simjui yeyote na hii ni visa ya matembezi tu kwenye documents niliwaambia ntakaa wiki 1 ila nimeapa abadani afe kipa afe beki sirudi bongo labda waniue. Mkisha nijulisha jimbo, mnijulishe na jinsi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…