Msaada wa kungwi wa kimakonde kwaajili ya mpenzi wangu

Black Opal

Senior Member
Jan 22, 2023
199
253
Wakuu,

Kichwa kinajieleza. Wamakonde wanasika kwa haya mambo, sasa namtafutia manzi wangu kungwi wa uhakika aongeze ujuzi.

Mambo ya jando na unyago yapo kwenye makabila machache sana ikiwepo hawa wamakonde nadhani, sasa wenye tuna wapenzi hawana hizo mambo tunakosa vitu, natamani huyu mwenzangu apate vikolombwezo tunogeshe mapenzi, lakini sijui pa kuanzia wakuu.

Msaada kwa anayejua ninakoweza fanikisha hili, gharama iwe ya kitanzania tafadhali.
 
Nipe namba yake nimpe darasa wiki tu inatosha yeye kuwa pambe afu gharama ya kawaida sana 😊
 
Vipi ukimwelekeza taratibu,maana unaweza kumtafutia maujuzi akaona na wewe humridhishi,mi nadhani kupitia kujisomea na kufundishana mnaweza kujua vitu vingi zaidi

Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Wa Cuba washaelewa;)

Niletee basi kungwi nipo malipo yanazungumzika usijali, lakini ujitahidi kwenda nae sawa upige mashine kweli

NB; Akishafuzu, kupiga mechi za kirafiki viwanja vingine km samaki na maji
 
😁😁😁😁😁

Achana na story za jf, unayoyasoma humu kama huyaoni Kwa manzi yako sio kwamba hajui sema wasimuliaji ni mafundi wa kuelezea lkn kwenye battlefield kawaida
 
Back
Top Bottom