wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wahubiri wangu wa mfano Tanzania

    Wa Kimataifa/ toka Mataifa mengine ni hawa: 1. Kenneth Hagin 2. Kenneth Copeland 3. Smith Wigglesworth 4. Dr. David Oyedepo 5. Pastor Chris Oyakilome 6. Uebert Angel 7. T. L. Osborn 8. Gloria Copeland 9. F. F. Bosworth 10. Charles Capps 11. Norvel Hayes 12. Andrew Wommack 13. E. W. Kenyon 14...
  2. JamiiForums Tanzania Nitagawana Mali 50/50 na Mke wangu

    NITAGAWANA MALI 50/50 NA MKE WANGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mali hazikuwa na kamwe hazitakuwa kipaombele changu. Sio mimi tuu bali Watibeli wote. Ikiwa ni mke wangu. Ambaye naye ni Mtibeli. Na ambaye kwake mali sio kipaombele. Ikiwa itatokea Mimi na mke wangu tukaachana basi...
  3. JamiiForums Tanzania Nina huzuni sana, mume wangu kaniaga anaenda Nairobi kikazi, nilipomfikisha Airport kasema nimdrop Terminal ll

    Jamani labda ni wivu umenizidi au labda ni umbumbumbu. Mume wangu wiki nzima amekuwa na maandalizi ya safari ya kikazi Nairobi. Tunapendana na kuheshimiana sana pia na kuaminiana. Leo alikuwa anaondoka na ndege ya alfajiri, nikampeleka airport, nilipokuwa nataka kuingia Terminal lll akasema...
  4. JamiiForums Tanzania Niko njia panda katika maamuzi yangu na wazazi wangu, wanataka nijiendeleze kielimu

    Habari wanaJf, mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita mwaka 2021 katika tahasusi ya HGL, baadae nikaanza biashara yangu ya mpesa, mwaka huo sikuomba chuo kutokana na matatizo ya kifamilia. Mwaka jana nikaomba chuo course ya sheria ila nikakosa mkopo, nikaamua kujikita kwenye biashara...
  5. JamiiForums Tanzania Mdau anaomba ushauri: Nimetembea na Mfanyakazi wangu ana sifa zote za kuwa mke ila ameshazalishwa, nifanyeje?

    Huu ni ujumbe wa Mdau kutoka Instagram huko. "Nina miaka 25 nataman sana kuoa lakin naumiza kichwa sana kuangalia mwanamke wakunifaa kulingana na wanawake wa siku hizi. Sasa kuna Dada nafanya nae kazi mimi ni kama boss wake nimemuajiri ananiuzia Mitumba, yeye anamiaka 26 ana mtoto mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Labda ni mtazamo wangu ila naiona Tanzania ni nchi isiyokua na yenye kuzorota kadri miaka inavyosonga mbele

    Achilia mbali ongezeko la idadi ya watu, Tanzania ni nchi ya ajabu kwenye karibia nyanja zote inachechemea, mfano viongozi wenye kumbukumbu za kitaifa toka uhuru ni mabubu, mazezeta, wanapigwa mkwara na vigedere vya juzijuzi. Taasisi za muhimu zimekuwa machawa, nyanja za uchumi uwezo wa kifedha...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Demu wangu kakutwa na chats zangu na mumewe, ndiyo nikajua kaolewa!

    Wakuu kwema? Hapa job, Kuna mwanamke ninatoka nae kimapenzi, lakini alisema yupo single wakati namfata, na alikana Kama kuwa Hana Mume,nimetembea nae Sana tu, sasa leo, mumewe kakamata simu yake, akanicall na akajitambulisha kuwa Ni mumewe Akalalamika kuwa nimetembea na mke wake na Mimi Ni...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Neema zinazidi kunikimbilia, leo nimepata zaidi ya Tsh. 15m baada ya kuuza mpunga wangu

    Hakika riziki haupigi hodi kabisa, inakuja mbio mbio kabisa ila hii inakuja ukiwa na jitihada haiji tu eti upo zenu maskani kwenye kijiwe cha bangi unategemea utapa riziki? Hilo sahau kabisa aisee,nyie endeleeni tu kuvuta bangi na kupiga majungu, chuki na kuwasema vibaya waliofanikiwa Nikuambie...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Uongozi wa Klabu yangu pendwa ya Simba SC

    Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa). Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wangu kuhusu mwamuzi Ahmed Arajiga.

    1. Mimi ni shabiki wa Yanga lia lia. 2. Mitandaoni wanayanga wanalalamika kuhusu R.G. ga kupewa mechi ya kesho kwa sababu wanadhani au wana amini R.G.ga ni mnazi wa Simba. 3. Sikubaliani na wananchi wenzangu. Awali ya yote hakuna anae jua R.G.ga ni shabiki wa timu gani zaidi yake yeye...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Umasikini mbaya nyie bora kusikia tu. Watoto wangu nimewarejesha tena English Medium

    Miezi kadhaa iliyo pita nilianzisha Uzi hapa jukwaani nikielezea "FAIDA"nilizo zipata baada ya kuwahamisha watoto wangu kutoka English Mediums na kuwapeleka kayumba. U know what? Ilikuwa ni umasikini mkuu. Umasikini mbaya sana. The evil spirit of poverty is very evil. Ndio maana huko...
  12. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Mpenzi, Mume au Mke akicheat mara moja asamehewe bila kinyongo.

    Wasalaam wana wa Mungu, Kosa au dhambi unayoichukia kwa mwingine basi nawe usifanye kwa maana machukizo mbele ya Mungu ni yale yale. Wanadamu sisi sote tu wana wa Mungu na makosa yote tumeumbiwa sisi, panapo safari iwayo yoyote ikiwemo ya urafiki wa mapenzi kukosana na kukosea ni sehemu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Mume wangu hasimamishi, nifanyaje?!

    Haya mje sasa Naona kumekucha Haya MALALAMIKO nimeyapata Kwa dada alieolewa miezi 6 iliopita, kaolewa huko Kwa walokole Kisa kinaenda hivi Mlokole: Money penny me naumia Sana, huwezi amini tangu tuoane hatujawahi tembea pamoja kama MKE na mume Money penny: Nini mbaya mami?? Mlokole: Mume...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wangu nakusihi chonde chonde usitumie vipaza sauti kuongea na viziwi

    Salaam! Hakuna jambo baya kama ushabiki au ufuasi katika dunia hii ya leo. Tumeshuhudia wengi wamefariki, wamejeruhiwa na kupoteza heshima kwa jambo linaloitwa itikadi, dini na siasa, imekuwa ni changamoto kubwa katika dunia yetu. Nakuomba uhubiri amani kama ilivyo jinsia yako na lea kila...
  15. JamiiForums Tanzania Mke wangu anaishi maisha ya ki-tamthilia, yananitesa haswa

    Ni muda tena napokea taarifa kutoka kwa familia hii ya rafiki yangu kuhusu mkewe ila nimeshindwa kumshauri hebu, tusaidiane pamoja wana JF.... Mke wangu nimeshindwa kumuelewa yaani maisha yake kama vile yananitatiza nikimueleza anasema ni wajibu wangu iko hivi... Nimejiwekea utaratibu kila...
  16. JamiiForums Tanzania Najiskia kuwa mnyonge, na moyo wangu umebondeka sana. Eehh Mungu nitie nguvu

    Kuna wakati tunapitia maumivu makubwa mioyoni mwetu na mahangaiko ya fikra zetu. Yes, naweza sema tumekuwa na amani sana kwenye familia yetu, ingawa tunaweza kukosa lakini hatupungukiwi. Nashkuru Mungu amenibariki familia yenye furaha na hakika najivunia kujiona mwenye bahati hii. Yes...
  17. JamiiForums Tanzania Kiama cha marejesho nimechukua simu Infinix note 5 kwa wadaiwa wangu watumishi kama Serikali haiwajali na mimi sina huruma

    Sasa watumishi wanaokopa kwangu kwa riba watakiona cha moto mpaka akili ziwarudi pumbavu zao, marejesho yakichelewa sina huruma na hawa ngedere tukiwaambia waache ujinga wa kujilegeza hawataki. Awamu hii serikali mdebwedo hadi mseme ngedere nyie. Na ikipita leo ngedere watasaga meno niliwaambia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya kumwambia ex girlfriend wangu kwamba asinitafute maisha yake yote yaliyobaki?

    Kuna ex girlfriend wangu mmoja kwasasa tupo mikoa tofauti ingawa hakuna umbali sana katika ya mkoa aliopo yeye na mimi. Simuhitaji tena na ndio maana hata naweza nikakaa hata miezi mitatu au sita bila kumtafuta na namba zake za simu nilishafutaga na kichwani pia hazipo mana sina kawaida ya...
  19. JamiiForums Tanzania Naondoka mkoa X baada ya Mkuu wa Mkoa mpya kuwa kilaza na alikuwa classmate wangu

    Hivi itakuwaje mtu ambaye alikuwa kilaza na mshika mkia darasani kwenu akuongoze wewe? Hiki ndicho kilichotokea baada ya mkuu wa mkoa hapa mkoani kwetu kuchaguliwa au kuteuliwa wakati yeye alikuwa kilaza wa kufa mtu darasani kwetu na yeye alikuwa anatokea mostly kumi mbaya za mwisho kuteuliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa CCM inatosha sasa, TEC hawatatuelewa hadi tueleweke!

    Lazima niseme. Nguvu kubwa inafanywa na viongozi wetu wa CCM Taifa ambao pia ni viongozi serikalini kupata 'uungwaji mkono' na Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kuanzia Mwenyekiti/Rais hadi viongozi wengine waandamizi wamekuwa 'busy' na kutafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…