wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Mimi ni mwanaume nimeoa, ndoa ina miaka mitano sasa. Mke wangu amebadilika sana, amekua ni mtu wa kila siku usiku yeye analalamika tu amechoka, na akiingia kitandani ni skeunde 10 tu amelala. Kuna kipindi nikawa nalazimishia, ikawa kama nambaka, anatanua tu miguu nafanya yangu, hadi namaliza...
  2. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu sild hataki kunipa mpaka nimuoe kwa ndoa!

    Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025 Nimekaa chini nimefikiria...
  3. JamiiForums Tanzania Nataka kisingizio cha kuondoka kwa mpenzi wangu

    Nishaurini jamani wana JF nimfanyeje huyu mwanaume ili akasirike anipige nipate nafasi ya kuondoka, Nataka anipige nikimbie
  4. JamiiForums Tanzania Jean Baleke akiachwa Simba itakua ndiyo mwisho wangu kuwashabikia Wanalunyasi

    Kuna tetesi zinasambaa kuwa Baleke na Phiri wataachwa hivi punde klabuni kwetu. Nasema kabisa hapa jukwaani viongozi wa klabu wasipo elewa kuwa soka ni mchezo we ups and down nyingi huu utakua ndio mwisho wangu kuipenda hii klabu. Yaani umteme baleke licha ya uwezo wake mkubwa wa kumiliki...
  5. JamiiForums Tanzania Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

    wakuu habari za uzima? Mimi na mke wangu niseme watu tunaopenda sana kusoma vitabu, sasahivi tuna mtoto mmoja handsome boy linanipa faraja sana na kunifanya niendelee kupambana. Niseme katika watu wenye wanawake smart mimi ni miongoni mwao, mke wangu tulikutana miaka mitano nyuma. Nadhani wote...
  6. JamiiForums Tanzania Mke wangu kamuambia mchepuko wake hajaolewa

    Anatha dei tu bi alaivu anatha stori katika pita pita zetu tumshauri. Nina mwanamke ambae ni mke wangu wa ndoa naishi nae mwaka wa tano huu, sasa bhana usiku wa kuamkia leo yani jumapili kuamkia jumatatu ya krismass, baada ya kumaliza kula tukawa tunaangalia movie sasa mida ya saa tano akapigiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hata mchungaji wangu simuamini

    Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini. Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana. Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nimepigana na jamaa niliyemkuta na demu wangu

    Kwema wakuu, Uvumilivu umenishinda imebidi nivurumishe makonde kwa huyu jamaa ambaye anataka kunipora demu. Kesi Iko polisi. Sikuwa na namna maana demu namuelewa sana.
  9. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu nikimpa hela hataki

    Anasema anataka hela aliyotafuta kwa mikono yake 😅
  10. JamiiForums Tanzania Michepuko ya Demu wangu inanipa stress nifanyeje?

    Mimi ni kijana mdogo, na ndio nimemaliza chuo last year october so nipo katika kujitafuta. Nina mpenzi niseme, au kwa ujana tunaita dem nimekuwa na mahusiano nae for almost 7 months. Tulikuwa wote chuo kimoja ila yeye kaunganisha masters. Kuna kitu ambacho kinaniwazisha sana. Demu huwa hataki...
  11. JamiiForums Tanzania Binadamu tunakutana: Leo nimekutana na mwalimu wangu wa bible O - level, nina furaha sana

    Habari za uzima wakuu? leo baada ya kuwepo mapumziko na mama watoto na mwanangu nyumbani ,jioni nikapokea simu ya sister wangu akiniambia nimsindikize airport anasafiri. Nikamuambia sawa basi nikatoka na wife na mwanangu mpaka kwa sister, nikamkuta ameshajiandaa akamwita wifi yake chumbani...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

    Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu kwa zaidi ya mwaka sasa. Nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

    Wakuu habari. Imeniuma saana, na tayari wana love desire, mbaya zaidi tuna mtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje? Mbarikiwe!
  14. JamiiForums Tanzania Mama mkwe kamtorosha Mke wangu, nifanye nini niko njia panda

    Habarini za usiku wapendwa Naomba kwa wenye ufahamu na mambo haya wanijuze nifanye nini kwasababu niko njia panda iko hivi mke wangu tulikosana kidogo akaenda kwao amekaa wiki mbili nimeenda kwa lengo la kuona mtoto lakini cha ajabu walipo pata taarifa kwamba naenda tu Mama mkwe amemtorosha mke...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

    dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex. najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mwanamke ananichukuliaje?

    Wakuuu hivi binti ananionaje? Kwamba ameniona mie zuzu? Au yaani aisee kila siku matusi na vipigo kutoka kwa mke wangu bila sababu yoyote ile na pia maneno ya kashfa kila siku eti kwamba mimi ni mwanaume suruali aisee nimechoka kabisa aisee Yaani kuna siku alikuwa anataka kuondoka hapa nyumbani...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hajani-wish happy new year hadi muda huu! Kam-wish nani? Na mimi nimeuchuna tu nione mwisho wake

    Yaani mwaka umeanza saa sita usiku kakaa kimya mpk muda huu. Anasubiri mimi ndiyo nimuanze? Acha niuchune ili niijue rangi yake halisi.
  18. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanipatia zawadi ya mtego wa kuogea

    Nimejikuta nikijiuliza maswali mengi sana. Mida ya asubuhi wakati tunaelekea kazini tumekutana na baba mmoja akiwa anauza madodoki ya kuogea. Mara nashangaa anaitwa na kuanza kuhojiwa ubora wa dodoki hilo. Kama masihara, huyo mwanamke kalinunua na kulitia kwenye kifuko cha shing'mia. Wakati wa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu; Viongozi wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2023

    1. Samia Suluhu Hassan Huyu ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,pia mwenyekiti wa chama cha mapinduzi,chama kikongwe na cheye heshima kubwa sana barani Afrika,taarifa zisizo rasmi zinasema chama hiki kina wafuasi zaidi ya millioni 35 ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,kwa mtazamo...
  20. JamiiForums Tanzania Kibiashara, huu ulikuwa mwaka wangu…

    Nimeona tusifunge mwaka na Mimi niweke japo tips kadhaa. Nafanya biashara ya aina moja lakini na source sehemu mbalimbali. Kwa sasa ni China, Uturuki na Nairobi. Hii biashara nilianza kama 5yrs ago ila kidogo kidogo sana na haikuwa ya kwanza nishafanya nyingi. Hii niliamua kuifanya Kwa moyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…