wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kuna ukweli kwamba wanawake hawapendani wao kwa wao?

    Habari wadau, Kwa muda mrefu umekuwepo msemo huu kwamba wanawake wenyewe kwa wenyewe hawapendani ambayo inaonekana ni tofauti na ilivyo kwa wanaume. Hadi kufikia hatua kusemwa unaweza ukakuta sehemu za kazi wanawake wanaofanya pamoja wanaongea vizuri wenyewe kwa wenyewe lakini sivyo kiwango...
  2. Kijana ambaye unatafuta mafanikio Achana na habari za Wanawake

    Salaaam kwenu Wanajukwaa, Hivi kijana unayetafuta mafanikio (utajiri) ambaye bado hujafikia mda wa kuoa au kuwa na mwenza na una kiu kubwa ya kusaka mafanikio. Unakuaje na Mademu?? Upo serious kweli na maisha?? Yaani kama unashindwa kujizuia na Genye ni afadhali ukawa na Mwanamke mmoja ambaye...
  3. Janejelly Ntate aibukia jukwaa la uchumi la wanawake

    MHE. JANEJELLY NTATE AIBUKIA JUKWAA LA UCHUMI LA WANAWAKE Mbunge wa Wafanyakazi Taifa anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Janejelly James Ntate aibukia Jukwaa la Uchumi la Wanawake Mwanamtoti, Kata ya kijichi Dar es Salaam kuwaelezea umuhimu wa kumpongeza Mh. Dkt Samia Suluhu Hassan Kwa...
  4. Hii ndio dawa ya wanawake wajanja wanjanja

    Kuna hawa madem kama watatu hivi,tunalink fresh kabisa na wakikwama mambo madogo madogo nawasupport ila linapokuja suala la kuniletea mbususu geto wanakua wajanja kweli! Namimi nikaamua kuchange gear angani kimya kimya,nikakata mazoea kabisa toka mwezi wa 12 nikaacha kabisa kuwapa attention...
  5. Kwanini mnawashambulia wanawake mitandaoni?

    Mitandao ya kijamii ipo kwa ajili ya kuwaleta watu Pamoja kwa namna moja ama nyingine, kubadilishana mawazo na kufikisha ujumbe moja kwa moja kwa jamii na kwa haraka Zaidi, lakini mitandao ya kijamii imegeuka kuwa sehemu ya kushambulia utu na mwanamke kwa ujumla na kufanya wanawake kupata...
  6. Hivi kwanini wanawake wa mikoa ya Pwani hawana minyama uzembe

    Hello mamboz JF, Nauliza swali tu katika pitapita zangu na kuishi mikoa ya pwani wanawake wengi mikoa ya pwani hawana minyama uzembe. Hivi wao wanaishije na wana lishe ya aina gani, wana miili mizuri sana na hata kuzeeka hawazeeki haraka. Siri yake ni nini? Wadiz
  7. Wanawake mliopo Ndoani

    Wanawake mliopo ndoani mnajisahau wapi jamani. Kuolewa sio kujisahau, unakuta wenyewe mnatengeneza mazingira ya mtu kukuacha hapo akachepuke kisa mambo ya kipuuzi. Wanawake mliopo kwenye ndoa hebu acheni hizi tabia za ajabu ziguatazo hapa chini:- 1. Usafi, inabidi niite kujisahau cz...
  8. Kama masihara tangu msiba wa kitaifa 17-03-2021 wanawake wamepindua meza kwa kila kitu

    Hello mambo aje JF! Kama masihara ila ukiangalia kwa darubini kali kuna kitu kimejificha tangu tupigwe tukio la msiba wa kitaifa 17-03-2021 kuna namna wanawake wamepoteza Ile nafasi yao na heshima kwa wanaume na imekuwa kama masihara hata wao hawaamini kama meza imenduka na wana hali fulani ya...
  9. Pisi zitaniua

    Yaani wakianza kuomba hela, wanaomba wote kwa mara moja😀 utadhani ni wameambizana na hawajuani. Hapa nina mizinga kama mitano, sijui nianze na upi niache upi. Nimegundua ukiendekeza hizi mambo za kuhonga hamna hatua ya maisha utapiga, bora nyeto😬.
  10. Tulishakubaliana wanawake wa JF ni dada zetu kimasihara haiwahusu

    Haloo wakuu kina Chakorii, Hornet, To yeye, Kelsea, Depal, Joanah, Witnesj7, miss minah, stacia, Kalpana, Kasie, na wengineo wote hao kwa pamoja ni dada zetu. Itifaki imezingatiwa..... Kimasihara haiwahusu sisi tunacheza na universal set walio nje ya JF......😁 Wakulungwa si tupo pamoja!!!!
  11. Madiwani Rungwe watakiwa kusimamia utoaji mikopo kwa Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameshiriki katika Baraza la Madiwani cha Halmashauri ya Busokelo Wilayani Rungwe pamoja na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo. Akitoa salamu za Serikali katika baraza hilo, Haniu ameishukuru Halmashauri hiyo kwa kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali...
  12. Kuna mda wanawake kwa tamaa zao wanafanya watoto wanakosa haki kwa baba zao

    Nilikuwa na mahusiano ya mda mrefu na binti mmoja tangu tukiwa masomoni kiasi kwamba mpaka ndugu na wazazi wa pande zote wakayafahamu mahusiano yetu. Tuliendelea kuwa pamoja hata wakati ambapo tulikuwa tumemaliza masomo yetu ya elimu ya juu. Tuliishi wote nikiwa nimepanga baada ya kupata kidogo...
  13. Kwanini wanawake wenye pesa hawadumu kwenye ndoa, wengi wao ni single mothers

    Habari wanajukwaa, Moja kwa moja kwenye mada. Wanawake wenye mafanikio kiuchumi huwa hawadumu kwenye ndoa na wengine huwa hawaolewi kabisa japo wanapenda kudate na wanaume (vijana) wasio na pesa nyingi wakiwahudumia kwa kila kitu na wakizingua wanawatimua. Hasa watumishi ndiyo wanaongoza kuwa...
  14. S

    Wanawake mkipata wapenzi wapya punguzeni "show off" kwenye "status za WhatsApp"

    Story iko hivi.... Nilikua na mpenzi wangu ambae tulidumu kwenye mahusiano kwa takribani miezi 6 lakini tulipishana tu Kiswahili kdg tu na nilijaribu kuzungumza nae lakini nikaona kama mwenzangu bado kanuna flani na wakati tunazungumza mimi nilikua nimesafiri kikazi kwa muda wa mwezi mmoja so...
  15. Machinga kuwashikashika wanawake inakera sana!

    Mtu unajipitia zako mara umeshikwa bega, au unavutwa nguo, mkono au kiuno, dada hii inakutosha au hii itakupendeza kwani huwezi kuniambia nikasikia tukaelewana bila kunigusa? Machinga wa Karikaoo, Karume, Mbezi ya Kimara jumlisha na wale wapiga debe ndo kuzidi kabisa, Mwenge yaani wanakera...
  16. Siyo siri siku hizi wanawake wameota mapembe

    Bila discussion wakuu, Wanawake wengi wa siku hizi daah wameota mapembe, yaani hawaambiliki, wala huwezi kuwapanga kwa chochote. Yaani anataka kupelekesha mtu tu kwa kila kitu akiwa anajua upo naye kwenye mahusiano na unyumba, sijui ni vikoba vina wachanganya au ni hizi pesa wameanza kuzishika...
  17. Wanawake jiinueni kiuchumi, ndio uhuru wenu

    Kama hauna au hauko vizuri kiuchumi utumwa unakunyemelea katika muktadha wowote ule. Ndiposa nakuja na ushauri huu kwa jinsi ya ke kuwa wajitahidi kujiimarisha kiuchumi na kutokuwa tegemezi katika jinsi ya Me ili waondokane na utumwa katika mahusiano na katika Ndoa. Yapo mawazo mgando kuwa...
  18. Kiasili wanawake ni wabnafsi. Je ndivyo walivyoumbwa?

    Wanawake kiasili chao ni chao na chako ni chao. Je, huu ni uchoyo,ubinafsi au ndivyo walivyoumbwa?
  19. Wanawake ni viumbe wanaoeleweka sana sema Sisi ndio hatutaki kuwaelewa

    WANAWAKE NI VIUMBE WANAOELEWEKA SANA SEMA SISI NDIO HATUTAKI KUWAELEWA! Anaandika Robert Heriel Kuhani. "Mwanamke hajui nini anataka" "Wanawake hawaeleweki" "Huwezi kuwaelewa Wanawake" na kauli zingine kama hizo ni kauli za kizamani zilizolenga kuwahukumu Wanawake na kuwafanya wakosaji...
  20. Mnaotaka wanaume wa maana, je na nyie ni wanawake wa maana?

    Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa na mwanaume wa maana, hatujawahi kuambiwa mwanaume wa maana ni mwenye sifa gani ila possibly hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…