wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani za wanawake kutoa namba kwa wanaume kisha kuingia mitini (ku-ghost)?

    Wanawake ambao huwa wanatoa namba za simu kwa uchangamfu mkubwa tu baada ya kuombwa na wanaume kisha wakishaachana wanawapotezea (ghost) au kujifanya matawi huwa ni wapuuzi wakubwa sana. Kama huna mpango wa kuwasiliana na mwanaume hakuna haja ya kutoa namba ya simu.
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake Kiasili Wana "Allergy" na Wanaume Wafupi? Huu Ni Mtazamo Wangu Tu

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikitazama mahusiano ya watu mbalimbali, hasa watu maarufu, na kuna jambo moja limekuwa likinifanya nihoji. Inawezekana wanawake wengi, kwa asili yao, huvutiwa zaidi na wanaume warefu kuliko wafupi? Sisemi ni sheria ya asilimia 100, lakini kadri ninavyoangalia mifano...
  3. JamiiForums Tanzania Wazazi wa Arusha chukueni hatua kama alivyosema Lema kuwalinda mabinti zenu na huu uselamavi unaozidi kuota mizizi Arusha

    Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za familia na ndoa namkubali sana. Media zimeamua kupromoti upuuzi unaofanywa na vijana wachache...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wavaa ushungi huwa wanasuka au kuvaa mawigi?

    Wanawake wanaovaa ushungi/ hijabu au vilemba muda wote huwa wanasuka nywele au kuvaa mawigi?
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wawaokoa Wanawake 48 waliodaiwa kutumikishwa kwenye biashara ya ngono

    Maafisa wa upelelezi wamewaokoa wanawake 48 katika operesheni mbili zilizofanyika Ongata Rongai na Kiserian, Kaunti ya Kajiado, kufuatia taarifa kutoka kwa wananchi kuhusu madai ya unyanyasaji wa kingono na utengenezaji wa maudhui ya ngono kwa biashara. Katika operesheni ya kwanza iliyofanyika...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa faida ya Yanga princes twende na Prisca Kishamba, atavutia wanawake wengi

    Prisca Kishamba ni mwanamke pekee anaegombea ujumbe wa kamati ya utendaji wa timu ya Yanga. Kwa heshima ya Rais Samia, wanawake na timu ya wanawake ya Yanga tumchague huyu binti kuwa kwenye uongozi wa Yanga. Wagombea wote ni wazuri sana lakini Kishamba anaweza kuongeza idadi ya wanawe kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake tunapenda hivi...

    Wanawake tunapenda Kupendwa, Kuheshimiwa, Kuthaminiwa, kusikilizwa,Kusifiwa, kuhudumiwa na mambo mengine mazuri kama hayo. Kuhusu kupendwa tunapenda upendo unaoonekana kwa vitendo, hususan uvumilivu wakati wa shida, na upendo wa kweli huondoa hofu na tunakuwa huru zaidi Na mwanamke aliye...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa ndio wanawake sasa muda wowote anakubadilikia.

    Hiki kiumbe usikipe asilimia mia moja kuwa anakupenda wewe tu japo siyo wote. Wamejaa matamanio ya papo kwa papo, analiwa popote, endapo kidume kitamvutia kwa muda mfupi tu. Demu unaweza kumuhumia mahitaji yake yote kwa kipindi kirefu sana, lakini siku moja kwenye birthday yake, mwamba mmoja...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanatafuta bikra wanawake tunatafuta wanaume wenye marinda

    Mpambano ni mkali sana huku ground wanaume wanatafuta bikra wanawake wanatafuta wanaume wenye marinda Dunia imeenda kasi sana kumpata bikira kipengele na kumpata mwanaume Mwenye uanaume ni Mtihani Mpaka 2035 bikra hatokuwepo na wanaume wenye marinda watamulikwa na tochi Muda mchache Kama...
  10. JamiiForums Tanzania Lipi ni tatizo hadi wanaume kunyanyapaa wanawake waliowahi kuwa na wapenzi wengi awali?

    Kwa wanaume wanatafuta wake au wenza wa kudumu tatizo huwa ni mwanamke kuwa na wanaume wapenzi wengi kabla ya ndoa au aina ya wanaume aliokuwa nao kama wapenzi wake? Mimi naona kama mwanamke alikuwa na wapenzi wengi wakiwa maarufu au watu wa hadi hata akazaa nao sidhani kama hunyanyapaliwa kama...
  11. JamiiForums Tanzania Nashindwa kumshauri rafiki angu ana penda wanawake Sana

    Nina jamaa angu Msukuma wa Shinyanga, jamaa ni fundi wa kuezeka majumba ni kweli ni fundi mkali tu kwenye mambo ya kupauwa majumba Ishu ni hivi, jamaa hawezi kutulia kabsa na mkewe Yuko radhi ajifanye yuko nje kikazi kumbe amejifungia lodge na mwanmke tena Hawa wauza bar wa Dodoma Kila pisi...
  12. JamiiForums Tanzania Nyie wanawake wa siku hizi mnaojitafuta kwanza kabla ya ndoa nani atawaoa?

    Naona saiv hili suala la wanawake kujitafuta kiuchumi kabla ya kuolewa lmekua common sasa. Zamani tulizoea mwanaume ndo anajitafuta kwanza kisha aoe lkn saiv meza imepinduka, kila mwanamke unaekutana nae kwenye mahusiano anakwambia anajitafuta kwanza ndo aolewe, anataka anunue kiwanja ajenge...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake: Ni ugaidi gani umewahi kumfanyia mwanaume na hutousahau?

    Wakati wanaume wakitamba na ‘kula tunda kimasihara’, hawajui kuwa nao huwa wanapigwa matukio kimkakati na wanawake. Kuna waliosingiziwa mimba - wakalea na kutoa matumizi miaka nenda rudi (na wengine hadi leo hawajui kuwa watoto sio wao); kuna waliotoa hela za misiba au ugonjwa usiokuwepo; kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Mkunde Pori na Mziwaziwa: Suluhisho kwa wanawake wanaotafuta watoto

    ■ Inasafisha kizazi ■ Inazibua mirija iliyoziba ■ Inaondoa sumu kwa wale waliotumia sindano za uzazi/vidonge vya uzazi. ■ Inakomaza mayai kwa wale wenye tatizo la mayai kutokukomaa na kusababisha mayai kutokupevuka ■ Inasogeza kizazi karibu kwa wale ambao vizazi vyao vipo mbali ■ Mizizi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Watu wengi hushangaa kwanini wanawake wengi hupendelea kugombania wanaume wachache, huku wanaume wengi wakibaki bila chaguo

    Katika mjadala wa mahusiano, kuna jambo ambalo watu wengi huliona lakini hulikwepa kulizungumzia kwa kina. Mara nyingi utakuta kundi kubwa la wanawake linavutiwa na wanaume wachache wenye hadhi fulani, mafanikio fulani au maisha yaliyojengeka, huku wanaume wengi wengine wakibaki nje ya mzunguko...
  16. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wanawake wa siku hizi kupenda uke wenza inasababishwa na nini?

    Kumekuwa na kasumba iliyoibuka hivi karibuni ya mabinti kupenda mwanamme aliyeoa na hata kudiriki kumtegeshea mimba ili aolewe mke mwenza. Nina Brother yangu toka nitoke alipata kazi Shinyanga kama mhasibu wa halmashauri then akapata mke wakaoana. Baadaye akaamishishiwa Tanga, hakukaa hata...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake hawazeeki jamani. Hivi huyu bibi Cynthia mnamfahamu?

    Katika kundi la wanawake tasnia ya filamu huyu alitukosha sana vijana kwa zile ngumi zake na mapigano. Embu fikiria umemfahamu mpaka leo ila utamu umebaki pale pale.
  18. JamiiForums Tanzania Ila wanawake ni shida sana

    Leo bi mkubwa kanicheki , kakuta naongea kilevi levi kazingua kinouma, nikafanya kumtumia 200k kimya kimya, baada ya muda , akaandika yaani ungekua hapa mwanangu , tungefurahi mno, leo tumechinja kuku mkubwa hatari 🤣
  19. JamiiForums Tanzania Hivi wasanii wa zamani wanawake hawapo?

    Nimeona wanaoenda mikoani ni wanaume tu ila wanawake kama Jide, RC, Ruby, Maua Sama, Zuhura mrisho wote siwaoni. Au mfumo dume? Sikilizeni hizi hapa https://open.spotify.com/track/5OZFKa8fuMNnyHwBnJIHAO?si=MBE-c6prR1WyKwXG3Z861Q&utm_source=copy-link...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume chatterbox; mwanaume gani unaongea sana kama mwanamke bhana

    WANAUME CHATTERBOX; MWANAUME GANI UNAONGEA SANA KAMA MWANAMKE BHANA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Zamani kulikuwa na dhana nyingi potofu ndani ya jamii hasa kuwahusu wanawake. Na mpaka sasa dhana hizo zipo. Dhana potofu kama; 1. Wanawake ni wambea kuliko wanaume. Ukweli ni kuwa wanaume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…