Wanawake punguzeni kutusogezea kwenye Daladala

Lucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2018
Posts
20,347
Reaction score
62,353
Kwanza kabisa samahanini Dada zangu sina lengo baya ila ni kuwekana sawa.

Naelewa kuna changamoto sana katika masuala ya usafiri muda mwingine hamna namna kabisa inabidi tubanane mithili ya kukumbatiana.

Ila inapokua haina ulazima wa kufanya hivyo basi baadhi ya kina Dada mliobarikiwa mizigo naomba mpunguze kutusogezea, sisi wengine ni maji mara moja maharage ya mbeya ukitusogezea mzigo mnara unasoma 5G hapohapo hata bila kupenda.

Swali langu ni je hivi kuwa hamuhisi kuna kitu kigumu kinakugusa? Je huwa mnakua comfortable?

Binafsi huwa nakua sipo comfortable kumgusa mwanamke nikiwa katika hali hiyo ya 5G hali yakua hatuna uhusiano wowote , leo hali hii nimekutana nayo kwenye Daladala nimejitahidi sana kukwepa na kusogea nyuma ila Mwana Dada aliekua mbele yangu alikua anajiachia sana na kurudi nyuma kila ninaposogea nyuma.

Hivyo tafadhali naomba mpunguze kutusogezea, kuna watu wengine koki mbovu mtakuja kuloana.
 
Akiiileta kaa nayo mbali, geukia upande mwingine, msemee kwa konda !

#Linda waleti yako
Nashukuru leo nimefanikiwa kulinda wallet yangu maana ilibaki kidogo niombe namba ila nimenusurika.

Kwa sasa simlaumu tena Adam kwanini alirubuniwa hadi akala tunda, maana vishawishi vina nguvu sana hasa vya wanawake.
 
Kwanza kabisa samahanini Dada zangu sina lengo baya ila ni kuwekana sawa.

Naelewa kuna changamoto sana katika masuala ya usafiri muda mwingine hamna namna kabisa inabidi tubanane mithili ya kukumbatiana.

Ila inapokua haina ulazima wa kufanya hivyo basi baadhi ya kina Dada mliobarikiwa mizigo naomba mpunguze kutusogezea, sisi wengine ni maji mara moja maharage ya mbeya ukitusogezea mzigo mnara unasoma 5G hapohapo hata bila kupenda.

Swali langu ni je hivi kuwa hamuhisi kuna kitu kigumu kinakugusa? Je huwa mnakua comfortable?

Binafsi huwa nakua sipo comfortable kumgusa mwanamke nikiwa katika hali hiyo ya 5G hali yakua hatuna uhusiano wowote , leo hali hii nimekutana nayo kwenye Daladala nimejitahidi sana kukwepa na kusogea nyuma ila Mwana Dada aliekua mbele yangu alikua anajiachia sana na kurudi nyuma kila ninaposogea nyuma.

Hivyo tafadhali naomba mpunguze kutusogezea, kuna watu wengine koki mbovu mtakuja kuloana.
Mkazi WA Dar ww pande zipi hizo
 
Noma sana yani... Unakuta kubabaaabanye upande huu Manzil upande huu Manzi ...na vijingua vyao vya siku hizi una "lifeel" tako kabisa Yani ni balaaa ukigeuka unalo ukigeuka unalo inabidi tu ujitege mkao wa kasa... Daah ...
 
Leo aliekua kasimama nyumba yangu alikua Mashallah kuliko alie mbele yangu lakini wa mbele yangu nae hakua mnyonge alikua na point za muhimu alizomzidi wa nyuma yangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom