kadiri kasimba
JF-Expert Member
- Jul 23, 2022
- 588
- 1,144
🤣🤣🤣🤣 Bado mkuu kagua vzr!sasa si umemaliza wanawake wote mkuu
Na wale wenye kuendelea habari za baba wa kiroho + mitume na manabii.. kaaa nao mbali, utaja nishukuru
mada haiusu kukamilika au kutokukamilikaHakuna mkamilifu
Ungeweka na aina nane the opposili
Endelea 9 tu mkuu!Na wale wenye kuendelea habari za baba wa kiroho + mitume na manabii.. kaaa nao mbali, utaja nishukuru
Wao kila siku wapo kwenye maombi, hata mtoto akiumwa badala ya kumpeleka kupima anapelekwa kwenye maombiNa wale wenye kuendelea habari za baba wa kiroho + mitume na manabii.. kaaa nao mbali, utaja nishukuru
Ukiwa na mwanamke kama Felister Patrick Masenya (Misoji) hutoboi. Mwanamke anawaza matusi, kutukana na kupigana muda wote. Anaona ugomvi, ubabe na matusi ndio maisha ya kisasa
Ndo kucheleweshwa kwenyewe sasa kimaisha🤣🤣🤣🤣Ila hapo namba 1, unamuonea bure sio kosa lake kua mzuri bila akili jamani, akili atatumia zako
Elewa kichwa Cha hbr mkuu!No 3 inakuwaje kuwa sifa mbaya?
Umesahau mwanamke mwenye laana ya kiroho na ya kimwili (sana sana hawa madada wa bongo movie na wa mjini), hawafai kabisa.
Wife alikuwa ananiletea pigo hizo nitawaita wazazi wake nikawaambia huyu kama anaendelea kuwasikiliza hao manabii namrudisha kwenu...Wao kila siku wapo kwenye maombi, hata mtoto akiumwa badala ya kumpeleka kupima anapelekwa kwenye maombi
Haswaaaa.Ungeweka na aina nane the opposite