Hivi wewe mwanamke au binti, ambaye umeolewa au upo kwenye mahusiano: [emoji116][emoji116][emoji116]
Hivi wewe ikitokea mumeo anataka kukuua na anakupiga kiasi cha kutaka kuutoa uhai wako, je, utajiteteaje?
Ni sehemu ipi ya mwili wake akikaa vibaya utashughulika nayo ili kujiokoa?
Karibuni...