wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Mikutano Miwili ya China yazingatia kulinda haki na maslahi ya wanawake

    Pili Mwinyi Kwa miaka mingi China imekuwa ikiimarisha sheria na kanuni zake zinazomhusu mwanamke, kukuza sera za umma, kufanyia kazi mipango ya maendeleo na kuendeleza masuala ya usawa wa kijinsia na maendeleo ya wanawake. Katika mikutano miwili inayofuatiliwa sana nchini China, ulinzi wa haki...
  2. L

    Wanawake waathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi

    Kila ifikapo tarehe 8 Machi dunia inaadhimisha siku ya wanawake, yakiangaliwa mafanikio na juhudi za wanawake katika upande wa kihistoria, kiutamaduni na kisiasa. Siku hii pia inaangazia na kuunga mkono hatua zinazochukuliwa dhidi ya ukosefu wa usawa wa kijinsia duniani kote. Sote tunajua kuwa...
  3. Siku ya Wanawake Duniani: Itafutwe namna ya kuonyesha jitihada za wanaume kifamilia na kijamii

    Ni vyema kuwashukuru na kuwapongeza mama zetu kwa kutulea toka tumboni mpaka leo. Watu husema wababa wengi hufa mapema kuliko wamama kutokana na kutokuongea na hivyo kupata magonjwa yatokanayo na misongo ya mawazo. Jana ilikua siku ya wanawake duniani, wanawake wengi waliongelea ubora wao na...
  4. B

    Mwenda: Waandishi andikeni makubwa yaliyofanywa na wanawake nchini

    Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Mwenda amewaomba Waandishi wa historia kuendelea kuenzi na kuthamini mchango uliotolewa na wanawake kabla na baada ya Tanzania kupata uhuru. Mhe. Mwenda ametoa ombi hilo Jana Jumanne Machi 08, 2022 wakati akihutubia maelfu ya wananchi...
  5. B

    DC Mwenda atumia siku ya wanawake kueleza makubwa yaliyofanywa na Rais Samia

    Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amesema kwa muda mfupi wa Uongozi wa Rais Samia Suluhu, Wilaya yake imepokea Mabilioni ya fedha ambayo hayakuwahi kuletwa kwenye maendeleo kwenye Wilaya hiyo. Mhe. Mwenda ameyasema hayo Jana Jumanne Machi 08, 2022 wakati...
  6. L

    Wanawake wapata maendeleo makubwa nchini China

    Wakati dunia inapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, mwanaanga wa China Bibi Wang Yaping, ametoa salamu kutoka kwenye Kituo cha Anga ya Juu cha China, akiwatakia wanawake wote duniani ulimwengu “wafuate nyota inayong’aa zaidi kwa ajili ya maisha na kazi wanayopenda.” Kutoka “kufunga...
  7. L

    Wanawake wapiga hatua muhimu kubadilisha jamii licha ya vikwazo

    Na Serah Nyakaru Juhudi za wanawake kuleta mabadiliko duniani sasa zinaonekana katika kila pembe ya dunia. Nchi zilizostawi na zinazostawi kote duniani zina miradi ambayo inaendeshwa ama ilianzishwa na wanawake tofauti na ilivyokuwa hapo awali ambapo mfumo dume uliwatenga wanawake. Hivi sasa...
  8. FULL TEXT: Hotuba ya Freeman Mbowe kwa Watanzania na Baraza la Wanawake Chadema Iringa 08/03/2022

    HOTUBA YA MBOWE Kama mjuavyo, nimerejea uraiani toka Gerezani siku nne tu zilizopita. Nawashukuru sana kina Mama wa Chadema kunialika kuja kuwasalimia wakati mkiadhimisha siku yenu maalum. Ukiondoa kundi dogo sana, tena tuliloliamini lakini likakiasi Chama kwa vipande vya fedha, Wanawake...
  9. Rais Samia: Wanawake wengi waliambukizwa Uviko-19, walibeba mzigo mkubwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia katika maadhimisho ya 'Siku ya Wanawake Duniani', Zanzibar, hivi ni baadhi ya kauli zake: "Tunajua kwamba wanawake wengi wanajishughulisha na biashara ndogondogo ambazo hazipo kisheria na hazina kanuni, na sasa tunataka...
  10. SIKU YA WANAWAKE: Wapaza sauti, uongozi, ukatili kingono kwa wanawake

    Wakati wanawake wakiadhimisha siku yao leo, wadau wamesema rushwa ya ngono ni tatizo linalotafuna ndani kwa ndani, huku wakitaka wanawake zaidi kuongoza katika sekta mbalimbali nchini. Baadhi ya wadau hao ni Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini...
  11. Siku ya Wanawake: Bi. Titi Mohamed mahojiano na waandishi maalum

  12. Siku ya wanawake: Bi. Titi Mohamed alipounguruma tononoka hall Mombasa na Pumwani, Nairobi

  13. J

    Siku ya Wanawake: Wanawake Wajasiriamali waenda Chato kufagia kaburi la hayati Magufuli

    Nichukue fursa hii kuwatakia Wanawake wote sikukuu yenye baraka. Pili, niwapongeze akina mama Wajasiriamali waliofunga safari kutoka Dar es salaam wakielekea Chato kusafisha kaburi la hayati Magufuli wakikumbuka jinsi alivyowapambania. Mungu wa mbinguni awabariki Wanawake wote. Kwaresma njema!
  14. Wanawake katika mikutano ya mwanzo ya TANU Mnazi Mmoja

    WANAWAKE KATIKA MIKUTANO YA MWANZO YA TANU MNAZI MMOJA Peleka jicho lako upande wa kushoto utaona wanawake wamevaa mabaibui meusi. Hawa ndiyo wanawake ambao Daisy anawahadithia katika kumbukumbu ya marehemu baba yake: ''Kitu cha kufurahisha ni kuwa hawa akina mama wa Kiislam wote walivutwa...
  15. Wanawake mashujaa waliosahauliwa tunawakumbuka: makala maalum siku ya wanawake

    AISHA ''DAISY'' SYKES ANAVYOWAKUMBUKA MAMA NA BIBI ZAKE WALIOSAHAULIWA NA HISTORIA Utangulizi Kila ninapofikiri kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika hasa katika zile siku za mwanzo za TAA kabla ya kuundwa kwa TANU na baada ya TANU kuundwa mwaka wa 1954, nashawishika kufanya rejea...
  16. RC Robert Gabriel awachana wanawake wa Mwanza! Awataka wajifunze kuoga na kupulizia manukato

    Mwanza, Mwanza, Mwanza! Kwa kweli mmebahatika kuwa na maRC wenye vituko. Huyu wa sasa naye sijui atatumbuliwa? Hebu muangalieni hapa…
  17. Mabadiliko ya TabiaNchi yanaathiri zaidi Wanawake sababu ya kukosekana Usawa wa Kijinsia

    Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani (Machi 8, 2022), inaelezwa kuwa Wanawake na Wasichana wanakumbana na athari kubwa zaidi za Mabadiliko ya TabiaNchi, kwani yanazidisha ukosefu wa UsawaWaKijinsia Umoja wa Mataifa (UN) unasema Ulimwenguni kote Wanawake wanategemea zaidi Maliasili, ilihali wana...
  18. Wanaume tunadhalilishwa sana na wanawake huku mitaani

    Habari zenu wadau, nadhani nisipoteze muda , Hapa kijiweni vatcan usiku wa jana kumetokea matukio mawili ya kutudharirisha wanaume, Jamaa flani akiwa amevalia jezi ya yanga hana hili wala lile anatafakari azame chimbo gani akapate ulabu mara paap anashangaa baamedi mwenye wese la kutisa...
  19. B

    Wanawake mnasema mnapenda mwanaume anayejua kuhonga, ila mkiwapata hao wanaume, mnawaona na kuwafanya maboya

    Case in point, video za instagram na TikTok baadhi ya wadada Especially wa Marekani, wanajigamba kupewa hela nyingi na wanaume ndani ya mda mfupi, huku wakiwaona hao wanaume kuwa ni wajinga. Kwasababu wanatoa hela, sasa sijaelewa which is which, Ina maana kwa mfano nikimpa Tshs. elf 50 mdada...
  20. Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

    Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote. Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha kuvumilia/kustahimili na kupuuzia mambo ya hovyo na yasiyo faa yanayo fanywa na wanawake katika mahusiano au katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…