Nepal yaadhimisha "Siku ya Wanawake"

ldleo

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
1,029
1,051
Agosti 30, 2022, Kathmandu, Nepal, waumini wanawake wa dini ya kihindu walisherehekea Tamasha la Teej(siku ya wanawake), wakitoa heshima katika Hekalu la Pashupatinath kwa Mungu Shiva huku wakiimba na kucheza ngoma.

Katika baadhi ya maeneo ya Nepal, India na Bangladesh, waumini wanawake wa dini ya Kihindu husherehekea siku ya Teej, wanawake walioolewa hufunga mchana na kuwaombea waume zao maisha marefu, huku wanawake ambao hawajaolewa wakiombea wapate mume maridadi na maisha ya ndoa yenye furaha.

VCG31N1242825112.jpg
 
Back
Top Bottom