wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Wanawake mmezidi mawigi yananuka kweli!

    Jamani baadhi ya wanawake tena sio baadhi asilimia kubwa muoshe, mfue au muwe mnaanika mawigi yenu. Kuna dada mbele yangu hpa ATM foleni wigi lake linatema balaa! Yaani nahisi halijafuliwa mwezi mzima. Mpaka yale ma nzi makubwa yameshaanza kuzungukia hapa. Khaa! This is too much now!
  2. Wanawake hasa wa kikristo ongezeni ubunifu kwenye tendo

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada. Licha ya hawa viumbe kupenda kupigwa pipe za maana, ila siku hizi wamekuwa hawana ubunifu kabisa Nyie wanawake mnatusakama sana kuwa sisi hatuwaridhishi, tutawaridhisha vipi wakati tukiwa kwenye tendo hamna ubunifu? Viuno hakuna mkilala kifo cha mende...
  3. Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je hawa wanawake wangetembea nusu uchi?

    Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je wangetembea nusu uchi??
  4. Wako wapi wale wanawake...

    Ama kweli maisha yanaenda kasi sana! Hivi mnakumbuka kuna kipindi walikuwepo wanawake waliokuwa wanagegedwa mpaka wanashindwa kutembea hadi wiki nzima? wako wapi hao wanawake? Hicho kizazi kiliishia wapi? Hao wanawake hata walipokuwa wanaolewa walikuwa wanalia sana😅😅😅 Siku hizi hatuwaoni..
  5. Hivi ninyi wanawake mnatuchukuliaje? Mnatia hasira!

    Hivi kweli nyinyi wanawake hamjawaza kitu kingine mnapoingia kwenye mahusiano tofauti na pesa? Nimekutana nao kwenye hiace wanaongea, "Yule mwanaume nitamuacha, siwezi kukaa na mtu ambae hanijali!! Namuomba hela ya kusuka bila aibu ananipa 20, 000 wakati nilimwambia 40, 000?" Tunawapa muda...
  6. Utafiti: Wanawake wakikumbatiwa wanapunguza msongo wa mawazo

    Utafiti uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa kumkumbatia mtu kunaweza kuchangia kupunguza msogo wa mawazo kwa Wanawake. Wanawake 76 waliofanyiwa utafiti wa kisayansi na Kituo cha PLOS One wameonesha kuwa wanapowakumbatia wenza wao au watu wanaowapenda pindi wanapokuwa na msongo wa mawazo...
  7. Waziri Dkt. Stergomena azungumzia kujivunia timu ya Wacheza Golf Wanawake

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) amesema kuwa anayo mengi ya kujivunia kwa timu ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ya Golf ya Wanawake (TPDF Lugalo Golf Club) yakiwemo ya kuitangaza Tanzania ndani na nje ya nchi. Timu hii imeendelea kufanya...
  8. Utapeli mpya ''wawaliza'' wanawake

    Dar es Salaam/ Kilimanjaro. Ni wimbi jipya la utapeli. Hutokea pale baadhi ya wanawake wanapolazimika kuwalipa fedha waliokuwa wapenzi wao, ili wasisambaze picha zao za utupu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii. Wimbi hili linaelezwa kuwakumba wajane, wanafunzi vyuoni na wake za watu, ambao...
  9. Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

    Kwema Wakuu! Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii, Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa nachelea kusema Wanawake wengi yaani 95% bila ya urembo hawavutii na wala hawaonekani kuwa wazuri...
  10. Kilimanjaro: Wanawake wakimbia makazi yao kukwepa wabakaji

    Baadhi ya Wanawake wa Kijiji cha Shirimatunda, Kata ya Mnadani, Wilaya ya Hai wamekazimika kukimbia makazi yao kutokana na kuibuka kwa wimbi la Wanaume wanaofanya vitendo vya ubakaji. Matukio hayo yanadaiwa kutokea katika maeneo ya mtoni wakati Wanawake wakifuata maji, ambapo wanaofanya tukio...
  11. Wanawake wanene wakideka wanaonekana kama makubwa jinga

    Wasalaam, Katika pilika za mahusiano nilichogundua kudeka kunampa raha mwanamke japo kwa kiasi ila pia kudeka kwa mwanamke kunampa fursa mwanaume kujimwambafy na kutekeleza 1, 2, 3 Lakini kudeka kunapendeza kwa mwanamke mwembamba sasa unakuta mwanamke kama kiboko ati na yeye anajidekeza haa ha...
  12. Wanawake Mabonge zaidi ya ubonge wenyewe hawavibe lolote. Sana sana ukubwa wa hekaya la hadith.i

    Vibonge ziii! Hawa vibonge kisa vibration na miujazo wanajibutua huko road ila wakiingia parking hawana vibe Lolote. Namliza mtu weekend hii anakula mlenda hadi kero uvinza kajaa uji kila dakika chumvini huwezi kuzama na ukaibuka. Tuwe makini wala mlenda wana makusudi. Naendelea...
  13. Josephine Matiro: Miaka 7 hapakuwa na Ongezeko, ndani ya Mwaka mmoja Rais Samia kaongeza 23.3%. Ni Ushindi kwa Wanawake

    Mkurugenzi wa haki za Wanawake katika taasisi ya Wanawake laki moja Josephine Matiro amesema, Rais Samia kulidhia ongezeko la mshahara na kima cha chini 23.3% ni Ushindi Mkubwa kwa Wanawake. Kwa Miaka 7 saba, Wafanyakazi hawakuongezewa Mshahara, lakini Mwaka mmoja wa Rais Samia, Wafanyakazi wa...
  14. Leo nimetaka kumtandika Dada yangu vibao mbele ya mume wake. Wanawake wa siku hizi sijui wakoje!

    Sister ameanza ubinafsi wa kipuuzi. Nmewasikia toka wakiwa room kwao kuna mgogoro. Shem anaomba game. Sister analeta usister duu kuwa eti kachoka. Shem kabembeleza sana kuwa ana hamu na yeye ndo mkewe. Sister kaona kero kaamua kwenda sebuleni kucheck movies. Nimemfuata sister na kumuuliza kwa...
  15. Wanawake wa Tanzania wanasubiri waolewe ndio waanze Maisha

    Bongo Hapa Unakuta Mama mtu mzima miaka Kama 30+ lakin hanashindwa hata kununua Godoro la 150k anachoweza Ni kumiliki infinix toleo la 2019 . Mtu umri umeenda kapiga 30 maji ya jioni badala atafute hata Room apange huku akifanya hata Biashara ya Aina Flani kusogeza siku .. huku akisubiri...
  16. K

    Wanaume tumekwisha hatuna chetu, wanawake ndio controllers wa kila kitu kwa sasa. Tukimbilie wapi?

    Za muda huu wanajamvi... Asubuhi hii nilipanda dala dala na kwa bahati mbaya nikasimama sana kwa kukosa seat. Route ilikuwa ndefu, kutoka K/Koo mpaka Mabibo. Kwa bahati nzuri nikapata seat baada ya mmoja wa abiria kushukia kigogo. Kisha muda huo huo akaingia msichana mmoja mrembo mno aliyekuwa...
  17. 63% ya wanawake Tanzania wako tayari kupata chanjo ya COVID19

    Taarifa ya NBS imeonesha wanawake wenye utayari wa kupata chanjo ya UVIKO ni wengi zaidi kuliko wanaume. Ambapo 63% ya wanawake ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo wakati ni 53% tu ya wanaume ambao hawajapata chanjo wako tayari kupata chanjo. Kwenye upande wa maeneo watu wa...
  18. T

    Kwa wajuvi wa Biblia, ni kweli Mfalme Daudi alipata UKIMWI kutokana na kupenda wanawake ovyo?

    Hongereni na majukumu wanajukwaa. Juzi jumapili nilikuwa nasikiliza mahubiri ya kuhani na muonaji Mwalimu MUSA RICHARD MWACHA, mahubiri yalikuwa yanahusu UKIMWI. Sasa katika mahubiri yale nikamsikia akisema kuwa Mfalme DAUDI nae alipataga HIV (UKIMWI) kutokana na kupenda kwake wanawake hovyo...
  19. Babu zetu waliwakataza wanawake kula mayai na nyama wakiwa na mimba kuzuia mtoto kuwa mkubwa, wengi wamekiuka hujifungua kwa upasuaji

    Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana. Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa...
  20. Kwenu wanawake mnaojifanya ma-FBI

    Habari kwenu! Ni kwamba Kama katika maisha ya mwanaume ukiona kakuchukua na kakuweka ndani Kama mke Basi tulia na ujue kajiridhisha kuwa wewe ni mwanamke Bora na sahihi kwake na familia yake. Hii tabia ya kufanywa mke unaacha majukumu yako ya uku unajipa kazi ya u FBI kuanza kumchunguza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…