wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini wanaume huchoka na kulala usingizi fofofo mara baada ya kupiga bao

    Madokta uchwara watakwambia " oooh NI Kwa sababu Una Tatizo la nguvu za kiume!!!" Usiwalaumu Kwa sababu hata wao hawajui what is going on . Ndio maana wanaitwa " WAGANGA". Neno Mganga linatokana na Neno " KUGANGA" Kuganga maana yake ni kubahatisha bahatisha. Mfano " Jamaa yupo Mjini ana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hii ina ukweli wowote kwa Wanaume wa TZ na kwa wanawake je?

    Wanaume wa Tz hawakuambii it's over ila utapigwa matukio mpaka utakimbia mwenyewe.
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Jimbo la Kyela linahitaji Mbunge Mwanamke, wanaume wameshindwa kuleta maendeleo

    Kumbukumbu zangu zinaanzia kwa Mh Kasyupa Alipipi , huyu alimshinda Mwakipesile , enzi za Chama Kimoja , nilihudhuria kampeni zilizofanyika Ipande , kijiji cha Bukinga , kwenye eneo la wazi lililojulikana kama MPIKI KIMBWALA , nadhani ilikuwa mwaka 1980 ( niko tayari kusahihishwa ) wakati huo...
  4. JamiiForums Tanzania Tiba za asili za COVID-19 pia zinaimarisha nguzu za kiume kwa waliokua hatarini kupoteza ndoa zao

    Sasa wakuu mimi binafsi nimeona tiba ya kitunguu swaum , tangawizi malimao yamekuwa mazuri sana kwangu, pia natumia sana habat souda na mrungu rungu katika kujitibu Corona Sasa picha linaanza, kila nikikutana na demu wangu ananiambia mbona sasa show ya kibabe sana? Nikamwambia, kwanini...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaofanya Kazi katika 'Madawati ya Jinsia' msipokuwa makini na aina ya 'Maswali' yenu kwa Wanaume mtakuja 'Kupigwa' siku moja

    Viswali swali vya Kipuuzi kama hivi msivyovibadilisha Watu wengine kama akina GENTAMYCINE tusio na Uvumilivu mtakuja Kupigwa! 1. Mkeo umefanya naye Mapenzi lini? 2. Huwa una tabia ya Kumkuna hasa Mkeo? 3. Kwa kawaida Mkeo huwa unampiga Bao ngapi? 4. Mara yako ya mwisho Kumkatia Mkeo Viuno...
  6. JamiiForums Tanzania Wanaume wanapenda kwa vipande sio kitu kizima

    Jana katika pita pita zangu mitandaoni nikakutana na lile sakata la yule Bi. Mkubwa aliechezea vitasa mjini Moshi baada ya kuhusishwa na fumanizi flani. Katika hali ambayo iliamsha hisia zangu zaidi ni mahojiano ambayo yalifanyika kati yake na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ya Dkt. Chriss Mauki mnaionaje wakuu? Huyu si muharibifu wa ndoa za watu?

    Wakuu, huko kwenye twitter nimeona wanaume wakimshambulia Ndugu Chris Mauki kutokana na bandiko lake aliloweka huko kuwa wanaume ambao wanaombwa hela na wake zao na kusema kuwa kuna Jambo nafuatilia kila Siku wanasema hivyo, Chris Mauki anasema kuwa hao wanawake wanapaswa kujua kuwa wameolewa na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuondoa misongo ya mawazo kwa wanaume

    Habari wanna JF. Wanaume siku zote ni watu wanaozungukwa na msongo wa mawazo katika mihangaiko ya kimaisha ha hapa na pale...... Baadhi ya vitu vinavotuletea msongo wa mawazo ni Kama; 1.kuachwa na mwanamke umpendae 2.kumpenda mtu asiekupenda 3.kuwa na madeni lukuki 4.kukata tamaa/kufeli Jambo...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini Wanaume wengi wanapenda kufanya Ngono ndani ya magari yao?

    Ni kwanini Wanaume wengi siku hizi wanapenda sana kufanya Ngono ndani ya Magari yao? Hii tabia siyo tu kwamba sasa imeshazoeleka bali kwa jinsi ambavyo ninakutana nayo sasa ni dhahiri kabisa kuwa imeshaota Mizizi.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Wanaume kutoka Kanda ya Ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga ukanda wa Afrika Mashariki na Kati

    Katika utafiti ambao hivi karibuni utachapishwa mitandaoni kutoka taasisi moja ya utafiti unaonyesha kua wanawake wengi wanasema kua wanaume kutoka kanda ya ziwa ndio wanaume wanaojua kuhonga kuliko wanaume wote Ukanda wa Afrika Mashariki na kati. Wanawake walipoulzwa ni makabila gani hasa...
  11. JamiiForums Tanzania Yafahamu madhara ya kitambi kwa wanaume

    Yapo madhara mengi Na hutofautiana kulingana Na jinsia, umri, Na umbo. Nayo ni; - Kukosa choo, kupata choo kigumu, - Constipation au choo kuganda - Bawasili kutokana Na mfumo wa chakula kuzongwa Na taka mwili hasa masalia ya vyakula visivyo mengenywa (insoluble wastes) - Kupungukiwa Nguvu za...
  12. JamiiForums Tanzania Heshima ya kipekee sana iwafikie Wanaume

    Hi guys. Naomba hizi baraka za dhati ziwafikie WANAUME, Hasa wale wanaume wanaosimamia na kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Nakumbuka muda mfupi uliopita I passed through a very rough road to hell. Kuna zile nyakati kwenye maisha unatamani kabisa kama ujikane nafsi, yote yanayokusibu yawe tu...
  13. JamiiForums Tanzania Dada zetu muwe mnaangalia wa kuwapa Mioyo yenu wanaume wengine ni Mawakala wa Shetani

    MUME AMWEKEA PILIPILI NA KUZIBA NA GUNDI NYETI ZA MKEWE POLISI katika Kaunti ya Taraka Nithi nchini kenya, wanamshikilia mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina la James Muriuki, kwa tuhuma za kumuwekea Mke wake Pilipili kwenye sehemu zake za siri na kisha kumziba na gundi. Kwa mujibu wa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wako hivi?

    Nilikuwa naangalia movie ya kinigeria. Basi kuna msichana anafuatiliwa na mwanaume ila huyo dada hataki yule dada alipomwambia ukweli yule kaka akaanza kumdis oh wewe ni shepless sijui ungekubali nisingekuleta kwangu ninapoishi sijui ningekutumia kichakani au lodge ya mbali hufai . Yaani...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume aziba nyeti za mkewe kwa gundi akimlazimisha amwambie idadi ya wanaume aliolala nao yeye alipokuwa safarini

    Polisi wanamsaka mwanamume mmoja kwa madai ya kuziba sehemu za siri za mke wake na gundi kwa sababu ya kutomuamini. Kisa hicho cha kushangaza kilitokea katika Kaunti ya Tharaka Nithi huku mwathiriwa akiwasimulia polisi namna alilazimishwa na mume wake kuvua nguo kabla ya kuanza kumhoji...
  16. JamiiForums Tanzania Swali la Wanaume Tu: Wanaume Mkifumaniwa huwa mnamalizanaje na wapenzi wenu?

    Swali ndo Hilo jamaa: Jamani kama sio mwanaume, usikuje, tuwaache wanaume marijali tu wajibu hili swali 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini ni nadra sana kusikia Mwanamke kajiua kwa ajili ya mapenzi kuliko Mwanaume?

    Au labda Mwenyezi Mungu alivyowaumba Wanawake hakuwawekea ile roho dhaifu ya kutaka Kujitoa Uhai ( Kujiua ) kama ambayo inaonekana kwa Wanaume hiyo Roho si tu kwamba aliiweka bali aliigundisha kabisa na Super Glue kama si Gesi au Shaba ili isitoke milele? Wanawake wote mliopo hapa JamiiForums...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia chache tu ya wanaume wa Ki-Africa ndio huoa Wazungu na kati ya hao asilimia kubwa huoa wazee?

    Hili suala mimi binafsi limekuwa likinitesa sana pamoja na kuwa nje kwa mda mrefu na mahusiano tofauti tofauti lakini linapokuja suala la kuoa napata wakati mgumu sana nikiwa naamini kwamba mwanamke wa ndoto yangu atatoka ukanda wa Africa mashariki. Na hii sio kwangu tu black wengi ambao...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume tuna Matatizo

    Sio mpenzi sana wa jukwaa hili ila kuna tabia nimeiona imenishangaza baada ya kwenda likizo home kama unavyojua janga la corona. Kuna wapangaji pale home huyu sasa ni mwalimu ameoa unamkuta anafua nguo za ndani za mkewe, nguo za mkewe watoto, anaosha vyombo na kupiga deki ndani duh! Ukweli...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume tunapokutana na wanawake kuna ambao wanavutia kwa ndoa na kuna ambao wanavutia kwa ngono tu

    Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa. Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda. Wakati mwingine huwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…