wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Vazi la Taifa Nchi ya fiji linatia mashaka Sket kwa wanaume 🤔

    Tizama Video hii ya Rais wa fiji akiwa amevalia sketi na koti daah ...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume mwenye akili timamu hawezi kutembea na mke wa mtu

    Katika dunia hii ukitaka kuishi vizuri acha vitu vifuatavyo.  Wizi  Utapeli Wake za watu Wanaume mwenye akili zako kabisa una date na mke wa mtu na una enjoy kabisa. Me siwezi ata kuwa karibu na mke wa mtu wake wa marafiki zangu Sina ata ukaribu nao. Kuna wanaume wengine ni vichaa kabisa,Wana...
  3. JamiiForums Tanzania Nawalaani wanaume wote waliodiriki na wanaoendelea kuwafanya kinyume na maumbile vijana wa kiume

    Hakika hamtaiona mbingu, mtaangamia vibaya, kifo chenu kitakuwa cha majuto na mateso. Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi, kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao. Acheni mara moja, tubuni, msifanye hivyo jamani, siyo vizuri wana...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mjane aolewa na wanaume watatu kwa pamoja akiwemo shemeji yake

    Nellie akiwa na waume zake watatu Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni’, Nellie kutoka Nigeria ameitoa ile dhana ya mwanaume kuoa wake wengi bali mwanamke pia anaweza kuolewa na wanaume wengi baada ya kuolewa na wanaume watatu. Jimmy, Hassan na Danny ndio waume wapya wa Nellie na wameamua...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu hii tabia ya kupost vyakula mnavyokula kwenye status zenu huwa mnamaanisha nini?

    Hapa siingilii uhuru wa mtu, unakuta dume limeenda egi kabisa eti linapiga picha msosi anaokula kisha anapost na kuweka emoji ya 😋😋. Hivi vidume wenzangu huwa mnafikiria nini?
  6. JamiiForums Tanzania Hapa ndio wanaume tunafeli

    Wanaume wengi tunaamini pesa ndio kila kitu kwenye mahusiano, yaani ukiwa na mke na watoto unamini wakila vizuri, wakivaa vizuri, watoto wakienda shule nzuri Mama yao akipata mahitaji yote sijui salon, nguo nzuri nk basi upendo utadumu na familia itakuwa imara na bora Aisee nikuambie kitu...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume mnapenda kutunzwa sio vizuri jishughulisheni

    Nyie mnapenda kutunzwa kabisa hampendi wajibu wenu . Kama wanaume mjue ni laana kutunzwa mtageuzwa Kwa kupenda dezo Mtalazimika kuvishwa vikuku miguni,nashangaa kiunoni sio matusi ila nikweli . Siku njema haya maisha ni yakuangalia sana . Kila mwanamke anamtu wakeanayejitolea ikiwemo ndugu...
  8. JamiiForums Tanzania Mary Chatanda athibitisha maneno ya bibi Titi kuwa wanaume ni waoga kwenye kupambania Uhuru, Haki na Demokrasia

    Mwenyekiti wa UWT Taifa amesema hayo alipokjwa anatoa salaam za UWT kumkaribisha rais wa JMT mama Samia kuzungumza na wanawake na Taifa leo katika uwanja wa Uhuru CDE Mary Chitanda amesema kwa kunukuu ukurasa wa 52 wa kitabu cha Bibi Titi Mohammed ambaye aliandika kuhusu nafasi na ushiriki wa...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaowapanga wanaume au wanawake huwa mnawezaje

    Wana wa Tanzania amani iwe kwenu. Me Leo wala sina mambo mengi .....natamani tu kujua wale wenzangu mnaowapanga wanawake au wanaume zaidi ya mmoja, wawili au watatu au zaidi mnawezaje? Me ningekamatwa day 1 kwakweli. Yule shost angu aliyetulizwa kimazabe mazabe ndo ilikuwa zake.... yule hata...
  10. JamiiForums Tanzania Sidhani kama kuna ukweli kuwa Waarabu walikuwa wakihasi watumwa wanaume

    Imezoeleka sana kwa watu kusema kuwa Uarabuni hakuna watu weusi kama Amerika licha ya watumwa wengi kupelekwa huko. Wengi hudai kuwa waarabu walikuwa wajiwahasi watumwa wakiume ili wasizaliane. hili naona si jambo la kweli hata kidogo. Sababu ni kuwa kitendo cha kuhasi mtu kilikuwa ni kitendo...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake ndiyo wanaongoza kuwasema vibaya wanaume mbele ya watoto

    Habari za asubuhi, Wana JF Hivi kwa nini wanawake mnapenda kuanika sana madhaifu yetu, mnapokuwa na watoto Najua tupo kwenye ugomvi Mambo ya chumbani yaishie ukouko ndani, unayaleta mpaka sebuleni mbele ya watoto haipendezi watoto watajifunza nini. Wanawake mjifunze hii tabia sio nzuri...
  12. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Tina kwa wanaume wachepukaji

    Muwe na jioni njema Kaka mkubwa anasema Interlacustrine R Mwenye macho na asome na kuelewa Mwenye maskio na asikie
  13. JamiiForums Tanzania Huyu ndio Mwanamke, Wanaume tusidanganyane hatuwajui Wanawake

    Mnaweza kupanga na Msichana muonane lakini ukifika muda wa kuonana yeye akaamua kupiga zake usingizi . Ukaamua kumsubiri kwenye kona ya nyumba yao na ukatamani mpaka ukagonge hodi, lakini utasemaje ? Lengo lake akupime akili tu! Loh Wanawake hawa Kijana wa Watu unarudi ghetto kulala kumsubiri...
  14. JamiiForums Tanzania Kwenu Wanaume mnaozaa na michepuko

    Waungwana na wasio waungwana nawasalimu. Ninaandika haya nikiwa na masikitiko mengi sana... Niko kwenye tukio moja la kifamilia ambapo imelazimu watoto wote wa mji husika kuwepo. Ni tukio kubwa kiasi kwamba hata sisi tusio ndugu tumeshiriki. Nimeumia kuona katoto ka nje ambako kwa makadirio...
  15. JamiiForums Tanzania Bravo Group Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike Wala za Kiume. Wanawake Wasichague Kazi, Wanawake Madereva Wazuri Kuliko Wanaume!, Wapongezwa!.

    Kampuni ya Usafirishaji Makontena, ya Bravo Group Limited Yathibitisha Hakuna Kazi za Kike na Kiume. Madereva Wanawake wa Malori Wapongezwa na Wanawake Wahimizwa Wasichague Kazi Umetolewa mwito kwa wanawake kote nchini, wasichague kazi, na badala yake wachangamkie kazi zozote wenye uwezo nazo...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuwanyanyasa wanawake. Ni upuuzi

    Yaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake. Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence kwa wanawake. Ni stupidity. Respect ni kitu cha bure. Its free, not sold. It's very painful.
  17. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume wakimbia familia zao kutokana na hali ngumu ya maisha

    Kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini na hivyo kusababisha upungufu wa chakula. Kwenye baadhi ya maeneo baadhi ya wanaume wamekimbia nyumba zao na kuwaacha wanawake na watoto pekee katika familia. Baadhi ya wanawake Wamekuwa wakijitaftia ridhiki kwa kwa kutembea umbali mrefu kuelekea...
  18. JamiiForums Tanzania Wamama wa Dar mtawaua Wanaume wa mikoani kwa presha

    Tupo na jamaa zangu mitaa ya Mawasiliano Dar, kuna jamaa toka Mbande sijui iko wapi, amekuja jijini akiwa na zawadi kwaajili ya rafiki yake wa kike waliyekutana naye mtandaoni, wamewasiliana na huyo mwanamama akafika mpaka lodge alipofikia akiwa na bodaboda, akaingia ndani aliko mja wake, baada...
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

    Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu. Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara (Musoma)...
  20. JamiiForums Tanzania Matamanio ya Weekend kwa wanaume wengi

    NB: Woooote isipokua bwana dronedrake , Stress Challenger, mzabzab, 😂😂
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…