wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wasichojua hata sisi huwa tunawatamani

    Msichojua ndo hicho sasa Unamuona mwanaume unamtani na kuvutiwa nae ila sasa ndo inabidi ungalie mambo mengine sasa yanayofanya jambo ilo lishindikane Nimekutana na mkaka maeneo ya ninayofanyia mihangaiko yangu ajui kituo cha gari anakoenda ila sijajua kama kweli alikua hapajui...
  2. JamiiForums Tanzania Wadada Msipende kula pesa za wanaume ambao hamna future nao. Zitakugharimu!

    Inaaminika kuwa ni ujanja kula Hela ya mtu na kukimbia na kutangaza kuwa sio taipu yangu, mshamba, kajipendekeza etc. Spiritually ( kiroho) mtu akikupa kitu chake, ukapokea, tayari umejiunganisha naye chochote atakachotamka dhidi yako kitakupata, akikulaani, laana hiyo itakupata, hujaolewa/...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo hivi

    Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole. Hawajui Hii miziki ambayo ina trend, wanakua wanaheshimu wanawake na kuwaona kama dada zake na mama zake. Hawanywi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi wakiwa mabinti (19-24 years), wanachagua ku-date na wanaume wa hovyo?

    Habarini, Juzi kati nlitafakari kwanini utakuta binti mzuri tu mashallah, she is young, pretty, hana mtoto, unamfata unamtongoza anakukataa, unakubali maamuzi yake kiroho safi unaendelea na mishe zako. Hee baadae unakuja sikia mtoto wake wa kwanza kazaa na mume wa mtu mwenye familia yake, au...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ladies especially wa Tanzania huwa mnatuchukuliaje wanaume ambao hatuna sauti nzito?

    Naomba ladies mfunguke kuhusiana na hilo swali langu hapo juu. Asante
  6. JamiiForums Tanzania Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa make sure una-show love ❤️ unaweza kumpata mke wa maisha yako. Wa kwangu mtamkuta kwenye comment...
  7. JamiiForums Tanzania Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja...
  8. JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanaume duniani ni kubwa zaidi kuliko ya wanawake

    Hii ni taarifa maalum kwenu wadada wote mliojikatia tamaa kwamba hamuwezi kuolewa kisa wanaume ni wachache kuliko wanawake. Ni wakati sasa wa kuachana na huzuni kisa umekosa mwanaume wa kukuoa. Ukweli ni kwamba wanaume ni wengi kuliko wanawake. Ikiwa kuna idadi kubwa ya wanawake kuliko wanaume...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Man beaten into comma for stabbing lover downtown Kampala

    Security operatives evacuate an injured man, only identified as Robert Oyot, after he was attacked by a mob for allegedly stabbing his lover at Mini Price shopping centre, downtown Kampala on April 18, 2024. The woman was the first to be evacuated by a military patrol truck to hospital with a...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri special kwa wanaume special

    Kaka zangu..... Hebu kabla hatujalala tuambiane kakitu. Kuna wanawake Mungu amewapa tu akili nyingi. Yaani naturally tu ana akili sana, ana mawazo ya mbali sana, ana upeo mkubwa, amekomaa kichwani, yuko serious na maisha, yuko very calculative na akikushauri ukamsikiliza unatoboa. Wengine wa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume wakiacha usaliti kwenye mahusiano, wanawake pia wataacha

    Hivi umewahi kujiuliza kwa nini wanaume hukasirika zaidi pale wanapogundua kuwa wanawake zao wanacheat? Iko hivi... Watu wengi (hasa wanaume) huamini kuwa wanaume ndio wanaongoza kwa kucheat kuliko wanawake. Kiukweli imani hii ina dosari kitakwimu na haina mantiki. Uwiano wa wanaume na wanawake...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Wanaume tubadilike

    Ni kinyume na maadili na ni uchafu kufanya mapenzi na mwanamke kinyume na maumbile. Ukikutana na binti anataka kufanyiwa namna hiyo ni bora uondoke. Tuache kabisa!!
  13. JamiiForums Tanzania Dhana ya "kusaidiana" maisha na mwanamke katika utafutaji ni ya wanaume dhaifu na wajinga sana

    Peace be upon you all, Siku za hivi karibuni kumeibuka dhana ya wanaume kutaka kuoa wao wanasema "kuoana" na wanawake wenye kipato na ajira ili "kusaidiana maisha" Aina hii ya wanaume ni wanaume dhaifu both mentally and physically oooh wait hata spiritually ni dhaifu na magoi goi. Tangu lini...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaume: Ukifuata diet ya Prof. Janabi ulijari wako Kitandani umekwisha

    Wasalaam Wana JF. Ndugu wanaume tujihadhari sana na huu ushauri wa Prof Janabi anaetamba sana Mitandaoni kwasasa kuhusu kufanya diet. Mojawapo ya mambo anayosisitiza sana ni Kutokula Chakula cha Wanga (Carbohydrates). Nawatahadharisha wanaume wenzangu ili upige show kwa mkeo, girlfriend na...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Dhana ya kusema wanaume wote hawajatulia ni potofu

    Habari ndugu zangu, nije kwenye hoja yenyewe nimeona Uzi wa cacutee nataka nimjibu kuhusu hii dhana walionayo ni kweli kuna wanaume wasiotulia na wapo pia ambao wametulia. Zipo sababu za wanawake kudhani kuwa wanaume wote hawajatulia Ni aina ya wanaume wanaodate nao, ni ngumu kudate na mwanaume...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake wamefanikiwa kuwaaminisha wanaume kuwa Ngono ni Raha ya Mwanaume tu, wao hawapati chochote

    Na hapo ndipo wanaume wengi wamekua watumwa, wafujaji wa Mali na Pesa, wamekua watu wa ovyo ovyo. Ukweli ni Kwamba kwenye Ngono, Kitaalam wanawake hupata Raha sana kuliko hata wanaume. Mwanamke hupata raha kuanzia mwanzo hadi mwisho wa tendo lakini mwanaume hupata raha pekee anapofika...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume mlio oa na mlio na watoto wa kike wakubwa ( mabinti vigori/li) Hivi jina " Dullah" liliwakosea nini mbona mnali demonize hivyo?

    Kosa jamaa aambiwe " Kaka mkeo alikuwa anaongea na Dullah" yani jamaa hata kama hamfahamu huyo Dullah basi atawaza tu kwamba huyo Dullah anatembea na mkewe. Atagombana na mkewe na atakuwekea jealousy wewe Dullah. Unashangaa tu unakutana na mtu barabarani ana kuangalia kwa chuki unabaki...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

    Haya fungukeni wapendwa
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiha hupenda wanaume wanaopenda kamseleleko

    Unaambiwa tembea uone. Wanawake wa Kigoma ni wapambanaji kupita maelezo, hujishughulisha na biashara za hapa na pale ilimradi kupata ahueni ya maisha, ukitelekeza familia ya hata watoto kumi ambao mama yao ni mha, jua tu wanao wako mahala sahihi. Wale ni wapambanaji sana na watunzaji wazuri wa...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume mpewe nini mtulie?

    Nimekuwa msomaji wa kimya Ila Leo Nina kitu kooni kimenikaba imebidi niingie nikiweke. Kwanza kabisa Shikamoo kwa wale wakubwa na habari zenu kwa wale wadogo. Kumekuwa na tabia ya wakaka na wababa wengi kutotulia kwenye mahusiano. Na wao wamekuwa wakikiri kwamba mwanaume mmoja ana wanawake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…