Wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo hivi

Strong and Fearless

JF-Expert Member
Apr 24, 2017
736
1,722
Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole.

Hawajui Hii miziki ambayo ina trend, wanakua wanaheshimu wanawake na kuwaona kama dada zake na mama zake. Hawanywi pombe wala kuvuta sigara, hawakai vijiweni.

Hawajui viwanja vya starehe, mwanamke anaweza kumtongoza na akamkataa live bila chenga, akipewa ushauri na wazazi wake anasikiliza na kutekeleza. Suruali havai mlegezo, simu anatumia ya kawaida tu na social media hana picha na hayupo snapchat.
 
Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole, hawajui Hii miziki ambayo ina trend, wanakua wanaheshimu wanawake na kuwaona kama dada zake na mama zake. Hawanywi pombe wala kuvuta sigara, hawakai vijiweni. Hawajui viwanja vya starehe, mwanamke anaweza kumtongoza na akamkataa live bila chenga , akipewa ushauri na wazazi wake anasikiliza na kutekeleza. Suruali havai mlegezo, simu anatumia ya kawaida tu , na social media hana picha na hayupo snapchat.
Na hawapo duniani
 
Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole.

Hawajui Hii miziki ambayo ina trend, wanakua wanaheshimu wanawake na kuwaona kama dada zake na mama zake. Hawanywi pombe wala kuvuta sigara, hawakai vijiweni.

Hawajui viwanja vya starehe, mwanamke anaweza kumtongoza na akamkataa live bila chenga, akipewa ushauri na wazazi wake anasikiliza na kutekeleza. Suruali havai mlegezo, simu anatumia ya kawaida tu na social media hana picha na hayupo snapchat.
JIDANGANYE
 
Huyu ni mimi mtupu, isipokiwa kipengele kimoja tu kati ya hivyo.
 
Back
Top Bottom