wanataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania JKT WANATAKA HELA ZAO HUKO NA WACHEZAJI MLIOWAAHIDI..HAHAHAA WATANI BANA

    WALE MLIOMPENDA YAKOUB WETU MECHI ZA TAIFA STARS UKWELI SIMBA BADI HAWAJAMLIKI JANA JKT WAMETOA SIKU SABA SIMBA KUKAMLISHA AHADI ZAOO IKIWEMO KUMALIZIA MALIPO NA KUWAPA WACHEXAJI WATATU TOKA SIMBA VINGINEVYO WATAKUWA WAMEVUNJA MKATABA. NA PESA WALIZOTOA ADV HAZITORUDI KIDUMU CHAMA CHETU
  2. JamiiForums Tanzania Jasmine Razack: Yanga wana Roho mbaya, wamegoma kumuuza Mzize, wanataka dola Million moja

    Manager na msimamizi wa mchezaji Clement Mzize amesema kuwa Yanga wana roho mbaya hawataki kumwachia Mzize akatafute malisho mzuri mahala pengine. Amehoji kuwa club ya Al Masry ilikuja na dollar 600k Yanga wakagoma kuwa wanahitaji dollar 1m, akaendelea kusema kuwa Yanga kama walimuuza Mayele...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanaompinga Mpina wanataka Rais abaki madarakani

    Makala ya Uchambuzi wa Kisiasa: Hatma ya Taifa, Mgombea Mpina, na Mvutano wa Madaraka 📅 Toleo maalum | Agosti 7, 2025 ✍️ Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam “Ukombozi haujawahi kupokelewa kwa shangwe na waliovuna kwenye mateso ya wengi.” Hayo ni maneno yaliyotolewa jana na mmoja wa wachambuzi wa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 VIDEO: Kimenuka Segerea, Ngumi zimepigwa, Wana-CCM wadaiwa kutaka kutoana Roho

    Wakuu! Kuna video inayoenea mtandaoni ikidaiwa kuonyesha vurugu katika Jimbo la Segerea, ambapo inadaiwa ngumi zimepigwa na wana-CCM.
  5. JamiiForums Tanzania Mwizi amechomwa moto mtaani kwetu alfajiri ya leo. Kuna tetesi Polisi wanataka kuja kukamatwa watu, nifanyeje?

    Kuna jamaa kauwawa Kwa kuchomwa moto Kwa wizi huku mtaani na Kuna tetesi polisi watakuja kukamata vijana wa mtaani kwa mahojiano nifanyaje wazee Ili kuepuka huu msala maana nawaza nijifungie ndani wiki nzima
  6. JamiiForums Tanzania Polepole: wahuni wamevamia chama na wanataka kujimilikisha nchi mwaka 1995 walishindwa 2005 wakajaribu na 2015 walijaribu mkapa akazuia:

    Aliyekuwa balozi nchini CUBA katika mtandao wake wa facebook amenena maneno mazito kwa nchi ya tanzania kwa kusema kwamba nimhimu sana kupigania chama na nchi kwa ujumla kwani kwa sasa wahuni wamevamia chama na wanatengeneza mkakati wa kujilimikisha nchi na ametaja mikakati hiyo ambayo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Je PBZ wanaruhusu kufanya topup loan... Vigezo gani wanataka

    R
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna kura ya hapana, wajumbe 99.8% walioshiriki wanataka Maboresho ya Katiba CCM

    Wakuu, Haya ndo yanayojiri uko kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa CCM, wajumbe wanataka Mabadiliko Hao watatu wameharibu kura sijui ni kina nani Soma pia: GE2025 - CCM yafanya marekebisho ya Katiba yanayohusisha maamuzi ya Kamati Kuu
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria,mtuhumiwa wangu nimemfikisha polisi kwa amri ya mahakama ila polisi wanataka kumuachia.

    Wakuu kwema? kuna jamaa nilimpa pikipiki awe analeta hesabu kwa wiki ila siyo mkataba,pikipiki ilikuwa mpya ameendesha kama miezi 6 akadai eti imepotea maana akimpa ndugu yake,yule ndugu yake nae akampa mtu ambaye ndiye anayedai kuipoteza. Tangu mwezi wa kwanza ndo jamaa ananipa taarifa za...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Swali la Kikatiba na Kisheria: Chadema wanataka Reforms kabla ya Uchaguzi Mkuu, pendekezo au takwa hili wamelifikisha mamlaka ipi ili lifanyiwe kazi?

    Nimekuwa nikijiuliza swali kuhusu madai ya Chadema ya Reforms katika taratibu na kanuni za uchaguzi Mkuu, ila hadi sasa sijaelewa ikiwa haya madai ni tamko tu la Chadema kama chama, au tamko la Mwenyekiti Lissu, au labda limewasilishwa rasmi katika mamlaka fulani ili lifanyiwe kazi. Ningeomba...
  11. JamiiForums Tanzania Watu wanataka kujua kama Polepole amejiuzulu. Hawataki kujua kwanini amejiuzulu

    Kwa sababu Amos Makalla amesema hana taarifa. Kwa sababu siku hizi kuna fake news nyingi watu wanataka uhakiki wa hii taarifa. Na hata Makalla amesema mwachie Polepole mwenyewe athibitishe. Kuhusu sababu za kujiuzulu kama zinaweza kusemwa bila kuanzisha ugomvi. Tunakumbuka Kolimba alivyosema CCM...
  12. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Simba na Watanzania kwa ujumla wanataka kujua haya kuhusu uwekezaji wa MO kwenye timu ya Simba

    1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC? 2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji? 3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya dhana ya ufadhili, dhana ya biashara na dhana ya uongozi kwenye taasisi moja? 4. Je ripoti za...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

    Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya, :::::::::::::::::::::::::::::: KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ. Bahati...
  14. JamiiForums Tanzania Gen-Z wa Kenya wanataka kujinasua wa kwetu wenyewe ni Chawa wa Mama!

    Wakati vijana wa Kenya wakipambana kujinasua na makucha ta wanasiasa vijana wa kwetu wakiongozwa na Lucas Mwashambwa wao wamegeuka kuwa chawa wa mama! Hii ni aibu kwa vijana wetu! Unafika mahali unajiuliza ni wapi tulipokosea?
  15. JamiiForums Tanzania Watu wa dini wabinafsi sana, Waislamu Kenya nao wataka msikiti kujengwa ndani ya Ikulu!

    Baada ya Rais Ruto wa Kenya kulewa kidini na kuifanya dini kuwa mojawapo ya nyenzo kuu za utawala wake kuvuna ushawishi miongoni mwa raia hadi kufikia kujenga kanisa ikulu ya Kenya kwa kile anachodai ni kwa pesa za mfukoni kwake binafsi hatimaye Waislamu wa Kenya huko Mombasa nao wameibuka na...
  16. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nauliza kwa nia njema tu: Hivi Gen Z Kenya wanataka nini?

    1. Ilianza na Finance Bill, ikabadilishwa to take care of their demands. 2. Loss of life inaendelea. jana wamekufa 8 3. Rutto amesema watulie atawasikiliza, hawataki Sasa wanataka nini?
  17. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu- Viongozi waliokuwa madarani minaona acha waendelee sababu wananchi hai wanataka nini japokuwa sikubaliani na mambo mengi wanayoyafanya

    MIMI NIMETANGAZA NIA YA KUWA RAIS WA TANZANIA NI UKWELI WATU WANAHAKI YA KUNIPINGA ILA NASHANGAA SANA WATU HAO HAO UNAWAKUTA WANALALAMIKA KWENYE NYUZI NYINGINE Kuna watu kibao hawamsupport Rais Samia na ccm cha ajabu wanakuambia makonda anafaa, wengine dotto biteko, wengine makamba, wengine...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanataka kufahamu gharama za uchimbaji kisima Cha kisasa

    Wadau wengi Sana wanakutana na changamoto ya maji katika MAENEO yetu na wengi wanatamani sana kuchimba kisima Cha kisasa ila hawajafahamu gharama na taratibu zake ✅Taratibu ya kwanza ni kufanya survey kitaalam inaitwa geophysical survey yaan mtalaam kuja eneo lako kujua Je maji yanapatikana na...
  19. JamiiForums Tanzania Hawa na wenyewe wanasema wanataka ubunge ni zaidi ya vichekesho!

    Msukuma Babu Tale Harmonize Baba Levo Kishimba Steve Nyerere. Hivi watu Kama hawa ambao hawajasoma wanaweza kuongea nini bungeni .
  20. W

    JamiiForums Tanzania Ahmedy Ally: Mechi yetu na Kagera Sugar ndiyo mechi yetu ya mwisho msimu huu

    "Tunamshukuru Mungu tumemaliza salama msimu huu wa ligi kuu ya NBC 2024/2025 mechi ya leo dhidi ya Kagera Sugar sisi Simba SC ilikuwa ni mechi ya raundi ya 30 Mechi ambayo inatamatisha msimu huu wa ligi kuu ya NBC, mechi na Kagera Sugar ilikuwa mechi nzuri pamoja na kuwa wameshuka daraja lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…