wanataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pdidy

    Morocco imethibitisha kuwa iko tayari kikamilifu kuandaa Kombe lijalo la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake 2026

    Morocco imethibitisha kuwa iko tayari kikamilifu kuandaa Kombe lijalo la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2026). Baada ya kutokuwa na uhakika wa awali na mabadiliko ya ratiba hadi Julai 25-Agosti 16, 2026, Shirikisho la Soka la Kifalme la Morocco linasema limelenga na lina uhakika...
  2. P h a r a o h

    Kama wanawake wanataka kuwa sawa na wanaume kwanini wamewekwa kwenye kundi maalumu?

    Kwenye sheria nyingi za kimataifa kundi maalum linatajwa kuwa Wanawake, Watoto, Wazee na watu wenye ulemavu. wakati huohuo wanawake wa dunia ya sasa wanadai 50/50 NATURE HAIJAMUUMBA MWANAMKE KUWA SAWA NA MWANAUME. ingawa dunia ya sasa inaelekeza nguvu kubwa ili kum push mwanamke, je kwanini...
  3. A

    DOKEZO Baadhi ya Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki 1 au uwatoe 50,000

    Maafisa wa Manispaa Morogoro wanatukamata Bajaj kisha wanataka faini laki moja au utoe Rushwa 50,000 Sisi madereva na wamiliki wa Bajaj Morogoro tumechoshwa na usumbufu wa makundi ya watu wa manispaa. Wanakamata Bajaj bila mipangilio wakidai kuna makosa mbalimbali na faini inaanzia shilingi...
  4. technically

    Kwanini wanawake wa Sasa wanapenda utawala 50/50 wakati huo wanataka kuhudumiwa?

    Kwanini wanawake na mademu wa Sasa wanapenda utawala na 50/50 muda huo wanataka kuhudumiwa Nini maana ya 50/50 utamtawalaje mtu ambaye unataka akuhudumie Yaani mwanamke anataka mpaka pesa ya pedi lakini muda huo huo anataka urudi mapema nyumbani Shame!!
  5. Ritz

    POTOSHI TEC hali tete kama kawaida yao wanataka pesa

    Wanaukumbi. Baraza la ma askofu TEC linaomba Msaada lisaidiwe na serikali. Maombi yakikataliwa wananua. Hali tete leo hii ndiyo wanamtambua Rais Samia wanaomba msaada, Rais Samia achana na hawa wamezoe kudekezwa waendelee kutoa matamko. Wasubiri umalize muda wako pesa hamna zinapelekwa...
  6. Roving Journalist

    Eric Shigongo: Ukisoma Ripoti za Uchumi wetu ni nzuri sana lakini Wananchi hawana fedha mfukoni

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli yenye msisitizo mkubwa kuhusu hali halisi ya uchumi wa Tanzania, akiongea bungeni jijini Dodoma. Akizungumza katika kikao na wanahabari, Mbunge Shigongo amesema kuwa licha ya rekodi rasmi kuonyesha kuwa uchumi wa nchi unaendelea kukua...
  7. Allen Kilewella

    Kuna watu eti wanataka kumchangia yule Ng'ombe

    Nasikia kuna watu wapo bize kutafuta habari za yule Ng'ombe kutaka kujua hali yake baada ya ile ajali. Kuna diaspora mmoja kasema kama huyo Ng'ombe atahitaji matibabu mazuri zaidi anaijua Hospitali moja mahiri ya UC Davis Veterinary Hospital iliyoko California huko Marekani. Na kama aliuawa...
  8. sanalii

    Watanzania hawataki maridhiano na viongozi, wanataka viongozi waliowaridhia

    Kataa wahuni. 1. Maridhiano ni tume ya uchaguzi itakayokua inatenda haki na ikiongozwa na wtu wenye akili timamu sio makada wa mbogamboga 2. Wahuni walio kwapua madaraka kwa hila waachie ngazi. 3. Kufuta uchaguzi uliofanyika na matokeo yake kutotambulika katika rekodi, 4. Kufanyika uchaguzi...
  9. W

    PostGE2025 Askofu Kyando: Wanaotaka kumshtaki Kitima wanataka umaarufu, uchawa

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, amesema baadhi ya vijana wanapoteza mwelekeo wa imani kwa kuyumbishwa na tamaa ya umaarufu, pesa na mahitaji ya maisha, akionya kuwa hali hiyo inasababisha wengine hata kuukana wazi Ukristo wao. Askofu Kyando ametoa kauli hiyo hivi...
  10. Just Pray

    Askofu Kisare: Tuwasikilize vijana wanataka nini, Hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa kuwanyamazisha kundi hili

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, ameishauri Serikali pamoja na viongozi wa dini kuweka mifumo bora ya kuwasikiliza Vijana na kuwapa nafasi ya kutoa maoni yao, badala ya kutumia nguvu kubwa katika kuwanyamazisha. Askofu Kisare ametoa kauli hiyo jana, Desemba 17...
  11. stakehigh

    Mdahalo wa BBC kuuliza wakenya wanataka nini, wakina Karua mwishowe wameumbuka

    https://youtu.be/ombHjfUoaiQ
  12. Q

    Wameua Uhuru wa Vyombo vya Habari, wameua Vyama vya Siasa, wanataka kuua Madhehebu ya Dini na taasisi za Elimu.Tukatae

    Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma. Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
  13. Pakome

    Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila mara

    Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha Chama Cha Mapinduzi CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila wanapoadhibiwa Nimefuatilia historia ya CCM ya zaidi ya miaka thelathini iliyopita Niligundua jambo moja kubwa sana Tangu mfumo wa...
  14. Ponjoro wa Kinondoni

    PostGE2025 Video: Gen Z Mwanza waandamana, wafikisha mabango yenye ujumbe kwa JWTZ

    Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
  15. Cute Wife

    PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaofanya chokochoko mtandaoni wanataka kuharibu uchumi wetu ili washindani wetu wanufaike

    Msigwa anasema wote wanaofanya chokochoko mtandaoni na kupitia kwenye vyombo vya habari lengo ni kuharibu uchumi wetu ili wao wafanikiwe. Ni sababu wanaona Tanzania inaendelea kiuchumi ndio maana wanafanya hayo yote, kutokana na maendeleo tuliyopiga kiuchumi kuna mpaka nchi zinakuja kujifunza...
  16. Mhaya

    Masheikh wote ni kama wanaona Maandamano ni dhidi ya Uislamu na si dhidi ya utawala mbovu

    https://www.instagram.com/reel/DRRCZIBgsNx/?igsh=MXZvNWQwdHFlbGRyZg== https://www.instagram.com/reel/DRRQh0SDDUj/?igsh=MTdvanF1dTN1YWQ1aQ== ALLY KIBAO alikuwa Muislamu, lakini leo hawa waandamanaji ndio wanaotaka huu utekaji uishe, polisi wawajibishwe au watekaji wapatikane. Lakini hata...
  17. M

    PostGE2025 Kama kilinukishwa kiduchu Lissu akiwa gerezani, je angekuwa nje? Kumbe watu wanataka mabadiliko

    Sio Lissu peke yake. Wala sio Heche wala sio CHADEMA wanaotaka mabadiliko. Ufisadi, utekwaji na upendeleo ukomeshwe. Je, Lissu asigekuwa amewekwa ndani? Kingenuka vipi?
  18. M

    PostGE2025 Wahadhiri wa Kiislam: Maandamano wakati wa uchaguzi Oktoba 29 yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka amani, we cannot accept

    Wahadhiri wa Kiislam kwa pamoja wamesema Maandamano wakati wa uchaguzi yalilenga kuharibu mali za Waislam tu halafu TEC wanataka HAKI, we cannot accept this
  19. Egnecious

    PostGE2025 Je, TEC wanataka “kuupora” Urais wa Samia kwa nguvu

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC)jana kupitia tamko LAO wameamua kuja na mashinikizo badala ya maridhiano,visasi badala ya kuponya, uchochezi badala ya amani. Sijashangaa sana kwani huu ni utamaduni wao pale wanapoamua kulinda maslahi yao na makundi yao. Nilitegemea baada ya...
Back
Top Bottom