Boris Johnson ni mfano wa wanasiasa hawamaanishi wanachokisema!

babu M

JF-Expert Member
Mar 4, 2010
5,221
3,167
Alichosema July 2021:
9499CDC4-F8AD-457C-BE31-30B3FC8E83F3.jpeg

Na alichosema leo 13th April 2022:
BAECAF46-AD38-4E58-9BE8-05BB95E335F0.jpeg
 
Kwamba hawakuruhusiwa kufanya uchunguzi ndio iwazuie kuwapeleka wakimbizi toka UK kwenda Rwanda? Shida nini sasa?
Ulikuwa ni uchunguzi wa uvunjaji haki za binadamu.

Rwanda inatuhumiwa kuwatesa watu walioshikiliwa na police na wengine kufa!
Halafu kuna unofficial detention facilities. Hizi ndio zile mtu amechukuliwa lakini ndugu hawajui walipo.
Pia hakuna press freedom. Kuna mwandishi aliukumiwa miaka 25 kama sijakosea.

Mkimbizi amekimbia nchi yake kwa sababu ya poor human right halafu unampeleka kwenye nchi ambayo inatuhumiwa kuvunja haki za binadamu!
 
Kwahiyo kuishi Nchi yenye Vita kama Ukraine ni bora kuliko kuishi Rwanda?
 
Wakimbizi kama wanaotoka Ukraine wapo kwenye category tofauti. Hao application zao zinakuwa process hapo hapo UK au nchi jirani na Ukraine.

Mfano watakao pelekwa uko Rwanda ni kama wale wanaokimbia Saudi Arabia wanataka ku claim asylum UK kwa sababu wanausudu mapenzi ya jinsia moja. Wakienda Rwanda sheria ni kama zile zile.

Au kama umekimbia prosecution kutokana na kumwandika Putin vibaya. Ukienda Rwanda msumeno ni ule ule.

Kuna nchi nyingi ambazo wangeweza kuingia nazo mkataba ambazo zina record nzuri.
 
Kwani mkimbizi anaenda Rwanda kufanya siasa, utapata shida kama utaenda kufanya siasa, ila kama ni kuishi tu, Rwanda ni salama
 
Hawa wakimbizi application zao zinakuwa process kwa sheria za Rwanda na watakuwa wanaishi Rwanda.

Uhuru wa kusema sio kwa ajili ya wanasiasa tu. Ni haki ya mtu yoyote. Mfano, Unaweza kuwa unataka kuandika kuhusu ubaguzi, poor accommodation, hata kulalamika kuhusu hizo application na kadhalika. Yote haya unaweza kuoneka unataka kuchafua taswira ya Rwanda na wakakushulikia!
 
Back
Top Bottom