wanapenda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watanganyika wanapenda majungu na udaku. CCM wanetoa notice wao wamefurahi wakidanganyana mambo ambayo hayako kabisa

    Maelfu ya wajumbe walimpitisha Samia na maisha yakaendelea. Kangedere kamoja ambako hakana impact yoyote kwa chama kametoa press jana sijui juzi Leo CCM wametoa notice watanganyika kwakuwa wana utindio mdogo wa ubongo wanazusha mambo ya hovyo. Mimi si mpenzi wa CCM lakini uzushi na majungu...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa nini wasukuma huwa wanapenda kukata matonge ya ugali ya aina hii wakiwa wanakula?

    Mko poa? Hivi kwanini wasukuma huwa wanakata matonge ya ugali ya aina hii,yani 3 in 1? Kuna agenda yoyote ya siri?
  3. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha watoto kupenda katuni, games na vyakula visivyo na afya

    WATOTO WA KISASA Watoto wa siku hizi hata bila kuelekezwa na mtu Wanakuwa na uchumi mkubwa wa kuangalia katuni Akipata simu hata kiswaswadu ukimuacha sekunde kadhaa utamkuta kalifukunyua game na anacheza. Kwenye vyakula wengi wanaopenda vyakula fekifeki, lakini vile vya afya hawapendi. Ice...
  4. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Afrika wanapenda zaidi kusoma nchini China badala ya Marekani

    Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma katika Chuo Kikuu hicho. Awali, serikali ya Marekani iliagiza balozi za Marekani duniani kote kusitisha...
  5. JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Viongozi wa Nchi Masikini wanapenda sana ufahari, alichokisema Tarimba si kipaumbele cha Mtanzania

    Mchambuzi wa masuala mbalimbali ya Kijamii ikiwemo Michezo na Siasa, Edo Kumwembe kupitia Kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM amechambua kauli iliyotolewa na Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba ambaye alipendekeza Wabunge wapewe 'plates number' maalumu zitakazowatambulisha barabarani kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Japani ndio nchi pekee wazee wanapenda kuwa nzengo kuliko afrika wawe kama watawala

    Japani ni nchi moja ya aajabu sana na nchi zengine za asia zenye wazee ambao wanapenda kuwa maisha yao ya uzee kuwa nzengo. Ijalishi alikuwa nani ila ndio wanakuwa mstari wa mbele kutumikia uzee wao sana kwenye maisha yao. Mungu ni saidie nipate mtoto japani
  7. JamiiForums Tanzania Swahili Audio: Seven Signs They Only Love What You Have (Ishara Saba Kwamba Wanapenda Tu Kile Unachokimiliki)

    Ishara Saba Kwamba Wanapenda Tu Kile Unachokimiliki
  8. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda waongee Kiingereza ila cha ajabu inawapiga chenga

    Habari zenu? Tafadhali nawaomba Ndugu zangu, kama uñajua lugha haipandi usilazimishe. Kiswahili ni lugha pia. Asanteni.
  9. JamiiForums Tanzania Wabongo wanapenda kukusakizia uwapiganie haki zao. Yakikukuta wanakuacha! Ukisusa wanakulalamikia kwa Jambo ambalo ni wajibu wao kujipigania wenyewe!

    Mpo Salama! Kwa kweli inaumiza Sana! Nitakuwa mkweli na mwaminifu. Nitatenda haki kwa pande zote. Nimefuatilia kwa kipindi kirefu sasa. Nimegundua Wabongo wengi wanatabia mbaya Sana. Kwanza, wanapenda kufanyiwa mambo ambayo ni wajibu wao kuyafanya. Niliwapa stori iliyonitokea mwaka 2018...
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake Wanapenda Madeni

    Kwa mtazamo wangu usiokua na Nilivyoona katika Jamii. Wanawake wanapenda sana kukopa na wanaongoza kwa kua na madeni. Wanunuaji wazuri wa makolokoro, Chumba cha mwanamke kina mavitu kibao yasio kua na msingi
  11. JamiiForums Tanzania Unajua kwanini wanawake wanapenda wanaume wachaMungu?

    Wanawake wanapenda wanaume wachamungu na wafia dini ili akikunyima unyumba usiweze kuchepuka maana ni dhambi Mwanaume mwenzangu ulieoa stuka! Shauri yako
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kweli kanisa Katoliki wanapenda kiki:Eti wadau waliokamatwa waachwe bila masharti, hawa hawajui zama zao zimeshaisha

    We rais wa TEC ni nani kuiamrisha serikali iachie watuhumiwa wa uhaini tena unapanga bila masharti, who are you? Hawa maaskofu wanajitambua kweli? Wanafikiri hii ni Roma Empire? Wanapenda kiki za kijinga waonekane wana nguvu flani nyuma ya pazia waache upuuzi wao zile zama za kijinga za papa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wa bongo bado wanapenda sana kuabudiwa na wanawake?

  14. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanapenda kusikia habari hizi?

    Watu wengi wanapenda kusikia habari za: Uchawi, Uzinzi, Uzushi, Migogoro ya ndoa, Vita na mapigano, Watu maarufu wakikosea, na za walokole "wakiteleza." Lakini ukiwapa habari njema za Yesu na uzima wa milele, wanakasirika, wanatukana, au wanaziba masikio kabisa! KWANINI?
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasahivi wanapenda sherehe tu lakini ndoa hawaiwezi

    Tuambizane ukweli, kwa asilimia 99% ukimwambia Mwanamke nataka nikuoe atawaza zaidi siku ya sherehe itakavyokua jinsi atakavyo watambia marafiki zake, jinsi atakavyopiga mapicha, jinsi watu watakavyomuona akiwa ndani ya shela, lakini 1% ndio wanajua nini maana ya ndoa. Zamani wanawake...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Godwin Mollel Awapatanisha Viongozi wa Kimasai kwa Ajili ya Umoja na Mshikamano

    Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewapatanisha viongozi wa Kijamii wa Kimasai, Ole Paserian na Ole Kisongo, na kuimarisha mshikamano ndani ya jamii hiyo. Hafla hiyo imefanyika wakati wa ibada ya kubariki "Malaiyoni"...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kutoa na kutumia degree za heshima ni huu kwa dunia nzima. Watu wanapenda kuitwa Doctors (Drs) na Professors ( Prof) kinyume na taratibu

    by Prof Shivji Do we have any guideline of this kind in Tanzania? With or without guidelines, what is stated in this press release is well known and respected in most international institutions of higher education. HUU HAPA NDIO UTARATIBU WA DUNIA NZIMA . 1. Awadees msitumie hizo titles before...
  18. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

    Sijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri. Kituko kimetokea jana kuna manzi nilikua namtongoza kwenye simu,wakt tunaingea eti akaniambia nina sauti nzuri mpaka pichu yake imelowa. Wakuu hivi sauti nayo inaweza ikakufanya ukapendwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wanapenda Uanamke sana. Hata wanajiita na kubehave kianamke. Mwandiko unawaumbua

    Sijui dunia ya sasa inaelekea wapi.... Kuna wanaume unaona kabisa wanaandika mwandiko wa kiume ingawa wanapenda wawe treated kama wanawake. Hawa hata uandishi wao utauona ingawa wanaandika sana wakijifanya ni wanawake na wakitaka waonekane hivyo watongozwe na kadhalika.kisaikolojia wanajisikia...
  20. JamiiForums Tanzania Kila awamu zikifika ili neno ccm wanapenda kulitumia la “serikali au awamu iliyopita ….”

    Tokea kupata uhuru hakuna chama chochote cha upinzani kilichoweza kushika hata uraisi wala maamuzi makubwa zaidi ya chama cha ccm. Maamuzi haya yapo ndani ya serikali ya ccm ambayo ndio chama kilichomo. Sasa neno ili la ulaghai linapendwa sana kutumia kila anayeingia iwe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…