Habari za siku ya leo WanaJamiiForums?
Kama kichwa cha habari kilivyojitosheleza. Sababu zinazonifanya niwe na mashaka na uwepo wa Mungu ni hizi hapa.
Sina dhambi mi ni mtakatifu haswa,
Lakini nimepitia mambo mazito mno ambayo mtu yeyote lazima angekuwa na mashaka na uwepo wa Mungu.
Sio...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha.
Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
Mpaka warudi kuwa na umoja kama enzi zile itachukuwa muda sana.
Kundi linalopinga rais Samia kupitishwa kugombea na msaafu Kikwete ni kubwa. Na hilo ndio mpaka sasa halikubali huu uongozi uliopo madarakani.
Wanajifanya wapo kimya. Ila chini kwa chini hawamtaki mkuu aliyepo.
Hii inaipa nguvu...
Mratibu wa Taasisi ya Jamii Mpya Ndugu Ally Makwiro amesema wamejipa jukumu la kuelimisha Taifa kuhusu watu ambao wanapinga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, amesema kuwa watu hao wana uchu wa madaraka, chuki na wamenunuliwa na wanatumika na watu wa nje kuvuruga amani.
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewaonya wanasiasa na viongozi kutoka ukanda wa uzalishaji wa zao la pamba kuacha kutumia zao hilo kwa malengo ya kisiasa, akisisitiza kuwa siasa hizo zinachangia umasikini wa wakulima wa pamba na kwamba atahakikisha viongozi hao wanakamatwa na kuwekwa ndani...
Ukiona mtu yeyote awe rafiki yako au ndugu yako anaepinga no reforms no election ujue ni aidha ananufaika moja kwa moja na mfumo uliopo (CCM) kama sivyo basi ujue huyo mtu HANA AKILI NA NI MJINGA wa kiwango Cha SGR.
Zifuatazo ni hoja walizonazo Wanaopinga no reforms no election ya chadema...
Wakuu uchawa unakomaa kila siku
==
Mwenyekiti wa Kampeni ya Mama Asemewe, Geofrey Kiliba, amewataka wanasiasa wanaopinga juhudi za Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuacha kupotosha jamii na badala yake kuheshimu juhudi za serikali katika kuleta maendeleo.
Akizungumza na waandishi wa...
Niliuliza swali hapa, Hivi Dola na CCM Ina uhakika kua Wagombea wa mkutano Mkuu , wanauzika? Hawajaingizwa kwenye mtego wa matumizi makubwa ya nguvu?.
Kilichotokea DODOMA ni mshangao , hamna lugha ya kufaa yakutosha kuelezea !! Ni Kikundi cha watu wachache sana ,kilichofanya Siri kubwa sana...
Hii nchi bwana yani hawa ccm na watu wengine wanao shabikia kufungwa mtandao waulize kama raisi wao ana account JF.
mtandao X ndio mtandao umebeba viongozi wengi wenye account kuliko mitandao mengine.
Hivi nyie chawa wa ccm na uvccm mnajitafakari au mnataka kujiona mna akili
Katika mahojiano yaliyorushwa na gazeti la Italia liitwalo La Stampa, Papa amesema kuwa waraka wake wa kuruhusu baraka kwa mashoga unapingwa zaidi na vikundi vichache vya kiitikadi hasa Waafrika.
Papa amesema Waafrika wanapinga hili suala kwa sababu za kiutamaduni
Akasema kuwa ukiondoa...
Polisi
Jeshi la Polisi jijini Maputo limetumia Mabomyu ya Machozi kuwatanya Waandamanaji wa Upinzani huku wengine wakijeruhiwa kutokana na kupinga matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Wiki moja iliyopita wakidai Chama Tawala (FRELIMO) kiliiba Kura.
Maandamano hayo yanafuatia uamuzi mwingine wa...
Mimi niliposikia sakata la ubinafsishaji wa Bandari ilibidi nifaatilie mataifa mengine ambayo yaligundua Bandari zao hazifanyi vizuri wakazibinafsisha sasahivi zinaongoza kwa kufanya vizuri.
Kwahiyo suala la Bandari kubinafsishwa ni jambo la busara na hekima ya hali ya juu na naamini damu na...
Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
Habari wana JamiiForums.
Rejea kichwa cha habari chahusika.
Lengo la kuandika uzi huu ni kutoa maoni yangu juu ya wanaopinga mkataba kati ya DPW na serikali yetu ya Tanzania.
Kwa maoni yangu, naona wale wanaopinga mkataba huu wanaeleweka zaidi kuliko wale wanaouunga mkono.
Wale wanaopinga...
Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Amos Makalla amesema wanaopinga uwekezaji wa bandari za Tanzania hawana maono na maendeleo yanayoletwa na serikali.
Akizungumza wakati wa mkutano unaofanyika jijini Mwanza amesema uwekezaji huo utasaidia katika usafirishaji wenye urahisi wa mizigo mbalimbali kupitia...
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Godfrey Chongolo kwa niaba ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Samia Suluhu Hassan, anakupongeza Ndg. John Keshokutwa Madenge kwa kuwa mstari wa mbele kukataa wapotoshaji wanaopinga hatua za uboreshwaji wa huduma za Bandari, kama...
Wakuu,
Ukifanya mipango inabidi ucheze vizuri karata zako usiwe 'too obvious' kama Wazaramo wanavyosema. We ulisikia wapi maadamano ya kusifia juhudi za 'Mama' yanapingwa tena karibia na mikutano/maandamano ya upinzani kupinga mkataba wa DP World?
Ikifika tar. 22 mtaona, wataambiwa hamuwezi...
Mkuu wa Mkoa Mbeya na Spika TULIA Wawaomba MACHIFU WAWALOGE wanaopinga MKATABA WA BANDARI😂🤣
Mkuu wa mkoa akiongea zilisikika sauti za wanaCCM wakidai walogwe wale wanaopinga mkataba na ikabidi mkuu wa mkoa akubali rai ya wanaCCM kuwa wanaopinga basi machifu wafanye yao kama wanaCCM walivyodai
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.