wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za taifa kwa manufaa ya wananchi

    Utangulizi Rasilimali za taifa ni tunu muhimu ambazo zinapaswa kutumiwa kwa manufaa ya wananchi wote. Kwa miongo mingi, suala la uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za taifa limekuwa likikumbwa na changamoto nyingi, zinazosababisha wananchi kushindwa kunufaika ipasavyo na utajiri...
  2. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala Bora na kukuza ushiriki wa wananchi katika maamuzi ya kijamii na uchumi

    Utangulizi Utawala bora na ushiriki wa wananchi ni mambo muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii na kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi. Utawala bora unaohusisha uwazi, uwajibikaji, haki, na kuheshimu haki za binadamu unaimarisha demokrasia na kuleta ustawi katika taifa...
  3. JamiiForums Tanzania Madiwani wa CCM Jimbo la Hai, washindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao tangu mwaka 2020 hadi sasa.

    Kumekuwa na sintofahamu kubwa ya madiwani wote waliochaguliwa na CCM Jimbo la Hai kushindwa kufanya mikutano ya hadhara na wananchi wa Kata zao. Tumefuatilia kuuliza tunaambiwa hata chama cha mapinduzi wilaya ya Hai hakifuatilii madiwani wao na wananchi wameshazoea kuishi bila mikutano na...
  4. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona vita nyepesi kama hii kwa wananchi

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Ndugu zangu katika maisha yangu yote sijawahi kushuhudia vita nyepesi, na ya kipuuzi kama hii. Vita hii ni tofauti na ile ya kisiasa ya Sudan kati ya kiongozi wa RSF jeneral Mohamed Hamdan "Hemedti" Dagalo, dhidi ya jeshi la taifa la Sudan linaloongozwa na jeneral...
  5. JamiiForums Tanzania Aliyewapa tenda CCM kazi ya kutete DP world kwa wananchi ni nani? Amewapa shilingi ngapi?

    Kuna campaign nchi nzima na mikutano ya usiku na mchana kutetea uwekezaji Bandari ya Dar es salaam na uwekezaji wa baadae kwa Bandari zote za Tanzania kwa kampuni Moja tu ya DP World. Hizi pesa za campaign zingewekezwa kwenye elimu na barabara nchi ingekuwa mbali kiuchumi. Mimi naona campaign...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
  7. JamiiForums Tanzania Komredi Kawaida: CCM Ndio Chama Pekee Kinachoweza Kuleta Matumaini kwa Wananchi

    Watanzania wenzangu naomba niwaambie siku, zote Uchungu wa mwana aujuaye mzazi katika hali zote na nyakati zote ambazo mtoto anapitia, na ukiona mzazi huyo anamkimbia mtoto wake wakati wa shida basi huyo hafai kuwa mzazi bora, bali mzazi bora atapimwa kutokana na malezi bora kwa mtoto pasipo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi: Timu 10 bora za CAF ikiwemo SIMBA zitaanzia mzunguko wa pili. Hao "wananchi" wataanzia mchangani/mzunguko wa kwanza!

    54 teams are engaged in CL 2023 / 2024. Accordingly, the 10 highest ranked clubs in the official clubs ranking, shall be exempted of the 1st preliminaryround.The remaining teams are divided into the following: highest ranked teams / less ranked teams / non rankedteams.7 pots have been created...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Chongolo anza ziara nchi nzima kufafanua ufisadi ripoti ya CAG

    Watanzania wanaomba viongozi wa CCM, kuanza ziara nchi nzima kujibu hoja za ufisadi zilizotajwa na CAG kuhusu ufisadi wa Matrilioni ya fedha uliofanywa na vigogo wa Serikali kama wanavyofanya sasa kujibu hoja za mkataba wa Bandari. Ziara ya Bandari isimame kwanza na wafanye tathmini ya...
  10. JamiiForums Tanzania Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

    Nimepokea sms ya AzamTv kuhusu kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 01/08/2023. Mkeka ni kama ifuatavyo;
  11. JamiiForums Tanzania EWURA: Tuna mafuta ya kutosha Nchini, wenye vituo lazima wawe na mikataba na waagizaji

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeendelea kuwahakikishia wananchi upatikanaji wa uhakika wa mafuta nchini baada ya kutembelea maghala ya kuhifadhia mafuta jijini Dar es Salaam, 23 Julai 2023. Ziara hiyo iliyoongozwa na Waziri wa Nishati, January Makamba, na kujumuisha...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi wananchi wakikataa rasilimali zisibinafsishwe hawana haki ya kusikilizwa?

    Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana? Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wa maboresho kwa Tamasha lijalo la Wananchi, hata Simba mnaweza kuchukuwa ushauri huu

    Kwanza niweke wazi Mimi si mpenzi wa kuhudhuria mikusanyiko mikubwa ya aina yeyote ile, iwe ya vyama au kwenda uwanjani kuangalia mpira, huwa naenjoy kuangalia haya matukio Nyumbani au nikiwa Pub, tukio kubwa la mkusanyiko mkubwa wa watu nilihudhuria alipokuja Mandela tu. Tukirejea katika mada...
  14. JamiiForums Tanzania BANDARI DAY: Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA Viwanja vya Bulyaga, Temeke

    Pamoja na Mvua kunyesha kuanzia Alfajiri huku Temeke, lakini mpaka sasa kwenye viwanja vya Bulyaga, ambako kuna Mkutano kabambe wa kupinga Mkataba mbovu na kupiga spana madalali wa Bandari za Tanganyika , watu wameanza kuja. Vikundi vya kutumbuiza wananchi tayari viko jukwaani , awali watu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Video: Fungulia mbwa uwanja wa B.Mkapa Siku ya Wananchi

    Fungulia mbwa waifanye Utopolo matusi tupewe sisi
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aridhia Hekta 18,000 za Ranchi Wapewe Wananchi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia kumegwa kwa eneo la Ranchi ya Kagoma wilayani Muleba na Karagwe katika Mkoa wa Kagera yenye ukubwa wa hekta 18,031.26 kwenda kwa wananchi waendeleze shughuli za kibinadamu yakiwemo makazi. Hayo yalibainishwa juzi na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Ili Bunge liwe na nguvu ya kuiwajibisha Serikali, Spika wa Bunge asiwe mwanachama ama mshirika wa chama cha siasa na apatikane kwa kura za Wananchi

    UTANGULIZI. Bunge ni miongoni mwa vyombo vinavyounda dola,Bunge ndicho chombo kinacho wakilisha wananchi moja kwa moja kwa kuwa kina wabunge ambao wanapatikana kutokana na kura za wananchi. Bunge ndilo linalotunga sheria kwa niaba ya wananchi,Bunge ndilo linalopitisha maazimio yote ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania SoC03 Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi?

    Mada: Uchunguzi wa matumizi ya fedha za umma: Je, serikali zinafanya kazi kwa manufaa ya wananchi? Mwandishi: MwlRCT 1. Utangulizi: Makala hii inaangazia suala la uwazi na uwajibikaji wa viongozi katika matumizi ya rasilimali za taifa. Inatumia dhana ya utawala bora, ambayo ni mfumo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kama CCM hamruhusu wananchi kuuliza maswali kwenye mikutano yenu basi mnamaliza pesa tu

    CCM mnafanya mikutano mikubwa kujibu mambo kuhusu bandari; wengi wanauliza kwanini mtumie nguvu hivi? Si mbadili tu huo mkataba? Mkimaliza mikutano yenu hakuna anaeelewe. Sasa waruhusuni waulize maswali ili mjue ni nini haswa kiko kichwani mwao wananchi.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Njia nyepesi ya upinzani kuchukua nchi 2025, ni kuwatia wananchi HASIRA juu ya namna watesekavyo kwenye nchi yao

    Ki ukweli kila ukifikiria namna nchi hii ya TANGANYIKA inavyohujumiwa na kikundi kidogo kilichojitanabaisha kwamba ni chama tawala unatamani kuhama nchi. Wananchi tumechoka na mifumo mibovu iliyotengenezwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya hicho kikundi kidogo huku majority ya wananchi wakiumizwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…