wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TMA: Wananchi chukueni tahadhari ongezeko la joto

    Kufuatia taarifa iliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) kuhusiana na ongezeko la joto katika maeneo mbalimbali nchini kunakosababishwa na kusogea kwa jua la utosi, wananchi wameshauriwa kuchukua hatua kukabiliana na athari kutokana na uwepo wa hali hiyo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Mazingira na NEMC- Kelele mitihani ni tishio la afya za wananchi na Ustawi wa Taifa

    Ndugu mheshimiwa Waziri naandika haya kukujuza kuwa. Kwa sasa nchini kiwango cha kelele mitaani kinatisha, ni jukumu la serikali kuchukua hatua ili kulinda Afya za wananchi na ustawi wa Taifa. Ndugu Waziri, leo hii kwenye vituo vya mabasi, masokoni, mitaani, kelele zimekuwa ni nyingi na tena...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mwinyi awahimiza WanaCCM na wananchi wengine wote kutokuacha kupiga kura siku ya uchaguzi mkuu

    "Napenda nichukue fursa hii kutoa wito kwa ndugu zetu nyote mliopo hapa, wananchi wote, wanaCCM, wapenzi, wakereketwa kuna jambo moja bado hatujalifanya vizuri nalo ni kujitokeza kwenda kuga kura siku yenyewe ya uchaguzi, tumefanya uandikishaji haitoshi sasa tuna kazi ya kwenda kuwatoa watu...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti

    Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo. Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashungwa aiagiza NIDA kutoa vitambulisho vya taifa haraka, kwa wananchi wa mikoa ya pembezoni

    Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeagizwa kushirikiana kwa karibu na Idara ya Uhamiaji na Idara ya Wakimbizi ili kubaini waomba vitambulisho vya taifa wanaoikidhi vigezo vya kupatiwa vitambulisho hivyo hususani kwa kwa wananchi wa mikoa ya pembezoni na kuwapatia kwa haraka. Maagizo...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali Kuhusu Hatma ya Maeneo Yao

    Wananchi wa Kata ya Shibula walioko pembezoni ya Uwanja wa Ndege wa Mwanza wametoa siku saba kwa serikali kuja mezani kuzungumza nao kuhusiana na mustakabali wa maeneo yao endapo ombi lao halitasikilizwa wataanza rasmi kuendeleza maeneo yao. Wananchi hao ambao wamekuwa katika mgogoro wa ardhi...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Madiwani Chalinze wailalamikia DAWASA kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi

    Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Chalinze wilayani Bagamoyo Pwani wamelalamikia kitendo cha Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira DAWASA Chalinze kwa kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi kwa kipindi kirefu Wamesema kukosekana kwa huduma hiyo kwa muda mrefu imewalazimu wananchi...
  8. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    JamiiForums Tanzania THBUB kutoa elimu kuhusu Misingi ya Haki na Utawala Bora kwa wananchi Kigoma

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora Mhe. Bi Amina Ali amesema Tume inatarajia kutoa elimu kuhusu misingi ya haki na Utawala bora kwa wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Kigoma kwa lengo la kuwawezesha Wananchi kutambua haki zao na kudumisha Utawala unaozingatia haki za...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wananchi Hai, Simanjiro na Arumeru wafunga barabara kwa saa nne waitaka Serikali kutatua changamoto

    Wananchi wa Kata ya Kia (Wilaya ya Hai, Kilimanjaro), Majengo (wilayani Arumeru, Arusha), na Naisinyai (wilayani Simanjiro, Manyara) wameandamana na kufunga barabara ya Mirerani hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), wakishinikiza Serikali kutatua changamoto ya eneo korofi...
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Brigedia Jenerali, Mndolwa: Wananchi kuongozwa na kiongozi mmoja, haimaanishi kwamba hawana akili, kiongozi bora anakubali ushauri wa wananchi

    Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa alipofanya mahojiano na kituo cha Televisheni cha ITV kwenye kipindi cha dakika 45 Februari 10, 2025 alisema Wananchi kuongozwa haimaanishi hawana akili, kwani viongozi wanasaidia kusimamia kanuni ambazo zimekubalika, na kanuni hizo haziwezi kusimamiwa na watu...
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa ngazi za chini hawatimizi wajibu wao, miradi inakwama wananchi wanamlalamikia Rais

    "Viongozi lazima wahakikishe wana maarifa zaidi ya wale wanao waongoza ili waaminike, wananchi wanataka maendeleo, basi kiongozi uyajue maendeleo zaidi kuliko hawa wananchi" Brigedia Jenerali, Fransic Mndolwa.
  12. Mr Why

    JamiiForums Tanzania TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni

    Serikali ya Tanzania kupitia TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu (..) kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni Kuna mitandao fulani ya simu kila ukiweka salio la fedha katika account yako au ukitumiwa pesa unatafutwa na namba mpya yenye viashiria vya...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Saranga Ubungo (Dar es Salaam) walia uhaba wa Maji, wadai ndoa zao ziko hatarini sababu muda mwingi wanautumia kutafuta maji

    Wananchi wa Mtaa wa Saranga Mpakani, Wilaya ya Ubungo, wameiomba serikali kuwapatia huduma ya maji na kuondokana na changamoto hiyo iliyodumu kwa muda mrefu. Wakizungumza mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Twange, wananchi hao wamelalamika kutokuwepo kwa huduma hiyo na kutegemea maji ya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Serikali iwekeze kwenye kile wananchi na nchi ilivyobarikiwa ili taifa likue kwa Kasi kimaendeleo

    Hamjambo wote! Lazima Tafiti, chunguzi na tathmini zifanyike. Tujue Watanzania ni nini wamebarikiwa na kile wanachoweza kulifanya to the most. Kisha tungalie ni nini tunacho katika nchi yetu ambacho tunaweza kukitumia kuweza kuendelea na kuendeleza taifa letu kuwa taifa Kubwa zaidi. Huwezi...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Madiwani Kigoma ujiji walalama miradi ya maendeleo kukwama hivyo kuonekana hawajatimiza wajibu wao, waishutumu TAMISEMI wakitaka uchunguzi ufanyike

    Wananchi na madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamekataa kuendelea na mkandarasi anayejenga Soko Kuu la Mwanga na Soko la Samaki katika Mwalo wa Katonga, wakidai ameshindwa kutekeleza mradi kwa wakati na kusababisha hasara kwa wafanyabiashara waliokosa maeneo ya kufanyia...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wananchi Ntunduwaro Mbinga wanufaika na Makaa ya Mawe

    Uzalishaji wa madini ya makaa ya mawe katika kijiji cha Ntunduwaro kata ya Ruanda wilayani Mbinga ni chanzo kikubwa cha mapato ya Serikali na maendeleo ya wananchi wa kata hiyo. Akizungumza katika mahojiano maalum, Meneja wa mgodi wa Market Insight Limited (MILCOAL), Atit Mehta amesema kwa...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Wakurugenzi Kama kuna miradi ya kuisimamia kipindi hiki kaisimamieni kwa weledi ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi

    Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wametakiwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi. Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa jijini Dodoma kwenye...
  18. Enthusiastic

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kuwachonganisha watoa huduma za afya na wananchi

    Kwa sababu watanzania wengi ni wajinga, wamezoea kudanganywa, wanadanganyika, wanapenda kudanganywa na hawapendi kuambiwa ukweli. Kumekuwa na changamoto ya sera ya afya inayotaka huduma za uzazi na za watoto chini ya miaka mitano kushindwa kutekelezwa ipasavyo. Mimi nataka kuchangia kama...
  19. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma

    Mashambulizi ni makali mno nchini Congo kati ya Jeshi la wananchi wa Tanzania eneo la goma jeshi la wananchi JWTZ limepoteza Askari wawili huku M23 wakishindwa kusonga mbele kutokana na mashambulizi mazito ya JWTZ yakiendelea idadi ya Askar wa M23 waliofaliki katika mashambulizi hayo imewekwa...
  20. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Wananchi kisesa wacharuka baada ya mkandarasi feki kudakwa na mpina, wamtwanga za uso

Back
Top Bottom