wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Njombe limepiga marufuku wananchi kuandamana kupinga mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limepiga marufuku wananchi kuandamana baada ya uwepo wa taarifa ya kuhamasisha maandamano inayotajwa kutolewa na Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) taifa, Sigrada Mligo wakati wa mazishi ya Atugafile Mtulo (90) aliyepoteza maisha baada ya kupigwa na...
  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: CHADEMA imepoteza imani na wananchi, No Reforms, No Election ni mkakati butu

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Iringa Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ameibua mjadala mkali kuhusu hali ya CHADEMA, akidai kuwa chama hicho kimepoteza imani kwa...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania RC Dodoma: Wananchi tunzeni chakula, msitumie nafaka kutengeneza pombe kuna ukame

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rossmery Senyamule amewataka wananchi wa Mkoa wa Dodoma kuhakikisha wanatunza chakula na wasitumie nafaka kwa ajili ya kutengenezea pombe kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini. RC Senyamule ametoa maagizo hayo hapa Jijini Dodoma wakati akihitimisha kikao cha...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ruvuma: Mwenyekiti CCM, viongozi wa chama acheni kuanzisha migogoro inayochonganisha wananchi na serikali

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ndugu Oddo Mwisho amewataka viongozi wa chama hicho ngazi ya kata,tawi mpaka shina kuacha tabia za kuanzisha migogoro katika jamii ambayo inawachonganisha viongozi wa serikali pamoja na wananchi. Hayo ameyasema wakati anaongea na viongozi wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuna mahali viongozi wa nchi yetu wanatukosea Sana wananchi

    Nawaza tu hivi Kuna umuhimu gani kwa wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zilizopo mjini kutumia magari ya m,amia ya mamilioni, Maeneo Mengi ya mjini miundo mbinu ni rafiki kwann mkuu wa wilaya na mkurugenzi wawe na mav8 ya nini, gharama ya kuyanunua na kuyatunza hawaoni ni kubwa saana...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida khenani asema fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM wala siyo za 'baba zao' ni kodi za wananchi

    Mbunge pekee wa CHADEMA, Aida Khenani kutokea jimbo la Nkasi Kaskazini amesema kuwa fedha za maendeleo zinazotolewa siyo za CCM kama wanavyojinasibu bali ni fedha za wananchi. Amesema pia wanaosema hajafanya chochote waangalie mabadiliko yaliyopo ndani ya jimbo hilo ikiwemo ongozeko la shule...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Rombo wamuombea Mkuu wa Wilaya apone

    Katika Hali ya Kutia Moyo na kuonyesha mshikamano kwa kiongozi wao, Wananchi wa Kata ya Katangara Mrere wilayani rombo Mkoani Kilimanjaro wameamua Kufanya maombi kwaajili ya kumuombea Mkuu wa wilaya ya Rombo Mwl. Raymond Mwangwala afya yake iweze kuimarika kufuatia maradhi yaliyokuwa...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Petro Magoti: Kama mbunge alikuwa hafanyi ziara kusikiliza kero za wananchi, msimchague

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti ametoa wito kwa wananchi kutowachagua wabunge ambao hawakuwa wakifanya ziara katika majimbo yao na sasa wameanza kusogeasogea kipindi hiki cha uchaguzi. Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali ina mpango gani na shule hii chakavu, yenye mwalimu mmoja na wanafunzi zaidi ya 90?

    Wananchi wa kitongoji cha Kwaduria wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamelazimika kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kunusuru watoto wao ambao wanatembea umbali wa km 8 kwenda shule ya msingi Songolo
  10. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji huweza kupelekea Wananchi kutofuata ushauri wa kitabibu hivyo kuathiri afya zao, Thibitisha Taarifa kabla ya kuiamini

    Uvumi wa Taarifa zisizo za Kweli kuhusu Afya unaweza kuwafanya Wananchi kupuuza ushauri wa wataalamu, hali inayoweza kusababisha madhara makubwa kwa afya za Watu. Hakikisha Unathibitisha Taarifa zinazogusa Sekta ya Afya kabla ya kuziamini ili Kuhakikisha usalama wako na Jamii kwa ujumla
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Morogoro: Zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura linaendelea, Tume yasema muitikio wa wananchi ni mkubwa

    TUME Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesema kumekuwa na mwitikio mkubwa kwa wananchi kujitokeza katika vituo mbalimbali vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaofanyika mkoani Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga kwa siku saba kuanzia Machi mosi hadi 7, 2025. Mwenyekiti wa Tume...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu mpya wa Jeshi ya Israel kuwafuta kazi majenerali 4 lengo kurejesha imani kwa wananchi kufuatia shambulizila baya la Oktoba 7,2023.

    Wadau hamjamboni nyote? Mkuu mpya Jeshi la Israel atawafuta kazi majenerali wanne wa IDF kwa kushindwa kwao kuzuia shambulizi la Oktoba 7, 2024 ambapo jumla ya Waisrael 1,200 waliuawa na magaidi ya Hamas Majenerali hao ni pamoja Oded Basyuk anayeongoza idara ya mafunzo, Tomer Bar anayeongoza...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Gulamali Ahimiza Ushirikiano Kati ya Wananchi na Jeshi la Polisi

    MBUNGE GULAMALI AHIMIZA USHIRIKIANO KATI YA WANANCHI NA JESHI LA POLISI UFUNGUZI WA KITUO CHA POLISI NKINGA, WILAYA YA IGUNGA Tarehe: 28 Februari 2025 📍 Mahali: Nkinga, Wilaya ya Igunga – Mkoa wa Tabora Mbunge wa Jimbo la Manonga, Mheshimiwa Seif Khamis Gulamali, ameungana na wananchi wa...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kihongosi: Tunasimamia haki na kutatua kero za wananchi

    Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amewaeleza wananchi kufanya kazi na kushirikiana na serikali na kuongeza kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alipomteua alimuagiza asimamie haki za wananchi pamoja na kusimamia fedha za miradi ya maendeleo katika mkoa huo Kenani Kihongosi amesema hayo...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wasusia intro ya maombi ya viongozi wa dini kuomuombea Rais Samia, wajitokeza wao na bodyguards wao!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, maombi ya kina kuhani Mussa na chawa wengine kwenye dini yana dalili kubwa ya kubuma kesho, leo wamejitokeza wao na bodyguards wao kupiga maombi kwaajili ya Rasi Samia. Wananchi wanazidi kuamka... mpaka mama anamuita waziri Mh. Rais mchezo!
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mkamu wa pili wa rais wa Zanzibar awahimiza wananchi kufanya mazoezi

    Mkamu wa pili wa rais wa Zanzibar Hemed Seleiman Abdulla amewahima wananchi mbalimbali kuhakikisha wanafanya mazoezi kila mara. Hemed Ameyasema hayo katika Uzinduzi wa matembezi ya upimaji wa afya pamoja na ugawaji wa miwani bure Yalioanza kiembe samaki na Kumalizikia katika viwanja vya maisara...
  17. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Ni njia zipi hutumika ili mtu agombee ubunge hili nikawatumikie wananchi wangu katika jimbo langu??

    Naomba mwongozo jinsi ya kuingia katika mbio za kuwatumikia wananchi wajimbo langu baada yakuona mbunge aliyekuwepo hana alichokifanya,Je ni njia gani za wazi nitumie ili niweze kuingia katika Kinyang'anyiro hicho?? Kwa sina pesa za kuhonga wajumbe mimi nina nia ya dhati ya kutaka kugombea na...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Lindi: Bilioni 13.95 kuwaunganisha kwa Daraja Wananchi wa Nanjilinji na Ruangwa

    Wananchi wa Nanjilinji na Ruangwa wameelezea furaha yao kufuatia utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Daraja la Mto Nakiu, hatua inayotajwa kuwa suluhisho la kudumu kwa changamoto za usafiri, uchumi na huduma za afya ambazo zimewakumba kwa miaka mingi. Mradi huo, unaogharimu shilingi bilioni...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wananchi wa Korogwe kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika Chuo cha Ualimu Korogwe mkoani Tanga tarehe 24 Februari, 2025.
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asikia Kilio cha Wananchi Barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe

    RAIS SAMIA ASIKIA KILIO CHA WANANCHI BARABARA YA SONI - BUMBULI - OROGWE Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesikia kilio cha wananchi wa Bumbuli, mkoani Tanga kuhusu ujenzi wa barabara ya Soni - Bumbuli - Korogwe (km 77), kwa kiwango cha lami ambapo ameeleza kuwa ujenzi wa barabara hiyo...
Back
Top Bottom