wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Kigamboni wameungana na Wananchi wa Kimara kuwatia moyo

    Salaam, Nimefarijika sana.. Maandamano ya leo yalijaa wana wa Jeshi. Sio Polisi wote wabaya. Wanne wametoka Kigamboni, Askari Magereza Wawili wametoka Mbezi beach, Wanajeshi Watatu wametoka Goba. Tumekinukisha balaa. Leo baada ya night shift, tutahakikisha tunaenda maandamano yalipo...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Dodoma tumeni salamu hapo Bungeni na Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Wananchi wa Dodoma, ccm wamelitumia sana hilo jengo kupitisha sheria mbovu za kidhalimu zilizotukandamiza wananchi vibaya sana. Tunawaomba mliopo Dodoma, katumeni salamu hapo Bungeni na kwenye jengo la Ofisi za Tume ya Uchaguzi. Jeshi likichukua nchi tutawaomba tangazo la kwanza liwe ccm ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sirari, Musoma: Wananchi waendelea na maandamano (Oktoba 30, 2025)

    Hali ipo hivi mpakani mwa Tanzania na Kenya (Sirari)
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kyela: Wananchi wavunja stoo ya TRA na kuchukua mali zao zilizokuwa zimechukuliwa

    Wananchi Kyela wamevunjaa stoo ya TRA na kuchukua mali zao kuna pikipiki zilikamatwa sasa wanatoa tu mali wanatembea nazo.
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi waliowategemea wamekimbizwa na wananchi kama mwizi!

    Polisi walio wategemea wamekimbizwa na wananchi kama mwizi 🤣🤣🤣 heti umepewa nafasi ya muda tu ya uraisi unaanza dharau na vichambo sijui mimi amri jeshi sasa ngoja uone mziki.
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha

    Siku nyengine hakuna atakaye fanya huu ujinga na ukandamizaji wa wananchi au upinzani na kesi za uongo kwisha. Tuheshimiane tunachukua taifa letu tunaenda kulijenga upya
  7. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi lipo na wananchi, linawalinda wananchi kutumiza azma yao

    Kama mnavyoona na kusikia kwenye video hapo jeshi limetulia na kuwaacha wananchi wafanya yao bila shida! Polisi wakatika kuzidi nguvu wananchi, Jeshi linazogea mbele kuwangika na kuacha maadamano yaendeleee. Ni suala la muda kazi inaisha, heshima inarudi tanzania.
  8. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi kadhaa wajeruhiwa kwenye maandamano katika majibizano na polisi

    WAkati maandamano yakiendelea kushika kasi na kupamba moto, wananchi kadhaa wameonekana kujeruhuwa baadhi wakiwa wanaingizwa kwenye magari ya polisi huku wengine wakisaidiwa na wananchi wenzao. Hapa inatakiwa kuhakikisha mtu hakamatwi na polisi, akiumiwa asaidiwe na kupatiwa msaada wa kwanza...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Machawa wote waliodharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane

    Machawa wote walio dharau wananchi lazima tukawasalimie ili siku nyingine tuheshimiane wachunge sana hatutaki uchawa wao
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi

    Twendeni tukawasimilie dp world tuwafungishe virago waondoke kwenye nchi yetu nguvu ya wananchi
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hali ni shwari wananchi wapenda mabadiliko jitokezeni kwa wingi tuzuie huu uchaguzi bandia

    Hali ni shwari wananchi wapenda mabadiliko jitokezeni kwa wingi tuzuie huu uchaguzi bandia leo ndio leo tunataka nchi yetu.
  12. Mchalinze

    JamiiForums Tanzania Wanachofanya waandamanaji ni kuligombanisha jeshi la wananchi na askari

    Kuna video nimeiona waandamanaji wapo nyumba ya gari la jeshi huku kwa mbele askari wakiwatupia mabomu ya machozi waandamanaji
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkoa wa Morogoro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Morogoro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (11) ambayo ni Jimbo la Kilosa Jimbo la Mikumi...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Kigamboni, Dalmia Mikaya: Hali ya usalama ni shwari wananchi waendelee kujitokeza kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa "Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
  15. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Uislamu hautaki mtu dhaifu. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu

    Mimi ni muislamu. Uislamu hautaki mtu dhaifu Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu. Tusiangushane. Hatuna muda mwingine zaidi ya huu. Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa, Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa wananchi makundi yote, abarikiwe

    Salaam! Mtu huyu wa Mungu, ameonyesha njia Katika kipindi hiki kigumu na Yuko tayari kulipa Gharama. 1.Alipotekwa Roma Mkatoliki, alipaza sauti kukemea. 2. Clouds media walipovamiwa, alitoka kukemea. 3. Alipoonewa Lissu na wananchi waliotekwa kuuwawa na kuumizwa, alitoka mbele kukemea. Kwa...
  17. Z

    JamiiForums Tanzania Maandamano yanatisha! Pamoja na wauaji wa wananchi, Rais atajificha Zanzibar siku ya uchaguzi

    Imepangwa kwa makusudi kwamba siku ya uichaguzi rais atakuwa Zanzibar. Kama ni kweli ni kuogopa usalama wa Bara, hili nalo ni jambo la ajabu kwa sababu majeshi yanayolinda nchi, bara na visiwani yako chini ya mkuu mmoja. Yawezekana ni kuogopa maandamo, lakini ni hakika kwamba visiwani wao...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hamasa ya Wananchi Kushiriki uchaguzi na kumpigia Kura ya Ndio Rais Samia Ni kubwa sana Mitaani

    Ndugu zangu Watanzania, Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Katavi: Wananchi msijipange, msihamasishe, msishiriki wala msiwezeshe maaandamano yasiyokuwa na amani

    Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko, amewataka wananchi wa mkoa huo kujiepusha na vitendo vya kuandaa, kuhamasisha au kushiriki maandamano yasiyo halali, badala yake waendelee kudumisha amani na mshikamano kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu. Akizungumza...
  20. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 SACP Richard Abwao: Wananchi puuzeni wito wa maandamano yasiyo halali

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Richard Abwao ametoa wito kwa wananchi wote wa Mkoa wa Tabora na Tanzania kwa ujumla kupuuza wito wa maandamano unaosambazwa kupitia mitandao ya kijamii. Kamanda Abwao amesema maandamano hayo hayana msingi wa...
Back
Top Bottom