wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kila kona wananchi wanasema hawakukuchagua hauna budi kuwa karibu na jeshi

    Inasemekana pale wananchi walipoimba iwe kama Madagascar ndipo jeshi likasaidia ukae madarakanai
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi wa Tanzania Wanakufa kama Nzi huko Congo? Mbona Wananchi hatujulishwi

    Salaam Wakuu, Inadaiwa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ, wanakufa kama Nzi au Mbu huko Kongo. Hii habari nimeiona mtandaoni. Je, hizi habari ni za kweli? Sasa kwanini Wananchi ambao ndo wahusika wa Jeshi hatuambiwi? Waziri wa Ulinzi yupo kwenye Sherehe za Futari na kufuturu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania msitishwe na majeshi kama wananchi hawamtaki mtawala Bunduki na majeshi hazisaidii

    What entails to be a socila contract in Tanzania ni ibara ya 8 (1)(a) ya katiba ya JMT. Hapa ndipo wanaanchi kwa kutumia kura zao huweka serikali madarakani kwa manufaa yao. Mtawala.anayedhania majeshi yatamlinda bila kufikiria wananchi anajidanganya.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Walia, Serikali Yaingia Kazini Kutatua Migogoro ya Mashamba Muheza

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utatuzi wa migogoro ya mashamba ya uwekezaji katika wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Wa pili kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Prof Riziki Shemdoe na kulia ni Naibu Waziri wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna viashiria kuwa wananchi wameanza kuunga mkono njia za nguvu

    Nataka nitoe disclaimer kuwa siungi mkono mapinduzi ya kijeshi kama namna ya kufikia malengo ya kisiasa. Hata hivyo mimi kama mwanajamii ambaye naishi ndani ya jamii, nina wajibu wa kuchangia maoni na kuonya ikibidi pindi ninapoona muelekeo hatari kwa mustakbali wa Taifa. Ni hivi, nimesoma...
  6. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Hali ya Barabara Didia – Solwa eneo la Ndagwa, Kijiji cha Kasingili, Kata ya Ilola inaumiza Wananchi

    Diwani wa Kata ya ILOLA, KISENA FRED KISENA amelazimika kuchelewa kwenda kwenye hitimisho la ziara ndani ya kata kutokana na ubovu wa miundombinu ambapo ilimlazimu kuanza kuvusha watoto wa shule kwenye maji ambao walihofia kusombwa na maji ndipo akaanza jukumu la kuwavusha kwenye maji kwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Mlimba – Morogoro tunaambiwa Nguzo moja ya Umeme ni Tsh. 580,000, hii ni haki?

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Halmashauri ya Mlimba, Tarafa ya Mlimba. Kero yangu kubwa ni suala la Kupata Nguzo ya Umeme, ukienda Ofisi za TANESCO ili upate Huduma ya Nguzo ya Umeme unaambiwa Nguzo Moja ni zaid ya Shilingi 580,000/=. Je, hii ni haki Mwananchi kulipia nguzo moja ya umeme...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mtambo wa Oksijeni waokoa maisha ya Wananchi Lushoto

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ameshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuokoa maisha yake na wananchi wa Lushoto kwa kutoa fedha zilizowezesha kupatikana kwa mtambo wa kuzalisha hewa tiba ya oksijeni katika Hospitali...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wafanya kikao Lushoto kutafuta suluhu ya migogoro ya Wananchi Mkoani Tanga

    Mawaziri saba wa kisekta wakiwa na mwenyeji wao ambaye ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe ambaye ni Mbunge wa Lushoto wamekutana wilayani hapo kujadili utatuzi wa changamoto na migogoro inayowakabili wananchi mkoani Tanga ikiwemo ya ardhi, ikiwa ni hatua ya...
  10. pulex

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Samia hajatambuliwa kama Rais aliyechaguliwa na wananchi, wenzie waliochaguliwa na wananchi wametambuliwa kwenye mkutano wa AU

    Alikwenda kwenye mkutano wa AU pamoja na mambo mengi alitegemea kutambulishwa kama Rais aliyemaliza CHAGULIWA nchini TZ. Wenzake waliomaliza kushinda uchaguzi wakatambulishwa, yeye akaondoka kwa aibu kuliko hata alivyokwenda. Kwa M7 ni bado hajaapishwa hivyo alitambuliwa kama Raisi wa awamo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu, msishangae kuambiwa haitaruhusiwa vyombo vya habari kuitangazia kwa wananchi

    Mimi siyo Mtabiri na Wala siyo Nabii. Ila kwa mwenendo huu wa hii kesi ya Tundu Lissu very soon tutaambiwa waandishi WA habari hawatakiwi kuitangazia kwa Umma, kwa kisingizio inaharibu mwenendo wa kesi husika na waandishi kuipotosha Umma.
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Chemistry ya uongozi wa DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU imebamba mioyo ya wananchi wote TZ na inakubalika na kuaminika mno kitaifa na kimataifa

    Sote ni mashahidi dhidi ya umoja, umadhubuti, umakini na umahiri wa serikali sikivu ya CCM iliyoundwa na inayoongozwa na makada kindakindaki wa chama cha mapinduzi DR.SAMIA, DR.NCHIMBI NA DR.MWIGULU, kwamba imebeba chachu ya maendeleo halisi Tanzania. Kabisa inaonyesha wananchi wana shauku na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chadema wanaenda kuokolezi moto wa hasira za wananchi

    Kwa mda mwingi wananchi walifungwa mdomo wa kuwasemea baada ya Tundu Lissu kufungwa,Chadema kusimamishwa wasifanye mikutano,Heche naye kufungwa na wapendwa wetu kuuwa kama mbwa,sasa moto unaenda kuwaka mpaka kibibi akimbie
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wananchi wadai DC wa Kilosa anasababisha maafa na hafuati Sheria, mwenyewe asema si kweli

    Wakazi wa Kata ya Chanzulu, Wilaya ya Kilosa, wamekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kuingilia kati migogoro ya ardhi inayoendelea katika eneo hilo ili kupatikana suluhisho la kudumu. Ombi hilo limetolewa katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi, ulioandaliwa na...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Viongozi Kuanzia Rais Hadi madiwani wanapaswa kwanza kushukuru wananchi Kwa kuwalipa mishahara posho, magari, nyumba pensheni na Bado kuna wizi

    Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho wa mwenzi bila kukosa . HIki kiwango Cha juu Cha ujinga Kwa wananchi kuwashukiru kwanza waajiri wao...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dar inazidi kuwa na mazingira yasio na mpangilio. Viongozi wana hofu au wanaogopa Wananchi baada ya Uchaguzi wa 2025?

    Tunatambua tangu matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi 2025 yamesababisha usimamizi wa usafi na mazingira kuzorota, hofu ikiwa kwa Wanasiasa kuogopa lawama za Wananchi. Hii imesababisha mji kuwa mchafu sana, tunajenga barabara nzuri lakini mabanda kila mahali, ukienda Mbezi Mwisho...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza

    Rais asiye chaguliwa na wananchi anakuwa kama mtu anaye jipendekeza kwa wananchi na kufanya kazi zisizo muhusu ni kujipendekeza. Tusiwe na tabia za kujipendekeza kwa wananchi suala hili halina kichwa wala miguu ni upumbavu.
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wakili peter madeleka: Mafwele huwezi kutajwa na wananchi kama muuwaji na mtekaji alafu tuka kuangalia tu lazima uwajibike

    "Hauwezi ukawa unatajwa wewe ni muuaji alafu tukawa tunakuangalia tu, yani wewe umekuwa Malaika mtoa roho au?? Kila anayepotea akirudi anakutaja wewe aliyetekwa akibahatika kutoka salama anakutaja wewe mashahidi wanakutaja wewe, wewe umekuwa nani haswa?? Kama tumekupa jukumu la kulinda usalama...
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kwagilwa: Mtendaji Kata ya Kipunguni ‘B’ achukuliwe hatua kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi ipasavyo

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mtendaji wa Kata ya Kipunguni ‘B’ kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi...
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Rais ni mfanya kazi za ndani wa muda na sio mmiliki wa nchi hii, samia na genge lake wanajaribu kutaka kuiteka nchi kwa mauwaji na utekaji wa raia

    Rais ni mfanya kazi za ndani wa muda na sio mmiliki wa nchi hii, samia na genge lake wanajaribu kutaka kuiteka nchi kwa mauwaji na utekaji wa raia. Lazima ujiulize kwanini wanateka na kuuwa watu na kukamata watu hovyo hovyo. Hatutaki kumilikiwa sisi ni watu huru. vyama vya siasa sijui watu...
Back
Top Bottom